Hapo unakosea sana mkuu, unapaswa ujue kwamba kuna Dini ya uisilamu na Wafuasi wa dini ya Uisilamu, unatakiwa uuhukumu dini yenyewe na sio kuhukumu dini kupitia matendo ya Wafuasi wake, mfano Wapo Wakristo wengi mashoga je ni sawa tukihukumu Ukristo kwa hao wafuasi wake kuwa mashoga??! nadhani sio sawa.
Sasa kabla ya kuhukumu dini yoyote inakupasa uchunguze mafundisho yake yanasemaje, kwa suala hili yakupasa uuchunguze Uisilamu kupitia Qur'an tukufu na uone Uisilamu unasemaje juu ya dini zingine, nakupa hiyo Home work.