Enyi ndugu Waislamu, funga yenu isifanye wasiofunga wateseke

Enyi ndugu Waislamu, funga yenu isifanye wasiofunga wateseke

Muslim bwana, nlikutana na mmama muislam anamfokea mlevi, eti unalewaje alafu unajichanganya na sisi. Harufu yako ya pombe inatukera. Mjiangalie jamani to be honest. Mbona kuleta Sheria hivyo?
Harufu ya pombe inakera hata kama mtu hajafunga ,
Harufu ya pombe Ni keroooo
 
Ndugu zangu, juzi nikiwa katika pita zangu mitaa ya Kariakoo, baada ya mizunguko kadhaa nikaona ngoja niingie moja ya maduka makubwa ya Bakhresa yanayouza vinywaji baridi ili nipoze koo kidogo.

Baada ya kuingia katika duka lile nilimkuta muhudumu mmoja hivyo nikamuomba anipatie kinywaji.

Ajabu akaniambia hatuuuzi vinywaji muda huu nikamjibu kwa nini? Akanijibu mwezi wa Ramadhani hatuuzi vinywaji mchana mpaka saa moja usiku.

Nikamuuliza sasa kama hamuuzi mmefungua kwa nini? Jamaa akaendelea kunijibu kwa ukali nimesema hatuuzi chochote muda huu.

Ndugu zangu Waislamu kama mnajua hamtoi huduma kwa kuwa mpo kwenye funga ni bora mkafunga kabisa ili tujue moja.
We nae hujielewi , Kwa hiyo kariakoo nzima Kuna duka la bakhresa peke yake, usiungeenda duka jingine , Ile ni biashara binafsi huwezi mpangia
 
Yaani huwa wanaona mfungo wao ni wa thamani sana kuliko kwaresma sisi wengine tunaonekana hatuna dini
Unaona Sasa ulivyo mpwayungu , huyo aliyetoa Uzi ni mwenzio na huu ni mwezi wa Kwa resma na Bado mnakula kula hovyo ,nyie ndio hamtaki kuheshim Kwa resma yenu ,usikute hata ww mwenyewe hufungi hiyo Kwa resma , Sasa nani atakae heshim kama ww mwenyewe huna haja na kwaresma
 
Wafanya kazi wa bakhressa na Azam kwa ujumla wanajionaga kama last born wa MUNGU na kujikuta wao ndie wanajua sana kuishi utakatifu hapa duniani kumbe ni roho mbaya tu.
 
Muslim bwana, nlikutana na mmama muislam anamfokea mlevi, eti unalewaje alafu unajichanganya na sisi. Harufu yako ya pombe inatukera. Mjiangalie jamani to be honest. Mbona kuleta Sheria hivyo?
Tutolee mapombe yako, starehe yako jichanganye na walevi wenzio
 
Miaka ya nyuma kidogo, Kuna Mwarabu Koko mmoja alikuwaanapiga Hela mwezi wa Ramadan Kariakoo. Yeye alikuwa hawafungi kihiteo Chake. Na alikuwa anatoa sababu za kidiki. Alibainisha kuwa wateja wake ni Wasafiri, na Quran imeruhusu kuwapa chakula mwezi wa Ramadhan.
Hoja hii Ina mashiko.kwa kuwa eneo.kama.la.Kariakoo siku za.kazi watu wengi ni kama Wasafiri hivyo,kuwauzia chakula sio kosa!
 
Kufunga Ni suala binafsi la mtu na dini yake kama mtu amefunga asilazimishe na mtu mwingine aishi kama yeye kila mtu ana dini yake na wengine hawana dini kabisa kila mtu aishi maisha yake fullstop
 
Mtoa mada una gubu sana.

Mbona kuna sehemu ikifika siku ya Jumapili hawatoi huduma na wala hao waislam hawalalamiki, wanajiongeza maisha yanaenda.

Vitu vidogo kama hivyo vinakushupaza shingo!
 
Tatizo dini moja inaona imefika mbinguni. Mm babu yangu alikua Muislam swala tano, lakini alinuheshimu Kila mtu na dini yake.
 
Unaona Sasa ulivyo mpwayungu , huyo aliyetoa Uzi ni mwenzio na huu ni mwezi wa Kwa resma na Bado mnakula kula hovyo ,nyie ndio hamtaki kuheshim Kwa resma yenu ,usikute hata ww mwenyewe hufungi hiyo Kwa resma , Sasa nani atakae heshim kama ww mwenyewe huna haja na kwaresma
Sina mda wa kujieleza kwako kama nafunga au sifungi ukweli anajua Mungu tu
 
Yaaani waislamu popote duniani ni kielelezo cha akili ndogo ndio maana hata shule zao NECTA ndio makao makuu ya sufri kwasisi wakristo kufunga kwaresma ni swala binafsi hata watu wako wa karibu sio lazima wajue waislamu wao kufunga ni swala la matangazo ndio maana kwaresma na Ramadan viko sambamba ila Ramadan ndio inayosikika Kwa makeke makelele na matangazo kamwe Mungu hapokei funga zenu kwasababu mnajitangaza na kujipatia thawabu wenyewe Kwa hayo maigizo yenu!
 
Kwaresma umefunga ngapi?
 
Back
Top Bottom