Enyi Manabii wa kizazi kipya ni kweli mmepewa nguvu na Mwenyezi Mungu, au ni ushirikina tu?

Enyi Manabii wa kizazi kipya ni kweli mmepewa nguvu na Mwenyezi Mungu, au ni ushirikina tu?

Wanasajili vitendo kivipi?
Kuhifadhi mwili wapi?
Kama mwenyezi mungu pekee anajua kikamilifu majukumu yAo kwanini sasa unayajibu wewe?
. Kama tulivyo zungumza hapo awali kuhusu majukumu ✍️
. Mungu anawapa majukumu wasaidizi wake, wasaidie baadhi ya Kazi huku duniani ✍️
. Tunapo sema kusajili vitendo, hapa wanaweka alama kati ya binadamu aliye upande wa mungu na binadamu aliye upande wa ibirisi ✍️, hivyo basi hata siku ya kiama ikifika wewe unakua mwili wako ni kuchomwa na gas au kwenda kwa mwenyezi mungu moja kwa.
 
Tunapo sema kusajili vitendo, hapa wanaweka alama kati ya binadamu aliye upande wa mungu na binadamu aliye upande wa ibirisi
Kwanini waweke alama? Je mwenye uwezo wote anashindwa tambua kwa kutazama? Au anaowatuma wanakuwa hawana uwezo huo?
Na alama hizo zinakuwaje?
 
Kwahiyo ni kwasababu kitabu kimeandikwa yupo ndio maana unaamini na aliyeandika ni mu kama ww?
Biblia ina waumini wa dini mbalimbali, hasa Ukristo na Uyahudi, kuwa ni Neno la Mungu. Hata hivyo.

• Biblia ina vitabu mbalimbali, na kila kitabu kinaandikwa na mwandishi au waandishi waliokuwa na muktadha wa kiroho. Waandishi wa Biblia walikuwa watu walioishi katika nyakati tofauti na mahali tofauti.

• Kwa mfano, Agano la Kale linajumuisha vitabu vyenye mafundisho ya Kiyahudi, historia, na unabii. Waandishi wake wanajumuisha manabii, wafalme, na viongozi wa dini.

• Agano Jipya, linalojumuisha maisha na mafundisho ya Yesu Kristo pamoja na nyaraka zilizoandikwa na mitume,

. Hivyo, Biblia ni mkusanyo wa maandiko ambayo yameandikwa na watu wa imani mbalimbali wanaiheshimu Neno la Mungu,

. Siyo kama hawa manabii wa sasa, wanao tuuzia michanga na maji ya visimani.
 
Kumbe mwili huwa hauozi?
1......... Katika Biblia, inafafanua uharibifu wa mwili baada ya kifo. Mara nyingi, maandiko yanaelezea jinsi mwili wa binadamu unavyorudi kwenye mavumbi au udongo baada ya kifo.

• Mwanzo 3:19 (NIV):
"Kwa jasho la uso wako utakula chakula, Hata urudi udongoni, Kwa maana ulitolewa katika udongo; Kwa maana wewe ni mavumbi, Na mavumbini utarudi."

2........ Mfano wa mstari unapatikana katika kitabu cha 1 Wakorintho:

• 1 Wakorintho 15:42-44 (NIV):
"Hivyo ndivyo itakavyokuwa kwa kufufuliwa wafu. Hupandwa katika uharibifu, hufufuliwa katika kutokuharibika; hupandwa katika fedheha, hufufuliwa katika utukufu; hupandwa katika udhaifu, hufufuliwa katika nguvu."
Hapa, Paulo anaelezea mabadiliko yanayotokea wakati wa ufufuo, akionyesha kwamba mwili utafufuliwa katika hali isiyoharibika na yenye utukufu.

. Kwa hiyo kutokana na maandiko hapo juu na vifungu vyake, basi mwili hauozi 🙏🙏🙏

Mkuu moto wa gas, upo pale pale 😄
 
Haya maneno alikuwa anayasema nani? Na ni watu gani hao?
• Yoshua mwenyewe alizungumza maneno haya kuelekea mwisho wa maisha yake. Hapa ni muktadha wa mstari huo:

• Yoshua, aliyekuwa kiongozi wa Waisraeli baada ya Musa, anawaambia watu wa Israeli kwamba wanahitaji kuchagua kumtumikia Bwana. Anaweka chaguo mbele yao, akisema, "Lakini mimi na watu wangu tutamuhudumia Bwana."

• Kauli hii inahusiana na muktadha wa Yoshua akiwahimiza watu wa Israeli kuacha miungu mingine na kuchagua kumtumikia Bwana wa Israeli pekee. 🙏🙏
 
kwamba mwili utafufuliwa katika hali isiyoharibika na yenye utukufu.
Mkuu kesi ya binti kumfukia maMa yake wakafukua mifupa moshi unaikumbuka?

Kinachobaki chini ni mfupa nataka uniambie point ya kwanini ufufuliwe mwili ambao yeye anadai si muhimu?

