To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
πππππππ, hasa wanawake ndo wanadondoka zaidi, au wanawake wapo Karibu na ibirisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
πππππππ, hasa wanawake ndo wanadondoka zaidi, au wanawake wapo Karibu na ibirisi
Hili swali nime jiuliza sana Nabii hatambuliki kwenye vitabu vya diniKama hawamo kwenye kitabu kitakatifu basi hao sio manabii watokanao na kitabu kile yawezekana wanavyo vitabu vyao.
Nabii unasema eeeti 1988 ulionana na Yesu Mara sijui una namba zake za WhatsApp.
Wizi mtupu
Sitaki kuamini, nataka kujua.Wewe unaamini upande upi mkuu...?? Mungu, mizimu Au huamini chochote kile. π€π€
Mtu utajuaje kuwa unaroho mtakatifu?Manabii wa uongo wapo na wa kweli wapo...
Kazi ipo kwako wewe ambaye unaongozwa na mwili na kukariri neno bila kulifanyia kazi...
Wanaoongozwa na Roho Mtakatifu wanajua Nabii wa kweli na wa uongo...
Hakuna nabii yoyote wala mtume yeyote wakizazi hiki wakweli wote wachumia tumbo tu au kujipa vyeo vya kuaminika ila ki uhalisia hakunam
Kwani manabii wa kizazi cha zamani walikuwa na nini cha muhimu kuliko wa kizazi cha sasa?Hakuna nabii yoyote wala mtume yeyote wakizazi hiki wakweli wote wachumia tumbo tu au kujipa vyeo vya kuaminika ila ki uhalisia hakuna.
Hiyo inadhihirisha watu wanaishi karne ya 21 lakini akili zao zinatumia software za dark ages. Ongezeko la manabii na watu kutapeliwa kwa neno la mungu, ni dhahiri mungu huyo hayupo,angekuwepo asingeruhusu huo ujinga uwepo hata kwa bahati mbaya.
Asante sana mkuu, Kwa mchango mzuri βοΈβοΈβοΈUkiona mwanafunz anamuulza mwalimu swali huku akijifanya analeta lakini lakini nyingi ujue anajifanya anajua kwahyo unamuacha abaki na anachojua kwasab sio lazma sana nlichonacho uwe nacho na ulicho nacho niwe nacho.
Muham alikuwa na nini cha kumpa unabii halisi tofauti na hawa unaowaita matapeli?Nabii wa mwisho, mtume wa mwisho ni Muhammad "peace be upon him" wengine wote MATAPELI
Hivi vitabu mnavyoviita vitakatifu vinathibitisha vipi Mungu yupo?β’ Mkuu mungu yupo, ukipitia pitia baadhi ya vitabu, Biblia : Kitabu kitakatifu cha Ukristo kinachojumuisha Agano la Kale na Agano Jipya.
β’ Qur'an : Kitabu kitakatifu cha Uislamu.
β’ Vedas : Maandiko matakatifu ya Uhindu, ambayo ni pamoja na Rigveda, Samaveda, Yajurveda, na Atharvaveda.
β’ Tanakh : Maandiko matakatifu ya Uyahudi, ambayo ni pamoja na Torati, Nabi, na Maandiko
β’ Mojawapo ya mistari inayojulikana ni mwanzo wa Biblia, katika Kitabu cha Mwanzo, sura ya 1, ambapo inaanza na maneno "Hapo mwanzo Mungu aliumba mbingu na nchi."
β’ Pia, Yesu Kristo katika Agano Jipya anazungumza mara kwa mara kuhusu Baba yake wa mbinguni na kutoa mafundisho kuhusu ufalme wa Mungu.
β’ Hata ukiangalia jaribio la Adamu na Hawa katika Bustani ya Edeni. Wanajaribiwa kutii amri ya Mungu ya kutokula tunda fulani, lakini wanashindwa na kutokea madhara.
β’ Katika Agano Jipya, Yesu mwenyewe anapitia majaribu. Mathayo 4:1-11 na Luka 4:1-13 zinatoa maelezo ya majaribu ambayo Yesu alikutana nayo jangwani baada ya kufunga kwa siku 40. Katika kila jaribio, Yesu anapinga majaribu ya Shetani kwa kutumia Maandiko.
Sahihi maneno yako mkuuMuham aliku na nini cha kumpa inabidi halisi tofauti na hawa unaowaita matapeli?
Unaweza kujibu baada ya kuwa nimesahihisha?Sahihi maneno yako mkuu
Jibu mwenyeweUnaweza kujibu baada ya kuwa nimesahihisha?
Mboga ya shetani, hapo baadae π€π€KUNA WATU WANAJIFUNZA KWA KUSIKIA, WENGINE KWA KUONA(YAWATOKEE).
MUDA/WAKATI NI MWAMUZI MZURI.
EBU FIKIRIA
-UMEPELEKA KUCHA, NYWELE..
-UMEKULA KEKI, MAANDAZI YA UPAKO, UMEKUNYWA MAJI YA UPAKO, UMEPAKA MAFUTA YA UPAKO.....
-UMESUBIRI NDOA, KONTENA ZA CHINA, NYUMBA, GARI.......
NA BADO UCHUMI MBAYA, VYUMA VIMEKAZA, HUNA MATUMAINI YA SIKU ZIJAZO .
KITU UNACHO MILIKI NI MADENI TU!
KIBAYA ZAIDI HUNA SIFA YA KWENDA HUKO MBINGUNI.
Kwanini jibu lije nje ya muda ninaotaka mimi ili hali mungu ana uwezo wa kunijibu muda huohuo, na kwanini huyo mungu aombwe wakati anaijua shida yangu.