PostGE2025 Enyi mnaokejeli haya maandamano mna upungufu wa akili

PostGE2025 Enyi mnaokejeli haya maandamano mna upungufu wa akili

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kumbukeni ya kura ni maandamano yasiyo na kikomo.. Kuanza kuyakejeli mapema kiasi hiki ni upungufu mkubwa wa akili
Siku ndio kwanza imefika nusu kama ukihesabu kuanzia jana usiku na robo siku kqma ukianzia kulipopambazuka
Japo hakujachwa msiwe wepesi kutangaza usiku.. Hii sio ngoma ya watoto..!

View: https://www.instagram.com/reel/DSCPcNujVIi/?igsh=eHRmOHUzZHE1NWNw

Maandamano yasiyo na ukomo yamo humu Jamii Forum na instagram kule barabarani maisha yanaendelea kama kawaida.

Watanzania ni watu waliokwishakuwaelewa hawa watoto wa 2000 kwamba hawana akili hata kidogo ndio maana Mange anawaburuza kadri anavyojisikia, wamempuuza huyo malaya mzee pia wamewadharau hawa watoto.

Hawatapambana na mamlaka kuanzia sasa, watapambana na wale wanaojua wenye mamlaka wanafanya nini kila siku, watakutana na kichapo kutoka kwa raia wema ambao walizoeleka kuonekana wapole maisha yao yote.
 
Si upelekea tumbo lako mbele , unangojea teuzi za CHADEMA...Moja ya mamluki wa hovyo ni wewe ,jitathmini sana ule uzee wako vizuri.
 
kila kitu tanzagiza ni yanga vs simba, kama kuna vitu muslims (arabs) wamefanikiwa hapa tanzagiza ni kuteka akili za watu weusi kwenye mipira, kila kitu kinakuwa reduced kwenye duality ya yanga vs simba, sasa kuna team pro maandamano vs against i.e yanga vs simba.

tanzagiza hakuna grey area ni black or white, kukujibu hoja yako yes ni wagonjwa wa akili watu wengi kwani hawawezi kuona beyond black or white kwamba kuna kati kati pia grey area na ndio maana wanakejeli kwani wamegeuza kama yanga vs simba, low iq folks hadi huruma wanashindwa kuona the bigger picture ...
Watanzania sio wajinga kama nyinyi wanaharakati mnaovyowachukulia. Kupenda mpira ni suala la dunia nzima.

Argentina kuna River Plate na Boca Juniors, Hispania kuna Barcelona na Real Madrid, dunia nzima kuna vilabu viwili vyenye uhasimu wa jadi ambavyo ni sehemu ya maisha ya kila siku.

Ukiuondoa mpira wa miguu haya maisha yanaboa kupita maelezo.
 
Kuna wpuuzi na vibaraka wa uvccm naona wamekuja kwa Kasi kwenye hii mada
1f3c8e75-8892-468f-8aa7-13e94a3e67b2.jpeg
 
Ni wapumbavu sana hawajitambui
Huwezi kuwa na maandamano ya amani halafu hupeleki barua rasmi kwa idara ya polisi. Huwezi kuwa na maandamano halafu ujumbe unaanzia na kuishia kwenye posts za instagram na makundi ya whatsapp.

Samia walitaka awanyooshe na kuanzia mwaka huu atawapelekea sana moto.
 
Back
Top Bottom