Zingzingzing
JF-Expert Member
- May 13, 2014
- 864
- 914
Kwamba hawawezi kuwaua viongozi wa upinzani ila kuwabambikizia kesi na kuwafunga ni sawa.?
Tumia akili.
Mo29 watu hawakujua nguvu watakayoenda kupambana nayo na aina ya watu wanaopambana naoUnakumbuka MO29 Mbaga Jr Alivyo kuwa anakuponda kwa video kabisa.
Huyu naye ajitambui , zipo idara kwa ukubwa wake huwezi kuwapa mipaka ,mfao Afya , je hawa wanapataje kinga au nao wasiende ili kiumane kwanza kabisa, ?? Maana nao ni binadamu anaweza kutoka familia ikampoteza, nyakati kama hizi ubabe mwisho Zalinze kwa mzee wa MsogaKwani Madelu kashasema mwisho wa Curfew? Kesho utatokaje wakati Lameck Madelu amesema leo watu wakae ndani ,inabidi jioni aje na tangazo ili watu kesho waende makazini ,asipotoa means kesho tena ni ndani.
Ni wapumbavu sana hawajitambuiKumbukeni ya kura ni maandamano yasiyo na kikomo.. Kuanza kuyakejeli mapema kiasi hiki ni upungufu mkubwa wa akili
Siku ndio kwanza imefika nusu kama ukihesabu kuanzia jana usiku na robo siku kqma ukianzia kulipopambazuka
Japo hakujachwa msiwe wepesi kutangaza usiku.. Hii sio ngoma ya watoto..!
View: https://www.instagram.com/reel/DSCPcNujVIi/?igsh=eHRmOHUzZHE1NWNw
Makundi ya vibaka mengi yapo serikalini na huko yanatambulika kwa jina maarufu kama mafisadi.vurugu zinazojulikana kama mandamano ya amani yasiyo na kikomo ni batili
ni vurugu zinazo kutanisha makundi ya vibaka wanaosubiri kupora mali za watanzania na kuharibu miundombinu muhimu ya taifa wakitumia kauli ya 'tunakiwasha' hima kwa watanzania wazalindo kuitokufuata mkumbo huo unahimizwa na watu wenye nia ovu ambao wengine ni wazee waliokengeuka na kutaka kuwalisha maneno ya chuki kwa vijana kuichukia nchi yao
Uzuri leo shwari snSisi hatutaki kuchoma moto , wizi , uharibifu na uhuni .
Ikiwa kama hivi safi tu , mnaandamana bila Fujo Kisha mnaenda zenu kulala.
nusu km akaanza story za kijinga , nikamwambia ebu shuka kidogo niwape familia mzigo , nikamwachiamanyonya.😀😀😀Nipo sehema mtaani flani hivi , Bwana mmoja amekuja utafikili anakimbizwa ,mtu wa makamu , akaniambia ndugu unaelekea wapi? nikamuliza kwani wewe unaelekea wapi ? Akataja sehemu anaelekea ,mimi nikamwambia naelekea mahala flani ,akasema twende tu niache huko mbele , namuuliza mbona kama unahema kama umekimbizwa na hakuna kitu , kama upo na shida police si wale waeleze , akasema kaka , we nisaidie nisogeza , nikamwambia kaa mbele , ila jua siku ya leo sio ya kukaa kifala , nusu km akaanza story za kijinga , nikamwambia ebu shuka kidogo niwape familia mzigo , nikamwachiamanyonya.
Leo siku ya uhuru lazima kula misele kwa raha zangu Bwana
Mpk saa 8 hiii watu washakula cha mchana kilicho baki ni kutulia ungoj cku inayofuata.Mo29 watu hawakujua nguvu watakayoenda kupambana nayo na aina ya watu wanaopambana nao
Ila kwa sasa kila Mtanzania yuko aware na atakachoenda kukutana nacho that's why unaona muamko ni mdogo
Ila mdogo mdogo watu wanasogea
Madai ya Kwanza list ya walio KugaKumbukeni ya kura ni maandamano yasiyo na kikomo.. Kuanza kuyakejeli mapema kiasi hiki ni upungufu mkubwa wa akili
Siku ndio kwanza imefika nusu kama ukihesabu kuanzia jana usiku na robo siku kqma ukianzia kulipopambazuka
Japo hakujachwa msiwe wepesi kutangaza usiku.. Hii sio ngoma ya watoto..!
View: https://www.instagram.com/reel/DSCPcNujVIi/?igsh=eHRmOHUzZHE1NWNw
Nguvu gani ya walioenda kupambana nayo?? Nguvu ga matumizi ya Risasi? Hata ungekuwa wewe na rafiki yako mlikuwa na nguvu ya kuzuia maelfu ya waandamaji kwakua ni watu wengi against bullets... Kilichowashangaza wengi kwenye Mo29 ni mwenye mamlaka kuruhusu risasi tu atleast ndio point ila sio nguvu maana hata kama wangetumia tear gas na virungu watu wasingehanya hiyo siku maana waliyadaka na kuwarushia.Mo29 watu hawakujua nguvu watakayoenda kupambana nayo na aina ya watu wanaopambana nao
Ila kwa sasa kila Mtanzania yuko aware na atakachoenda kukutana nacho that's why unaona muamko ni mdogo
Ila mdogo mdogo watu wanasogea
Ndo nguvu niliyomaanisha hiyo mkuu ya RisasiNguvu gani ya walioenda kupambana nayo?? Nguvu ga matumizi ya Risasi? Hata ungekuwa wewe na rafiki yako mlikuwa na nguvu ya kuzuia maelfu ya waandamaji kwakua ni watu wengi against bullets... Kilichowashangaza wengi kwenye Mo29 ni mwenye mamlaka kuruhusu risasi tu atleast ndio point ila sio nguvu maana hata kama wangetumia tear gas na virungu watu wasingehanya hiyo siku maana waliyadaka na kuwarushia.
day 2 kila mtu ataandamana kwenda shughurini kwake, na polisi watasimamia hiliSisi hatutaki kuchoma moto , wizi , uharibifu na uhuni .
Ikiwa kama hivi safi tu , mnaandamana bila Fujo Kisha mnaenda zenu kulala.
Totally bro..Kwa maslahi mapana ya taifa letu na vizazi vyetu vijavyo kwa hakika tunahitaji ukombozi