Enyi Manabii wa kizazi kipya ni kweli mmepewa nguvu na Mwenyezi Mungu, au ni ushirikina tu?

Kwanini mkuu?

Mbona kuna ambao ni Manabii na wana karama za kuhubiri...

Kuna watu wamepewa karama zaidi ya moja na Mungu.
Swala sio kuhubiri na kuwa nabii sio karama ni huduma. Kuna huduma tano ( Mchungaji,nabii,mtume,mwinjirist, mwalimu)

katika hizo huduma Mchungaji pekee ndio Huwa anauwezo wa kuwa na washirika na kanisa na ndio atakayetoa hesabu juu ya washirika ambao alikuwa nao kanisan kwake kuwachunga.

Kwa lugha nyepes ukiwa nabii unapaswa kuwa chini ya kanisa na chini ya Mchungaji wako,

kukurahisishia kuelewa Kuna mwalimu wa neno la Mungu anaitwa Mwakasege Hana kanisa kwasbu sio Mchungaji yeye ni mwalimu means Yuko chini ya Mchungaji Fulani.

Sasa ukiona Kuna nabii anakanisa binafsi na anawashirika Hali yakuwa kimaandiko hatokuja kutoa hesabu juu ya washirika walipo kwake

lazima ujiongeze kwamba anaweza kuwafanya chochote na hahusiki kutoa hesabu yoyote juu yao siku ya mwisho kwasab hakuitwa kuchunga.

Mwisho wengi wenye huduma za unabii na utume wameamua kujiita wachungaji Kwa Nia njema kabisa Ili wawe na uwezo wa kuwa na washirika na kuwa na makanisa na ni Halali na wakiwa nao hawazuwiwi kuwatabilia chochote na hesabu watatoa.

Eg. Nakupa mifano michache ya wachungaji ambao wanahuduma za kinabii ndani yao Kuna pastor anaitwa Sunbella kyando ni pastor lakini anaprophetic ministry,
Pastor Chris huyu original yake ni Nigeria lakini kwasasa yupo ulaya na Mchungaji maarufu sana lakini ana huduma ya unabii ndani yake.

Over
 
Nakubaliana na wewe mkuu, inashangaza sana watu wanao jiita manabii, kuazia mavazi yao tu, ni ishara tosha kuwa neno la mungu hapo halipo kabisa..
 
Karibu sana mkuu, uje utupe Mwanga zaidi...
 
Roho ni nini?

Vyote hivyo ni nadharia za kufikirika tu.

Roho ni neno linalomaanisha moyo au kitu kinachohusiana na hisia, au nia.

Biblia inazungumzia roho katika muktadha tofauti, lakini mojawapo ya maeneo yanayojadiliwa ni katika Agano la Kale na Agano Jipya.

Katika Agano la Kale, kuna mafundisho juu ya "roho" kama pumzi ya uhai kutoka kwa Mungu. Mfano wa hili unapatikana katika kitabu cha Mwanzo 2:7 ambapo mwanadamu anapuliziwa pumzi ya uhai na kuwa hai.

Katika Agano Jipya, roho inajadiliwa zaidi, na kuna mafundisho juu ya Roho Mtakatifu. Kristo mwenyewe aliongelea kuhusu kuja kwa Roho Mtakatifu kama Msaidizi baada ya kuondoka kwake (Injili ya Yohana 14:16-17).

Biblia inashughulikia mada hii kwa undani zaidi na katika muktadha tofauti, hivyo ni vizuri kusoma maandiko kwa kina ili kuelewa vyema mafundisho yake.
 
Jinga!
Hakuna Mungu sukari kwenye muwa na nanasi aliweka babayenu? Watu hamna fadhila mmbwa nyie!! [emoji32][emoji32]

Barua ya Mtume Paulo kwa Waefeso. Katika Waefeso 4:29 (Tafsiri ya Neno), Paulo anasema:

"Maneno yenu na yawe yenye neema sikuzote, yaliyotiwa chumvi, ili myajue jinsi inavyopasa kila mtu ajibu."


