Hii tena sio aibu, bali ni unyama uliopitiliza. Sisi tulipokuwa wadogo, tukimkuta njiwa wa porini (nkuku, kankuulu au ngungubija) kwenye kiota chake tulikuwa tunachukua mmoja, mwingine tulimuacha alee vifaranga. Jeshi la Polisi kule Geita linakamata hata mtoto wa miaka 5 siku ya kusherehekea Uhuru wa Tanganyika! Mwe!
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Dar es Salaam; 9 Desemba 2025; Saa 20:40 jioni
View attachment 3513640