Nataka uniambie huwa anaanza kuutengeneza mwili tena baada ya kubaki mifupa?

Umekiri anadili na roho na si mwili.
 
• Yoshua mwenyewe alizungumza maneno haya kuelekea mwisho wa maisha yake. Hapa ni muktadha wa mstari huo:

• Yoshua, aliyekuwa kiongozi wa Waisraeli baada ya Musa, anawaambia watu wa Israeli kwamba wanahitaji kuchagua kumtumikia Bwana. Anaweka chaguo mbele yao, akisema, "Lakini mimi na watu wangu tutamuhudumia Bwana."

• Kauli hii inahusiana na muktadha wa Yoshua akiwahimiza watu wa Israeli kuacha miungu mingine na kuchagua kumtumikia Bwana wa Israeli pekee. 🙏🙏
sasa habari za yoshua akiwaambia waisraeli zinakuhusu nini wewe mmbondei?

Unaweza kuonyesha sehemu aliposema na nyinyi wazigua?
 
Kwanini waweke alama? Je mwenye uwezo wote anashindwa tambua kwa kutazama? Au anaowatuma wanakuwa hawana uwezo huo?
Na alama hizo zinakuwaje?
Hii ni mifano kama ya maagano, je unajua kuhusu maagano ya duniani/ulimwengu wa kiza 🤔🤔
 
Mkuu kesi ya binti kumfukia maMa yake wakafukua mifupa moshi unaikumbuka?

Kinachobaki chini ni mfupa nataka uniambie point ya kwanini ufufuliwe mwili ambao yeye anadai si muhimu?

Nataka uniambie huwa anaanza kuutengeneza mwili tena baada ya kubaki mifupa?

Umekiri anadili na roho na si mwili.

• Si mungu tu, hata shetani anafanya hivyo, ingawa yeye anatumia ULONZI/USHIRIKINA. ( lakini mda wa Mungu ukifika hufariki mara ya pili tena). Kwa hiyo mwenye imani haba huwezi kuona mambo haya kwa jicho la kawaida.

• Ufunuo 20:4 (NIV):
"Nikaona viti vya enzi, wakaketi juu yao, na amri ikapewa wale walioketi. Nikaona roho za wale waliokatwa vichwa na kubaki mifupa kwa ajili ya ushuhuda wa Yesu na kwa ajili ya neno la Mungu, nao wasiomsujudie yule mnyama wala sanamu yake, wala hawakupokea alama katika vipaji vyao vya kulia au katika mapaji yao, nao wakawa hai wakaushika utawala pamoja na Kristo muda wa miaka elfu."
 
ili kuelewa jukumu la malaika, ni muhimu kutambua kwamba uwepo wa Mungu Malaika Wanashiriki katika Matukio ya Kiroho:

2 Wafalme 19:35 BHND​

Basi, usiku huo malaika wa Mwenyezi-Mungu aliingia kambini mwa Waashuru na kuwaua watu laki moja. Kulipopambazuka watu wakaamka, hao wote walionekana wakiwa maiti.

Unadai wanadili na roho, kwanini walienda kuua watu?
 
• Si mungu tu, hata shetani anafanya hivyo, ingawa yeye anatumia ULONZI/USHIRIKINA. ( lakini mda wa Mungu ukifika hufariki mara ya pili tena). Kwa hiyo mwenye imani haba huwezi kuona mambo haya kwa jicho la kawaida.

• Ufunuo 20:4 (NIV):
"Nikaona viti vya enzi, wakaketi juu yao, na amri ikapewa wale walioketi. Nikaona roho za wale waliokatwa vichwa na kubaki mifupa kwa ajili ya ushuhuda wa Yesu na kwa ajili ya neno la Mungu, nao wasiomsujudie yule mnyama wala sanamu yake, wala hawakupokea alama katika vipaji vyao vya kulia au katika mapaji yao, nao wakawa hai wakaushika utawala pamoja na Kristo muda wa miaka elfu."
Sijaona ulichojibu hapa.
Zaidi ya maneno tu
 
sasa habari za yoshua akiwaambia waisraeli zinakuhusu nini wewe mmbondei?

Unaweza kuonyesha sehemu aliposema na nyinyi wazigua?

Wazigua ni wakiristo siyo wayahudi,
Wakristo wanaweza kuwa wa asili na tamaduni tofauti, wakiwa na tofauti za lugha, mila, na mazoea ya kitamaduni. Wanajumuisha makundi mengi ya kikabila kutoka duniani kote, kutoka Ulaya, Asia, Afrika, Amerika na baadhi ya maeneo.
 
Kama ulilitambua hili habari za Yoshua na wana waisraeli zinakuhusu nini?
Yaani nini mantiki ya mstari ule unaozungumzia jamii fulani isiyokuhusu wewe na mungu wao?

Umeeelewa hapo?
 
Back
Top Bottom