Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Maandamano yasiyo na ukomo yamo humu Jamii Forum na instagram kule barabarani maisha yanaendelea kama kawaida.Kumbukeni ya kura ni maandamano yasiyo na kikomo.. Kuanza kuyakejeli mapema kiasi hiki ni upungufu mkubwa wa akili
Siku ndio kwanza imefika nusu kama ukihesabu kuanzia jana usiku na robo siku kqma ukianzia kulipopambazuka
Japo hakujachwa msiwe wepesi kutangaza usiku.. Hii sio ngoma ya watoto..!
View: https://www.instagram.com/reel/DSCPcNujVIi/?igsh=eHRmOHUzZHE1NWNw
Watanzania sio wajinga kama nyinyi wanaharakati mnaovyowachukulia. Kupenda mpira ni suala la dunia nzima.kila kitu tanzagiza ni yanga vs simba, kama kuna vitu muslims (arabs) wamefanikiwa hapa tanzagiza ni kuteka akili za watu weusi kwenye mipira, kila kitu kinakuwa reduced kwenye duality ya yanga vs simba, sasa kuna team pro maandamano vs against i.e yanga vs simba.
tanzagiza hakuna grey area ni black or white, kukujibu hoja yako yes ni wagonjwa wa akili watu wengi kwani hawawezi kuona beyond black or white kwamba kuna kati kati pia grey area na ndio maana wanakejeli kwani wamegeuza kama yanga vs simba, low iq folks hadi huruma wanashindwa kuona the bigger picture ...
Huwezi kuwa na maandamano ya amani halafu hupeleki barua rasmi kwa idara ya polisi. Huwezi kuwa na maandamano halafu ujumbe unaanzia na kuishia kwenye posts za instagram na makundi ya whatsapp.Ni wapumbavu sana hawajitambui
Weka akiba ambushi ni siku 5 sita tu jipange mapemaBraza mshana, nawe unasjabikia hili swala daa, tunaoumia ni sisi kaka ambao kula yetu inategemeq kutoka, daa naumia kuona watu mnashabikia hili