Mkuu samahani, zamani ulikuwa unaposta sana kuhusu uchawi, Vipi kiringe kimekaukiwa damu na umeagizwa damu za vijana au una mpango gani na uhai wa vijana wa kitanzania?Kumbukeni ya kura ni maandamano yasiyo na kukomo.. Kuanza kuyakejeli mapema kiasi hiki ni upungufu mkubwa wa akili
Siku ndio kwanza imefika nusu kama ukihesabu kuanzia jana usiku na robo siku kqma ukianzia kulipopambazuka
Japo hakujachwa msiwe wepesi kutangaza usiku.. Hii sio ngoma ya watoto..!
.https://www.instagram.com/reel/DSCPcNujVIi/?igsh=eHRmOHUzZHE1NWNw
Usijali mkuu umefanya vizuri kuuliza!Mkuu samahani, zamani ulikuwa unaposta sana kuhusu uchawi, Vipi kiringe kimekaukiwa damu na umeagizwa damu za vijana au una mpango gani na uhai wa vijana wa kitanzania?
Samahani lakini, nitashukuru endapo nitapata majibu
Sisi hatutaki kuchoma moto , wizi , uharibifu na uhuni .Kumbukeni ya kura ni maandamano yasiyo na kukomo.. Kuanza kuyakejeli mapema kiasi hiki ni upungufu mkubwa wa akili
Siku ndio kwanza imefika nusu kama ukihesabu kuanzia jana usiku na robo siku kqma ukianzia kulipopambazuka
Japo hakujachwa msiwe wepesi kutangaza usiku.. Hii sio ngoma ya watoto..!
View: https://www.instagram.com/reel/DSCPcNujVIi/?igsh=eHRmOHUzZHE1NWNw
Asante sanaUsijali mkuu umefanya vizuri kuuliza!
Niliachana kabisa na ulozi na kilinge nilikiuza.. Kwasasa nimeokoka natumika kwenye madhabahu ya yeye aliye juu.. Mungu mkuu mweza wa yote!💪🏿
Braza mshana, nawe unasjabikia hili swala daa, tunaoumia ni sisi kaka ambao kula yetu inategemeq kutoka, daa naumia kuona watu mnashabikia hiliKumbukeni ya kura ni maandamano yasiyo na kukomo.. Kuanza kuyakejeli mapema kiasi hiki ni upungufu mkubwa wa akili
Siku ndio kwanza imefika nusu kama ukihesabu kuanzia jana usiku na robo siku kqma ukianzia kulipopambazuka
Japo hakujachwa msiwe wepesi kutangaza usiku.. Hii sio ngoma ya watoto..!
View: https://www.instagram.com/reel/DSCPcNujVIi/?igsh=eHRmOHUzZHE1NWNw
Kwa maslahi mapana ya taifa letu na vizazi vyetu vijavyo kwa hakika tunahitaji ukomboziBraza mshana, nawe unasjabikia hili swala daa, tunaoumia ni sisi kaka ambao kula yetu inategemeq kutoka, daa naumia kuona watu mnashabikia hili
Mwendo ni huo huo mapaka wateme Bungo ,maandamano yasiyo na kikomo.Kwa hiyo kesho tena hivi hivi?
Tena kesho ndo itakuwa bulu bulu. Manake hizo beria unazifanya vipi na wengine wanakwenda kazini.Kwa hiyo kesho tena hivi hivi?
JK funga mdomovurugu zinazojulikana kama mandamano ya amani yasiyo na kikomo ni batili
ni vurugu zinazo kutanisha makundi ya vibaka wanaosubiri kupora mali za watanzania na kuharibu miundombinu muhimu ya taifa wakitumia kauli ya 'tunakiwasha' hima kwa watanzania wazalindo kuitokufuata mkumbo huo unahimizwa na watu wenye nia ovu ambao wengine ni wazee waliokengeuka na kutaka kuwalisha maneno ya chuki kwa vijana kuichukia nchi yao
Nadhani hawa jamaa wataendelea kuzuia watuTena kesho ndo itakuwa bulu bulu. Manake hizo beria unazifanya vipi na wengine wanakwenda kazini.
Zilishafanyika juhudi za kila namna na hakuna matokeo! Kumpokonya mtu tonge mdomoni sio jambo rahisi ujueNikweli nakubali,ila tutafute njia nyinginezo hata kuomba kwa mataifa ya mbele waongee na gvt,ila sio hii hali , maisha magumu,bora tunavyotoka tunapata kitu tunard kula na familia,