PostGE2025 Enyi mnaokejeli haya maandamano mna upungufu wa akili

PostGE2025 Enyi mnaokejeli haya maandamano mna upungufu wa akili

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
kila kitu tanzagiza ni yanga vs simba, kama kuna vitu muslims (arabs) wamefanikiwa hapa tanzagiza ni kuteka akili za watu weusi kwenye mipira, kila kitu kinakuwa reduced kwenye duality ya yanga vs simba, sasa kuna team pro maandamano vs against i.e yanga vs simba.

tanzagiza hakuna grey area ni black or white, kukujibu hoja yako yes ni wagonjwa wa akili watu wengi kwani hawawezi kuona beyond black or white kwamba kuna kati kati pia grey area na ndio maana wanakejeli kwani wamegeuza kama yanga vs simba, low iq folks hadi huruma wanashindwa kuona the bigger picture ...
 
Maandamano ingekuwa yawe ya amani basi wale viongozi makini kama heche, lema, wangeongoza watanzania , szan km polisi wangethubutu kuwaua viongozi wakuu wa upinzani.
 
Kumbukeni ya kura ni maandamano yasiyo na kikomo.. Kuanza kuyakejeli mapema kiasi hiki ni upungufu mkubwa wa akili
Siku ndio kwanza imefika nusu kama ukihesabu kuanzia jana usiku na robo siku kqma ukianzia kulipopambazuka
Japo hakujachwa msiwe wepesi kutangaza usiku.. Hii sio ngoma ya watoto..!

View: https://www.instagram.com/reel/DSCPcNujVIi/?igsh=eHRmOHUzZHE1NWNw

mngekua mnapanga tarehe na kufanya group calls ivi za kulima na kutafuta masoko mngekua mbali kiasi gan mpaka leo?
 
Kesho waruhusu watu waendelee na shuhuli zao
Wanaondamana waandamane
Na wanaondelea na shuhuli zao waendelee
Inagne una mgonjwa muhimbili na unatakiwa upeleke chakula
Ukiwa na emergency unatoka tu ,cha msingi uwe na kitambulisho na sababu ya msingi.
 

Unapotosha watu kwa kutuma videos za zamani. Sijui unafaidika nini na huu upotoshaji!?

Screenshot_2025-12-09-13-27-40-54_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329.jpg
 
Alafu nyie sijui jwtz ambao napishana na nyie mmefunika nyuso zenu , na mabunduki , nilichogundua katika rearch ya haraka wananchi wanawachora Dunia inawachora, naona mabunduki ni mengi kuliko gari za washawasha.

Pili ninachokiona shughuli na movement za watu zipo chache sana ,maduka mengi ya kutoa huduma kwa wananchi siku ya uhuru yamefungwa masokoni ni vibanda vichache vimefunguliwa , so tusitukane mamba kabla ya kuvuka mto au kubeza kama mtoa mada asemavyo.

Kwa sasa nipo na usafili na nimepita sehemu tofauti mpaka sasa kiu ujumla wenda ule msemo usemao ukiona kobe amelala jua anatunga sheria ,

ukiwa barabarani ,kama hu mtu wa Mungu unahisi jambo mpaka rohoni,

Ok naendelea kula misele mimi ,kwa raha zangu
 
Walikuwa na kakikundi kao😀 sikujibishana nao kabisa NILIWAPUUZA .. Kulipochangamka wakapoteana mazima😀😀😀
Cjui kama umemuelewa huyo aliyeni-tag, sasa nilipoteana kvp wakati niliandamana na video nilituma.

Acha ungese ww mzee.
 
Duh kitambulisho hiyo kesho?
Kwani Madelu kashasema mwisho wa Curfew? Kesho utatokaje wakati Lameck Madelu amesema leo watu wakae ndani ,inabidi jioni aje na tangazo ili watu kesho waende makazini ,asipotoa means kesho tena ni ndani.
 
M
Kumbukeni ya kura ni maandamano yasiyo na kikomo.. Kuanza kuyakejeli mapema kiasi hiki ni upungufu mkubwa wa akili
Siku ndio kwanza imefika nusu kama ukihesabu kuanzia jana usiku na robo siku kqma ukianzia kulipopambazuka
Japo hakujachwa msiwe wepesi kutangaza usiku.. Hii sio ngoma ya watoto..!

View: https://www.instagram.com/reel/DSCPcNujVIi/?igsh=eHRmOHUzZHE1NWNw

Kuu hao ndo wale wanaoitwa wasiojulikana
A.K.A nyonya damu,usitegemee jema lolote kutoka kwao
 
Maandamano ingekuwa yawe ya amani basi wale viongozi makini kama heche, lema, wangeongoza watanzania , szan km polisi wangethubutu kuwaua viongozi wakuu wa upinzani.
Kwamba hawawezi kuwaua viongozi wa upinzani ila kuwabambikizia kesi na kuwafunga ni sawa.?
Tumia akili.
 
Ninachogundua ,mabunduki mengi wameyabeba walio kwenye uniform za mabakabaka , ila police wengi ,wako vimakundi makundi ,wengi wapo na fimbo ,sasa sijui wanafikili wananchi wapo depo au
 
Back
Top Bottom