Enyi wanaume wapendwa

Enyi wanaume wapendwa

FB_IMG_1726932367089.jpg
 
Nawatakia binti zenu mliowazaa au mtakaowazaa na wakutane na wanaume kama wewe.

Nimemaliza.

Ukweli unaoumiza.
Ni baraka lakini pia ni vijembe inategemea na mlengwa mmoja mmoja
 
😂😂😂😂 reality check
Tumekuwa tukiwasema wanawake, tukijijustify kuwa tuko sahihi, ila tukijaribu kuhukumu baadhi ya matendo tunayoyafanya, wanaume wengi wanaona wako sawa.
 
Back
Top Bottom