Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawatakia binti zenu mliowazaa au mtakaowazaa na wakutane na wanaume kama wewe.
Nimemaliza.
Ukweli unaoumiza.
😂😂😂😂 reality checkNawatakia binti zenu mliowazaa au mtakaowazaa na wakutane na wanaume kama wewe.
Nimemaliza.
Ukweli unaoumiza.
Ni baraka lakini pia ni vijembe inategemea na mlengwa mmoja mmojaNawatakia binti zenu mliowazaa au mtakaowazaa na wakutane na wanaume kama wewe.
Nimemaliza.
Ukweli unaoumiza.
Ni baraka lakini pia ni vijembe inategemea na mlengwa mmoja mmojaNawatakia binti zenu mliowazaa au mtakaowazaa na wakutane na wanaume kama wewe.
Nimemaliza.
Ukweli unaoumiza.
I repeat man down man down, I repeat...Nawatakia binti zenu mliowazaa au mtakaowazaa na wakutane na wanaume kama wewe.
Nimemaliza.
Ukweli unaoumiza.
Ukweli unauma.Oya wacha mambo ya kikuda
Bladihenken!
Uko sahihi sana. Nimegundua ukiwa mtaratibu ,utawavutia wataratibu.Pia ukiona unakutana Sana na wrong person fahamu tu na wewe ni wrong person.
Because you see what you reflect
Tumekuwa tukiwasema wanawake, tukijijustify kuwa tuko sahihi, ila tukijaribu kuhukumu baadhi ya matendo tunayoyafanya, wanaume wengi wanaona wako sawa.😂😂😂😂 reality check
Sawa mtu mwemaAmina.
Inshallah.
Kizito.Kituuuu
Hapa watashindwa.
Uko sahihi mkuu.Ni baraka lakini pia ni vijembe inategemea na mlengwa mmoja mmoja
Inaonekana hutaki kabisa mtoto wa kike akutane na mwanaume wa aina yako.I repeat man down man down, I repeat...