Harufu ya pombe inakera hata kama mtu hajafunga ,Muslim bwana, nlikutana na mmama muislam anamfokea mlevi, eti unalewaje alafu unajichanganya na sisi. Harufu yako ya pombe inatukera. Mjiangalie jamani to be honest. Mbona kuleta Sheria hivyo?
We nae hujielewi , Kwa hiyo kariakoo nzima Kuna duka la bakhresa peke yake, usiungeenda duka jingine , Ile ni biashara binafsi huwezi mpangiaNdugu zangu, juzi nikiwa katika pita zangu mitaa ya Kariakoo, baada ya mizunguko kadhaa nikaona ngoja niingie moja ya maduka makubwa ya Bakhresa yanayouza vinywaji baridi ili nipoze koo kidogo.
Baada ya kuingia katika duka lile nilimkuta muhudumu mmoja hivyo nikamuomba anipatie kinywaji.
Ajabu akaniambia hatuuuzi vinywaji muda huu nikamjibu kwa nini? Akanijibu mwezi wa Ramadhani hatuuzi vinywaji mchana mpaka saa moja usiku.
Nikamuuliza sasa kama hamuuzi mmefungua kwa nini? Jamaa akaendelea kunijibu kwa ukali nimesema hatuuzi chochote muda huu.
Ndugu zangu Waislamu kama mnajua hamtoi huduma kwa kuwa mpo kwenye funga ni bora mkafunga kabisa ili tujue moja.
Unaona Sasa ulivyo mpwayungu , huyo aliyetoa Uzi ni mwenzio na huu ni mwezi wa Kwa resma na Bado mnakula kula hovyo ,nyie ndio hamtaki kuheshim Kwa resma yenu ,usikute hata ww mwenyewe hufungi hiyo Kwa resma , Sasa nani atakae heshim kama ww mwenyewe huna haja na kwaresmaYaani huwa wanaona mfungo wao ni wa thamani sana kuliko kwaresma sisi wengine tunaonekana hatuna dini
Watu mna makasiriko balaa, dini imeagiza hivyo Sasa mtu anatekeleza matakwa ya dini yake imekuwa nongwaWanaboa wengi wao wanashinda njaa tu..
Tutolee mapombe yako, starehe yako jichanganye na walevi wenzioMuslim bwana, nlikutana na mmama muislam anamfokea mlevi, eti unalewaje alafu unajichanganya na sisi. Harufu yako ya pombe inatukera. Mjiangalie jamani to be honest. Mbona kuleta Sheria hivyo?
Wanamalalamiko sana Ila wakitoka hapo utaskia waislam wanalalamikakuna watu wanapenda kulalamika kwa vitu vidogo vidogo
Acha nithamini chakwangu, nisipo kithamini unafikiri mtu baki atakithamini?Yaani huwa wanaona mfungo wao ni wa thamani sana kuliko kwaresma sisi wengine tunaonekana hatuna dini
nadhani ni nyinyi wenyewe kutokujiamini, kwani nani amekukataza kupromote hiyo funga yako?Yaani huwa wanaona mfungo wao ni wa thamani sana kuliko kwaresma sisi wengine tunaonekana hatuna dini
Kwani maduka yake au yako?Anafungua ya nini wakati hatoi huduma?
Hamuwezi kukubaliCo kweli madam
Sina mda wa kujieleza kwako kama nafunga au sifungi ukweli anajua Mungu tuUnaona Sasa ulivyo mpwayungu , huyo aliyetoa Uzi ni mwenzio na huu ni mwezi wa Kwa resma na Bado mnakula kula hovyo ,nyie ndio hamtaki kuheshim Kwa resma yenu ,usikute hata ww mwenyewe hufungi hiyo Kwa resma , Sasa nani atakae heshim kama ww mwenyewe huna haja na kwaresma
Kwaresma umefunga ngapi?Yaaani waislamu popote duniani ni kielelezo cha akili ndogo ndio maana hata shule zao NECTA ndio makao makuu ya sufri kwasisi wakristo kufunga kwaresma ni swala binafsi hata watu wako wa karibu sio lazima wajue waislamu wao kufunga ni swala la matangazo ndio maana kwaresma na Ramadan viko sambamba ila Ramadan ndio inayosikika Kwa makeke makelele na matangazo kamwe Mungu hapokei funga zenu kwasababu mnajitangaza na kujipatia thawabu wenyewe Kwa hayo maigizo yenu!
Kwaresma sio matangazo kwaresma kwetu ni ibada ya kitubio Baina yangu na Mungu wangu na Wala sio Baina yangu majirani media na Mungu!Kwaresma umefunga ngapi?
Kuna Sheria inayesema mtu akimwagilia moyo asitoke nje?Kama upo sehemu ya umma (usafiri nk) ukiwa umelewa na miharufu ya pombe kweli sio sawa.
Ila kama ukimkuta mtu kwake au mtaani ukaanza kumfuatilia na kumhoji sio sawa.