Enyi ndugu Waislamu, funga yenu isifanye wasiofunga wateseke

Basi sawa nimeamini wafuasi ni tatizo ila uislamu uko vizuri.
 
Muslim bwana, nlikutana na mmama muislam anamfokea mlevi, eti unalewaje alafu unajichanganya na sisi. Harufu yako ya pombe inatukera. Mjiangalie jamani to be honest. Mbona kuleta Sheria hivyo?
JUzi na mimi nikakuta ice cream parlor yao wamefunga..nilichoka
 
Ulimkuta na swaum zake,😂😂
 
Angalia ikilia adhana, utadhani ni zile dakika tatu za nyongeza uwanja wa Taifa mageti yanafungiliwa watu waingie


Ni agizo kutoka kwa mtukufu mtume Muhammad (saw) tusichelewe kufuturu (to break the fast) mara tu muda unapofika hata kwa kunywa funda moja la maji.--- hapo hakuna makosa.
 
Kwaresma sio matangazo kwaresma kwetu ni ibada ya kitubio Baina yangu na Mungu wangu na Wala sio Baina yangu majirani media na Mungu!
Najua hujafunga ata moja ndo mna maneno mengi
 
Usiwatetee

Kwani ni dhambi???acheni utahira wa fikra,,, huwezi mpa mtu maji ya kunywa kama anahitaji kisa wewe umefunga??Dini zimetufanya asilimia kubwa ya waafrika tumekuwa mafala sana!!!tubadilike
Upungufu wako wa Akili usifanye watu wote wakawa sawa na ww
 
Kipindi cha kwaresma mbona hatujasikia malalamiko yyte humu

Yni mnapenda tu kuudiss Uislamu everytime
 
Waarabu ni watu wajinga zaidi duniani walichojaaliwa ni mipua mikubwa
 
Kwani maduka ni yako?
Unampangia mtu na biashara yake,umechangia kitu kwenye kwenye hilo duka lake?
Tuache ulalamishi wa kindezi.
Maduka yapo mengi nenda kanunue duka lingine na maisha yaendelee yanini ulete nongwa kwenye biashara ya mtu binafsi?
USTAARABU NI KUFUNGA MLANGO TU !!!!!!!!!!!!!!
 
NILIKUWA ILALA MTAA WA ARUSHA , UKIINGIA TU KAM UNATOKA BOMA KUNA KANISA KUSHOTO HAPO HAPO KUNA VIUJANA WA KIPEMBA WANAUZA CHIPS, WENYEWE KAZI INAENDELEA LAKINI HAUTAKIWI KULLIA AU KUNYWA HAPO, TAKE AWAY TU. AT LEAST SIYO MBAYA KIDOGO.
 
Mbon kkoo watu kibao wanakula.pita hapa tra soda barabaran maj ya 500 lita moja na nusu yanauzwa vizur tu. Shida yako ilikua ule kwa baharesa?
 
NILIKUWA ILALA MTAA WA ARUSHA , UKIINGIA TU KAM UNATOKA BOMA KUNA KANISA KUSHOTO HAPO HAPO KUNA VIUJANA WA KIPEMBA WANAUZA CHIPS, WENYEWE KAZI INAENDELEA LAKINI HAUTAKIWI KULLIA AU KUNYWA HAPO, TAKE AWAY TU. AT LEAST SIYO MBAYA KIDOGO.
Kwa hiyo chakula anachopika hakitamani, Ila mtu akinunua na kula anatamani? Kazi ipo
 
Funga yao ni ya kinafik tu, wao ni kulakula tu. Alafu wanataka kila mtu afate yao.
 
Huku kigamboni hakuna vitafunwa asubuhi
 
Kama maduka ya Bakhresa hayatoi huduma mchana, nenda maduka mengine mbona ni simple sana, hapo Kariakoo kuna maduka mangapi unapata vinywaji baridi?
Ni Usumbufu huwenda nimetoka mbali kufuata huduma kwako baada ya kujua ofisi yako iko wazi lakini kuniambia huuzi bidhaa mchana ni bora kufunga kuondoa usumbufu unaowaleta watu
Tumia akili
ni watu wangapi wanapitia kero na majibu mabaya ya hao wahudumu wanaojiiita wamefunga huku kutwa nzima wakiongeleana vibaya na wateja? kuwaudhi wengine wakati umefunga siyo dhambi?
Nafikiri ni busara zaidi kufunga ofisi

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kwani maduka ni yako?
Unampangia mtu na biashara yake,umechangia kitu kwenye kwenye hilo duka lake?
Tuache ulalamishi wa kindezi.
Maduka yapo mengi nenda kanunue duka lingine na maisha yaendelee yanini ulete nongwa kwenye biashara ya mtu binafsi?
Jitambue

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…