Enyi Wanyamwezi wa Tabora United Simba ya fungua dimba imewakosa sana mmepigwa kono la nyani jumapili

Enyi Wanyamwezi wa Tabora United Simba ya fungua dimba imewakosa sana mmepigwa kono la nyani jumapili

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Nawaasa washabiki na wanachama wa Simba, suala la usajili limekwisha na sasa tuunge mkono chama letu.

Simba itakaa sawa baada ya mechi tano au sita, huyo Mukwala mnayedhani sio striker atawanyamazisha muda c mrefu.

Kama wewe umekuja kwenye football kama Baba levo au Mwijaku tafadhali jitoe mapema tuachie wenye Simba yetu.

Jumapili tunaanza rasmi ligi na kusaka mafanikio ya timu, Simba nguvu moja ndio inatakiwa itamalaki jumapili.

Siku hiyo hasira zetu tutaanzia kwa Tabora United, golini Camara, kulia Kijiri, kushoto Zimbwe, nne Hamza au Chamou, dala Che Malone, Six Yussuph Kagoma au Okajepha winga Mutale, winga Balua, Nane Debora, Tisa Mukwala kumi Awesu Awesu.

Burudani itakuwa ya kutosha sana jumapili.

Tuiunge mkono timu yetu, tuachen upuuzi wa kuwafuatisha hao mwiko nyuma.Dawa yao inachemka.
 
Simba hii hii ya debora au kuna simba ingine huko kwenu!!!
 
Au,,,Au nyingi,,Inamaana Uhakika hakuna hapo
 
Mashabiki maandazi kwenye hizi timu zetu ni wengi sana

Simba ime improve sana ni swala la muda tu watu watakaa kimya
Simba Nguvu Moja (SNM)
 
Back
Top Bottom