PostGE2025 Enyi mnaokejeli haya maandamano mna upungufu wa akili

PostGE2025 Enyi mnaokejeli haya maandamano mna upungufu wa akili

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Unakumbuka MO29 Mbaga Jr Alivyo kuwa anakuponda kwa video kabisa.
Mo29 watu hawakujua nguvu watakayoenda kupambana nayo na aina ya watu wanaopambana nao

Ila kwa sasa kila Mtanzania yuko aware na atakachoenda kukutana nacho that's why unaona muamko ni mdogo

Ila mdogo mdogo watu wanasogea
 
Kwani Madelu kashasema mwisho wa Curfew? Kesho utatokaje wakati Lameck Madelu amesema leo watu wakae ndani ,inabidi jioni aje na tangazo ili watu kesho waende makazini ,asipotoa means kesho tena ni ndani.
Huyu naye ajitambui , zipo idara kwa ukubwa wake huwezi kuwapa mipaka ,mfao Afya , je hawa wanapataje kinga au nao wasiende ili kiumane kwanza kabisa, ?? Maana nao ni binadamu anaweza kutoka familia ikampoteza, nyakati kama hizi ubabe mwisho Zalinze kwa mzee wa Msoga
 
Maandamano ingekuwa yawe ya amani basi wale viongozi makini kama heche, lema, wangeongoza watanzania , szan km polisi wangethubutu kuwaua viongozi wakuu wa upinzani.
Haya Sio maandamano ya upinzani
 
vurugu zinazojulikana kama mandamano ya amani yasiyo na kikomo ni batili

ni vurugu zinazo kutanisha makundi ya vibaka wanaosubiri kupora mali za watanzania na kuharibu miundombinu muhimu ya taifa wakitumia kauli ya 'tunakiwasha' hima kwa watanzania wazalindo kuitokufuata mkumbo huo unahimizwa na watu wenye nia ovu ambao wengine ni wazee waliokengeuka na kutaka kuwalisha maneno ya chuki kwa vijana kuichukia nchi yao
Makundi ya vibaka mengi yapo serikalini na huko yanatambulika kwa jina maarufu kama mafisadi.

Na yanalipwa mishahara kwa kazi hizo chafu.

It's funny kuona kibaka anayeiba ugali ili aimudu njaa anaadhibiwa kwa kuuwawa.

Ila fisadi anayeiba bilions of money anamaliza msala kwa kujiuzulu.

Ni vibaka hao hao ambao miaka yote hushiriki kuiba kura katika chaguzi.

Makundi ya vibaka mengi yapo kwenye idara za usalama na ndio maana wanafanya utekaji, mauaji na ufiraji.

Ikiwa kama unajifanya haya huyaoni basi nawe pia ni miongoni mwa hao vibaka eidha kama mnufaika kupitia ndugu yako au upo kwenye kundi la uchawa (mercenary) la kusifia vibaka kwa kupewa malipo.
 
Sisi hatutaki kuchoma moto , wizi , uharibifu na uhuni .

Ikiwa kama hivi safi tu , mnaandamana bila Fujo Kisha mnaenda zenu kulala.
Uzuri leo shwari sn
Ile siku nimegundua watu walifanya vile baada ya kuanza kupigwa risasi

Anyway leo ko vzr
 
Nipo sehema mtaani flani hivi , Bwana mmoja amekuja utafikili anakimbizwa ,mtu wa makamu , akaniambia ndugu unaelekea wapi? nikamuliza kwani wewe unaelekea wapi ? Akataja sehemu anaelekea ,mimi nikamwambia naelekea mahala flani ,akasema twende tu niache huko mbele , namuuliza mbona kama unahema kama umekimbizwa na hakuna kitu , kama upo na shida police si wale waeleze , akasema kaka , we nisaidie nisogeza , nikamwambia kaa mbele , ila jua siku ya leo sio ya kukaa kifala , nusu km akaanza story za kijinga , nikamwambia ebu shuka kidogo niwape familia mzigo , nikamwachiamanyonya.

Leo siku ya uhuru lazima kula misele kwa raha zangu Bwana
 
nusu km akaanza story za kijinga , nikamwambia ebu shuka kidogo niwape familia mzigo , nikamwachiamanyonya.😀😀😀
 
Mo29 watu hawakujua nguvu watakayoenda kupambana nayo na aina ya watu wanaopambana nao

Ila kwa sasa kila Mtanzania yuko aware na atakachoenda kukutana nacho that's why unaona muamko ni mdogo

Ila mdogo mdogo watu wanasogea
Mpk saa 8 hiii watu washakula cha mchana kilicho baki ni kutulia ungoj cku inayofuata.
 
Wabongo njaa zinawasumbua sana mtu anaona bora aendelee chini ya samuya ili mradi apate buku mbili ya kula. Nchi inazidi kuuzwa hii wenye akili wote watahama watabaki vilaza tu wamepigwa na maisha
 
Kumbukeni ya kura ni maandamano yasiyo na kikomo.. Kuanza kuyakejeli mapema kiasi hiki ni upungufu mkubwa wa akili
Siku ndio kwanza imefika nusu kama ukihesabu kuanzia jana usiku na robo siku kqma ukianzia kulipopambazuka
Japo hakujachwa msiwe wepesi kutangaza usiku.. Hii sio ngoma ya watoto..!

View: https://www.instagram.com/reel/DSCPcNujVIi/?igsh=eHRmOHUzZHE1NWNw

Madai ya Kwanza list ya walio Kuga
Pili list ya waliopata vilema,
List waliopata majeraha.
Fidia Kwa waliokuwa, waliopata vilema, waliojeruhiwa na waliobakwa

Adhabu Kwa waliotenda Vitendo hivyo.

Uchaguzi mwingine

Katiba mpya.

Kesi ya hukumu uchumi Kwa walioendesha uchaguzi batili na Bunge la Katiba la kejeli na kupoteza fedha za watanzamia
 
Mo29 watu hawakujua nguvu watakayoenda kupambana nayo na aina ya watu wanaopambana nao

Ila kwa sasa kila Mtanzania yuko aware na atakachoenda kukutana nacho that's why unaona muamko ni mdogo

Ila mdogo mdogo watu wanasogea
Nguvu gani ya walioenda kupambana nayo?? Nguvu ga matumizi ya Risasi? Hata ungekuwa wewe na rafiki yako mlikuwa na nguvu ya kuzuia maelfu ya waandamaji kwakua ni watu wengi against bullets... Kilichowashangaza wengi kwenye Mo29 ni mwenye mamlaka kuruhusu risasi tu atleast ndio point ila sio nguvu maana hata kama wangetumia tear gas na virungu watu wasingehanya hiyo siku maana waliyadaka na kuwarushia.
 
Ndo nguvu niliyomaanisha hiyo mkuu ya Risasi
 
Sisi hatutaki kuchoma moto , wizi , uharibifu na uhuni .

Ikiwa kama hivi safi tu , mnaandamana bila Fujo Kisha mnaenda zenu kulala.
day 2 kila mtu ataandamana kwenda shughurini kwake, na polisi watasimamia hili
 
Ujumbe umefika live n direct...
Kuisimamisha nchi sio kitu kidogo.

Ni muda muafaka. CCM ijitathimini.
 
Back
Top Bottom