Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nabii yupo Anauza maji ya upako sijui chumvi ya upako na leso za upako. Eti alifufua mtu yaani manabii hawa.Inafikirisha sana, nabii amekomaa kuishi DSM. Kupiga hela za maskini.
Ukweli ndo huo hao watu wana balaa sana Malaya ni mbwaa kuharibu ndoa za watu ndo wajuzi .mungu shuka okoa hiki kizazi cha nyokaBiblia inasema, hata wawapo wajinga lakini hawata potea. Wewe jitu Lina vaa vikuku, linatoboa pua na kuvaa hereni, make up na ma rasta, matatoo ndio usiseme bado hapo unategemea muujiza c'mon. Hakuna muujiza hapo wala ishara isipokuwa ile ya yona. Hakuna watu ma fuska kama hao mitume na manabii wengi wao huwa na sexual ritual kama sadaka kwa lucifer. Wengi wataangamia kwa kukosa maarifa.
Roho ipi?Mambo ya kiroho sio kila mtu anaweza kuyaelewa
Hakuna binadamu na hata huyo unayefikiri ni binadamu hajatoka kwa nyani."Indeed, the world does not point in a specific direction."
Asante sana mkuu, Kwa mchango mzuri 🤝🤝🤝Nabii,neno la kiarabu ambalo kiswahili kimekopa,maana yake ni mtu aliyechaguliwa na mungu akiwasiliana nae kumpa maagizo ayafikishe kea watu,wanafunzi wa yesu hawakuwa nabii,hao mbuzi wanajiita manabii
• Neno "nabii" linakutumika kwa watu wa dini mbalimbali, na siyo tu kwa Wakristo. Kwa mfano, katika dini ya Uislamu, neno "nabii" linamaanisha mjumbe wa Mungu aliyeteuliwa kuwaletea ujumbe wa kidini. Katika muktadha wa Kikristo, nabii anaweza kutumika kumaanisha mtu aliyeteuliwa na Mungu kutoa ujumbe au maono.Wakristo wanajiona wamesoma sanaaa kuliko waislamu ila ila ila hakuna watu wanotapeliwa kiurahisi kama wakristo poleni sanaa
😐😐, ukitoa elfu 5000/- unaombewa kidogo, ukitoa 100,000/- unaombewa sana.Uganga .uganga wa kienyeji ndani ya kanisa umekithiri sana hakuna kujifunza neno ni unabii kwenda mbele .mahubili ya mafanikio maana ndo shoda zetu hawa watu baadhi ni wapuzi sana
😀😀😀😀😀, bila kusahau kupokea upako kwa njia ya masafa(Television)Nabii yupo Anauza maji ya upako sijui chumvi ya upako na leso za upako. Eti alifufua mtu yaani manabii hawa.
Miujiza ndio ngao yao.
Nabii anatoa zawadi ya Gari yaani kama nambii Isaya ampe mtu zawadi ya punda endi zile.
Nabii aitwaye baba anaoneshwa ndotoni kuwa ametembea na mke wa MUUMINI wake na MUUMINI alipata taarifa hii anafurahiya😆
Ukiona mwanafunz anamuulza mwalimu swali huku akijifanya analeta lakini lakini nyingi ujue anajifanya anajua kwahyo unamuacha abaki na anachojua kwasab sio lazma sana nlichonacho uwe nacho na ulicho nacho niwe nacho.1• Hapana, "hekalu" mara nyingi hurejelea mahali pa ibada katika dini ya Kiyahudi au dini nyinginezo, wakati "kanisa" linaweza kutumika kumaanisha mahali pa ibada katika Ukristo.
2• hakuna jipya chini ya jua" inapatikana katika Kitabu cha Mhubiri (Ecclesiastes) 1:9. Katika Biblia, Mhubiri anachunguza maana ya maisha na kutoa mafundisho kuhusu dunia na uzoefu wa binadamu.
3• "katika Agano la Kale. Neno "kanisa" kwa kawaida linahusishwa zaidi na Ukristo na linaonyesha jumuiya au taasisi ya waumini. Katika Agano la Kale, maneno kama vile "hekalu" au "sinagogi" yalitumika kuelezea mahali pa ibada au mikutano ya ibada, lakini si sawa na "kanisa" kama inavyoeleweka katika muktadha wa Kikristo. Makanisa ya Kikristo yalianza baada ya Yesu Kristo, wakati wa Agano Jipya.
4• Mkuu usitoe hoja kwa hasira, leta mawazo bila kuhushisha uelewa wangu, mtu yeyote yule anaye uliza swali siku zote huwa anataka kupata jibu.
KUNA WATU WANAJIFUNZA KWA KUSIKIA, WENGINE KWA KUONA(YAWATOKEE).• kitabu cha Waraka kwa Warumi na Waraka wa kwanza wa Mtume Paulo kwa Wakorintho. Kinatafsiri tofauti kulingana na madhehebu na mafundisho ya Kikristo.
• Mkuu Tunawasaidiaje watu walio tumbukia kwenye manabii fake, Au tuwaache waendelee na safari yao. 🤒🤒
Ukitaka kumuona lazima uombe roho mtakatifu! Tueleze mkuu yupoje maana najua wewe huyo roho unaye.Kama unasubiria umuone Mungu akikatiza mtaani utapata tabu sana...
Mungu ni Roho, hivyo ukitaka kumuona lazima uombe Roho Mtakatifu akupe macho ya Rohoni...
Hakuna Raha kama kumjua Mungu, unapata uwezo wa kujua mambo yajayo...
Unapiganiwa, unaona aisee!
Bwana Yesu Kristo atukuzwe
Kwanini jibu lije nje ya muda ninaotaka mimi ili hali mungu ana uwezo wa kunijibu muda huohuo, na kwanini huyo mungu aombwe wakati anaijua shida yangu.Yupo na ukitaka kuthibitisha, tenga muda wako japo mchache na omba kwa imani unayoamini wewe kuwa naomba nipe ishara fulani niamini uwepo wako
Kisha subiria, jibu litakuja kwa wakati wake, inaweza isiwe leo kesho au hata baadae ila jua tu litakuja na utakumbuka ombi lako ndipo utakiri na kusadiki.
Mkuu nguvu za kishirikina si zinaendana na shetani? Kama ndio kwanini sijawahi sikia hao unaodai wana nguvu za kishirikina wakitumia jina shetani na wanaendelea kutumia yesu?😐😐, ni nguvu za kishirikina inatumika, mbona watu wanajaa sana kwenye makanisa yao.. Kuliko nyumba zingine za ibada ??
Inahitaji utulivu mkubwa Ila kuhusu kuwa na nguvu za kiroho na upako kila MTU anazo isipokuwa the younger generations prophets most of them wapo a head of the knowledge than ordinary people.Ni kweli mkuu ✍️✍️, Tupe uzoefu wako kuhusu manabii wa sasa ( kizazi kipya).
Mungu ameniotesha/amanifungulia maoni mida ya usiku , huyu mchumba hakufai kabisa, Nenda kachague mchumba mwingine.Roho ipi?
Na haka la sentensi ndio hutumiwa sana kupiga hadi wake za watu. Eti roho wa bwana ananionesha kuwa wewe huyu sio mume wako au huyu sio mke wako.....
Roho gani hizo