Toa hoja mkuu, usitukane, ✍️✍️✍️
 
Kasome biblia imeandikwa kuwa shetani ujiinua kwa kila kiitwacho mungu kisicho mungu....maneno hayo maana yake ni pana sana...kwa kifupi shetani hutia nguvu kila kitu potovu kinacho usishwa na mungu mfano mafundisho potovu ....ibada potovu ...mitume feki ...manabii feki ...watakatifu feki wote hao upokea nguvu kutoka kwa shetani iwe ni kwa kujua au kutokujua ...ndiyo maana ikaandikwa kuwa siku ya mwisho watasema je hatukutoa pepo kwa jina lako na kuponya kwa jina lako na yeye atawaambia wazi ondokeni kwangu nyinyi watenda maovu.
 
Mungu hayupo.

Dini ni utapeli.
Ndg zangu wakati mwingine napata contradiction kuhusu nguvu na mamlaka ya Mungu hapa duniani ila tu niwaambie kweli Mungu mkuu mtakatifu na mwenye uwezo wa kila kitu yupo, pia ana kusudi kufanya yote haijalishi ya kheri au shari, yeye ndiye mwenye Siri kuu ya Dunia na ulimwengu.[emoji2969][emoji120][emoji1666]


Yeye ndiye Alfa na Omega
Yeye ndiye mwenye huruma
Yeye ndiye mwenye umiliki na mamlaka yote
Yeye ndiye hukiriwa na falme zote za kuzimu kwa uwezo wake wa ajabu


Mungu hachunguziki
Mungu nayemzungumzia hapa haeleweki
Mungu nayemsema hapa ndiye mwenye kusema iwe na ikawa, ndiye mwenye kukubali nakukataa kata kata

Mungu huyu ndiye mwenye kusudi kuu la kila jambo litokealo hapa Duniani


Pamoja na makosa yake shetani na falme zake zote za giza bado wanamkiri kwenye vinywa na nafsi zao kuye Yeye ndiye Bwana wa majeshi, yanayoendelea Duniani ni Ishara kuwa ndiye muweza wa yote, ndiye huwezi ukamtafakari ukammaliza, hachunguziki, haeleweki na haelezeki.

TABAKIA KUWA MUNGU TU. SIO MUNGU WAKUFIKIRIKA NI MUNGU ALIYE DHAHIRI NA KUNA SIKU WOTE TUTAPATA KUONA UKUU WAKE BILA KIFICHO. [emoji5]


Haelezeki naomba niishie hapa... [emoji2758]


Ombi langu rudi kwake fanya toba, ni msikivu atakusikia atakusamehe atakupa bega lake uegemee, atakufuta machozi haijalishi ulimkosea kiasi gani, usione shida zinaendelea hapa dunia, mf vita, umasikini magonjwa ukasema sio Mungu wa huruma, hapana


Huyu ndiye mwingi wa huruma. [emoji846]
 
Katika Agano la Kale la Biblia, makanisa kama tunavyoyaelewa leo hayakuwepo kama taasisi ya kidini. Makanisa, kama vile yanavyoonekana katika muktadha wa Kikristo, yalianza baada ya Yesu Kristo, hasa katika Agano Jipya.

Hata hivyo, katika Agano la Kale, kulikuwa na manabii walioitwa na Mungu kutoa ujumbe wake kwa watu wa Israeli. Hawa manabii hawakuanzisha makanisa, bali walikuwa wanahubiri na kutangaza ujumbe wa Mungu kwa jamii ya watu wa Israeli. Walitumwa kurekebisha, kuonya, na kuelekeza watu kwa njia ya haki...

Kwa maandiko haya, hao manabii wa sasa ni matapeli...
 
Mkuu, Kitabu cha Biblia kinasema, nabii wa mwisho kwa upande wa kikatoliki ni yesu, na Mungu bado hajatuma nabii yeyote yule, je hao manabii wengine wamekuja kwa njia ipi??
Mtume wala nabii siyo matokeo ya kutumwa na mungu ....maana mungu anaweza hakatuma hata mbuzi kufanya jambo fulani ...mtume na nabii ni madaraja ya watakatifu na uchamungu na thawabu yoyote mwenye kiwango cha uchamungu na utakatifu na thawabu ya juu huyo ni mtume au nabii hata kama hafanyi utume au unabii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…