Ikiwa Mungu alimtoa mwanawe mpendwa na wa pekee ili kuukomboa ulimwengu kwa nini hamtaki kuwatoa wanenu muwapendao kuikomboa nchi na mnawachuuza watoto wa wenzenu waende kupoteza maisha?Kwa maslahi mapana ya taifa letu na vizazi vyetu vijavyo kwa hakika tunahitaji ukombozi
Uelewa wa wengi ni mdogoKumbukeni ya kura ni maandamano yasiyo na kikomo.. Kuanza kuyakejeli mapema kiasi hiki ni upungufu mkubwa wa akili
Siku ndio kwanza imefika nusu kama ukihesabu kuanzia jana usiku na robo siku kqma ukianzia kulipopambazuka
Japo hakujachwa msiwe wepesi kutangaza usiku.. Hii sio ngoma ya watoto..!
View: https://www.instagram.com/reel/DSCPcNujVIi/?igsh=eHRmOHUzZHE1NWNw
Kama mmekula hela za mabeberu mzirudishe mapema mission ishafeliUelewa wa wengi ni mdogo
Wengi wanaamini maandamano ya vurugu ndio maandamano.
Waliondamana wanaipenda Tanganyika.
Kubwa la muhimu ni hivi serikali haramu haiwezi kufanya kazi mpaka uchaguzi urudiwe huku wengine wakielekea ICC.
Hii inadhihirisha Oct29 walikusudia kuua!
Maandamano ni zoezi endelevu..
Ndo hivyo mkuuIkiwa Mungu alimtoa mwanawe mpendwa na wa pekee ili kuukomboa ulimwengu kwa nini hamtaki kuwatoa wanenu muwapendao kuikomboa nchi na mnawachuuza watoto wa wenzenu waende kupoteza maisha?
Tugawane tu majukumu, wakati wengine mnaomba kwa hayo mataifa ya mbele....sisi wengine tutaendelea kuandamana.Nikweli nakubali,ila tutafute njia nyinginezo hata kuomba kwa mataifa ya mbele waongee na gvt,ila sio hii hali , maisha magumu,bora tunavyotoka tunapata kitu tunard kula na familia,
Hakuna mtu asiyejua kama watanzania tunataka katiba mpya, na mchakato ulishafnywa na rasimu ipo kilichobaki ni jinsi gani tungeweza kukaa chini na kuweza kuona tunafikia malengo tuliyojiwekea kama watanzania wamoja. Sasa angalia tunavyoishi nchini kwetu kama digidigi, tumegawanywa na tumegawanyika.Ndo hivyo mkuu
Next time kama huna uelewa na jambo uliza uelimishwe kwa welediIkiwa Mungu alimtoa mwanawe mpendwa na wa pekee ili kuukomboa ulimwengu kwa nini hamtaki kuwatoa wanenu muwapendao kuikomboa nchi na mnawachuuza watoto wa wenzenu waende kupoteza maisha?
Sometimes uache utotoKumbukeni ya kura ni maandamano yasiyo na kikomo.. Kuanza kuyakejeli mapema kiasi hiki ni upungufu mkubwa wa akili
Siku ndio kwanza imefika nusu kama ukihesabu kuanzia jana usiku na robo siku kqma ukianzia kulipopambazuka
Japo hakujachwa msiwe wepesi kutangaza usiku.. Hii sio ngoma ya watoto..!
View: https://www.instagram.com/reel/DSCPcNujVIi/?igsh=eHRmOHUzZHE1NWNw
Bado niko barabarani , mkuu nakula raha zangu , nikiangalia kila nipitapo , wapo , sio mda narudi nymbani ,kuendelea na utalii maana haya hayana mwisho, hii kwangu iendelee hata miezi kumi , bora kufa njaa ila tupewe mili yetu tuzike.nusu km akaanza story za kijinga , nikamwambia ebu shuka kidogo niwape familia mzigo , nikamwachiamanyonya.😀😀😀
Ndugu yangu hivi unadhani ukiwa sahihi pia upo sawa?Next time kama huna uelewa na jambo uliza uelimishwe kwa weledi
Kumbukeni ya kura ni maandamano yasiyo na kikomo.. Kuanza kuyakejeli mapema kiasi hiki ni upungufu mkubwa wa akili
Siku ndio kwanza imefika nusu kama ukihesabu kuanzia jana usiku na robo siku kqma ukianzia kulipopambazuka
Japo hakujachwa msiwe wepesi kutangaza usiku.. Hii sio ngoma ya watoto..!
View: https://www.instagram.com/reel/DSCPcNujVIi/?igsh=eHRmOHUzZHE1NWNw
,🤣🤣🤣🤣Mwendo ni huo huo mapaka wateme Bungo ,maandamano yasiyo na kikomo.
Maria ,Sativa na Mange inabidi wa PUSH hii kitu.
Mamamae, Mama Samia, The Mother of Modern Tanzania, ni noma! Naona haters wake wanachanganyikiwa tu Kila sekunde inayopita. Hivi hii ni habari ya kuletwa na Mzee mwenye wajukuu kabisa kweli?!!!! Tena anaileta kwa u-serious wa Hali ya juu Huku akiwa amejaa Imani kuwa itachangia watu (of course wapumbavu) kutoka na kuandamana🤣🤣🤣🤣Hii tena sio aibu, bali ni unyama uliopitiliza. Sisi tulipokuwa wadogo, tukimkuta njiwa wa porini (nkuku, kankuulu au ngungubija) kwenye kiota chake tulikuwa tunachukua mmoja, mwingine tulimuacha alee vifaranga. Jeshi la Polisi kule Geita linakamata hata mtoto wa miaka 5 siku ya kusherehekea Uhuru wa Tanganyika! Mwe!
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Dar es Salaam; 9 Desemba 2025; Saa 20:40 jioniView attachment 3513640