Kwanini mkuu?Ukishaona mtu anajiita nabii halafu anaongoza kanisa kama muhubiri, hapo changanya na za kwako...
Kama Mungu hayupo na wewe haupoMungu hayupo.
Dini ni utapeli.
Udongo uliopata kibri, juu ya aliyeuumba. Hiyo pumzi yake akiichukua unageuka vumbi chap. Ndio maana imeandikwa "mpumbavu husema moyoni mwake kuwa hakuna Mungu.Mungu hayupo.
Dini ni utapeli.
Kitendo cha kufikia haja ya kuomba chochote nacho ni uthibitisho Mungu hayupo.Yupo na ukitaka kuthibitisha, tenga muda wako japo mchache na omba kwa imani unayoamini wewe kuwa naomba nipe ishara fulani niamini uwepo wako
Kisha subiria, jibu litakuja kwa wakati wake, inaweza isiwe leo kesho au hata baadae ila jua tu litakuja na utakumbuka ombi lako ndipo utakiri na kusadiki.
Vitabu hivyo vina mikanganyiko ya kimantiki inayoonesha Mungu hayupo, mikanganyiko hiyo ya kimantiki inatuonesha kwamba Mungu huyo katungwa na watu tu, nje ya hadithi za watu hayupo.Katika muktadha wa dini za Abrahamiki (Uyahudi, Ukristo, na Uislamu), vitabu vitakatifu kama vile Biblia na Qur'an ni vyanzo vikuu vya mafundisho kuhusu Mungu
Nakwambia hivi 👇Udongo uliopata kibri, juu ya aliyeuumba. Hiyo pumzi yake akiichukua unageuka vumbi chap. Ndio maana imeandikwa "mpumbavu husema moyoni mwake kuwa hakuna Mungu.
Angalau mimi nipo kwa kuonekana, kushikika na kusikika.Kama Mungu hayupo na wewe haupo
Kama unasubiria umuone Mungu akikatiza mtaani utapata tabu sana...Angalau mimi nipo kwa kuonekana, kushikika na kusikika.
Mungu huyo Hayupo kwa namna yoyote ile zaidi ya mawazo ya kufikirika tu, imagination just an illusion.
Mungu hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
Kwanini mkuu?
Mbona kuna ambao ni Manabii na wana karama za kuhubiri...
Kuna watu wamepewa karama zaidi ya moja na Mungu.
Ameni, je kuna haja yeyote ya kanisani kwa sasa, au hata inatosha kusali/kuswali?Yupo na ukitaka kuthibitisha, tenga muda wako japo mchache na omba kwa imani unayoamini wewe kuwa naomba nipe ishara fulani niamini uwepo wako
Kisha subiria, jibu litakuja kwa wakati wake, inaweza isiwe leo kesho au hata baadae ila jua tu litakuja na utakumbuka ombi lako ndipo utakiri na kusadiki.
Roho ni nini?Kama unasubiria umuone Mungu akikatiza mtaani utapata tabu sana...
Mungu ni Roho, hivyo ukitaka kumuona lazima uombe Roho Mtakatifu akupe macho ya Rohoni...
Hakuna Raha kama kumjua Mungu, unapata uwezo wa kujua mambo yajayo...
Unapiganiwa, unaona aisee!
Bwana Yesu Kristo atukuzwe
Hii code inahitaj akili kubwa sana watu kuielewa, wengi wamekamatwa hapo overUkishaona mtu anajiita nabii halafu anaongoza kanisa kama muhubiri, hapo changanya na za kwako...
Kwa nini mungu alitupa huu mtego, au anatamani hapo baadae aje atengeneze kizazi kingine, tofauti na hichi kilichopo?? 🤔🤔11 Na manabii wengi wa uongo watatokea, na kudanganya wengi.
12 Na kwa sababu ya kuongezeka maasi, upendo wa wengi utapoa.
13 Lakini mwenye kuvumilia hata mwisho, ndiye atakayeokoka.
14 Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa mataifa yote; hapo ndipo ule mwisho utakapokuja. [Mathew 24:11-14].
Hawa manabii waabudu mashetani watakokota wengi kuzimu. Pasipo maarifa, kuangamia ni 100%.Maranatha
Jinga!Matapeli tu hao
Ova
Mchakato wa sukari kwenye miwa na matunda ulishaelezwa apa kitambo, nyie ndio wale sayansi darasa la sita mlikua mnasinzia mkishtushwa na swali mnakurupuka " sikulamba sukari".Jinga!
Hakuna Mungu sukari kwenye muwa na nanasi aliweka babayenu? Watu hamna fadhila mmbwa nyie!! [emoji32][emoji32]
Mkuu, Kitabu cha Biblia kinasema, nabii wa mwisho kwa upande wa kikatoliki ni yesu, na Mungu bado hajatuma nabii yeyote yule, je hao manabii wengine wamekuja kwa njia ipi??Manabii wa uongo wapo na wa kweli wapo...
Kazi ipo kwako wewe ambaye unaongozwa na mwili na kukariri neno bila kulifanyia kazi...
Wanaoongozwa na Roho Mtakatifu wanajua Nabii wa kweli na wa uongo...
Hebu umwambie na baba yako mtengeneze chungwa au ndizi tule ili tuamini mungu hayupo kondoo we!! [emoji32][emoji32]Mungu hayupo.
Dini ni utapeli.