Enzi zako zimekwisha P FUNK pole sana

Status
Not open for further replies.
Pfunk huyu huyu aliyefulia na kuishi kwa mama yake ugali shkamoo au amezaliwa mwingine? kama ni huyu huyu wa mabange tutasubiri sana kuiona hiyo studio na redio. Labda kama ni mwingine amabaye majina yamefanana

Mkuu usisikilize maneno ya wapambe wa rugemalila na kundi lao la fleva unit linalo ongonzwa na mwanFAtuma. Nenda pale bamaga nyuma ya kituo cha mafuta ukacheck jengo la p-funk, studio yake, gari na watu walio panga foleni kurecord ndo urudi useme.
mia
 
Yaan unasema majany ni sawa na mswaki??
 
heshima kwao W.W.A(weusi,wagumu, asilia). Hawa ndo watu wa kwanza kuimba kwa kiswahili na kutengeneza beat zao wenyewe bila kucopy za mamtoni.
kuna wimbo wao ulikua ukiitwa sauti ya wagumu. sijui Ntwa kaise(Tony nice) yupo wapi. lakini kwa mara ya mwisho niliskia fredrick anafanya kazi DSTV. mwingine ni own rico star. wakiwa na Fresh F wa kinyama.
Shukrani ziwaendee walio tangaza mziki wetu radio one na akina DJ JD,Dj Mike Muhagama(pesa mbili), Sos B(sebastian maganga).
cc; miss strong, bily. mia
 
Last edited by a moderator:

Kama mi i pimbi wewe ni Kima cha M......A...VI, kumbe bado unaeongelea mali ambazo si za kwake za kuchuma ni za ukoo au wazazi eeehh? nawe kachume zako badala ya kuhesabu mali za pfunk. Net yenyewe ya kuingilia JF umesubiri hadi uingie ofisini uibe muda wa ofisi na internet. Byee for now nshajua wewe ni kima cha.... so sitapigizana kelele na wewe
 
Mambo MIA? hahahaha naona uko na team pfunk haya bwana, ngoja mie nitafute hela kwani hizi team mwisho wa siku haziongezi percapita income. Sina team ya ushabiki mie....najitoa rasmi.
 
LINGINE MWENZETU ANA UTAMADUNI WA KIZUNGU KWAHIO KUSEMA KWAMBA AMEFULIA WAKATI KILA SIKU ANABADILISHA MAGARI KWA NDUGU ZAKE UHOLANZI ANAENDA KILA AKITAKA

Ona huyu mburula naye! eti mwenzetu ana utamaduni wa kizungu...huo utamaduni wa kizungu ndo ukoje? jinga kabisa wewe.
 
tulia wewe mi sitaki ajira za kibongo na si lazima niajiriwe ila siwezi kunyamaza kuona ukweli unapindishwa na mliberali kama wewe pfunk alikuepo kabla ya clouds though kiumri ni mdogo kwa kusaga ila akili yake na kipaji chake ni vitu ambavyo huwezi kuvipata kwa mtu mwingine waulize wakongwe akina dj jd,bakari sadick,josh,saleh ally nk watakuambia paul ni nani.
cc figganiga,miss strong na wote wanaojitambua.
 
Ona huyu mburula naye! eti mwenzetu ana utamaduni wa kizungu...huo utamaduni wa kizungu ndo ukoje? jinga kabisa wewe.

mkuu pole sana kwa kutokuepo kwako karibu tena jamvini kwanza,utamaduni wa kizungu uijui wewe au unataka nikurudishe darasani mkuu p-funk ni mwiba kwenu nyie clouds na mwaka huu mtakoma.
 
mkuu pole sana kwa kutokuepo kwako karibu tena jamvini kwanza,utamaduni wa kizungu uijui wewe au unataka nikurudishe darasani mkuu p-funk ni mwiba kwenu nyie clouds na mwaka huu mtakoma.

Siujui mimi huo utamaduni wa kizungu na kusema ukweli kwangu haijalishi sana.

Hivi huyo mmanga atakuwaje mwiba kwa Clouds? Clouds ilikuwepo tokea hata hajabalehe na kuota hiyo minyoya yake ya mgongoni. Leo hii ndo aje kuwa mwiba? That's just a figment of your imagination coz it ain't so whatsoever.
 
mkuu clouds imeanza around 2001s ila majani kaanza kurekodi 1995 unaona hiyo interval.
 
mkuu clouds imeanza around 2001s ila majani kaanza kurekodi 1995 unaona hiyo interval.

Clouds entertainment ipo tokea late 80s. Mawingu studio pale Mwenge waliporekodia Oya Msela (moja ya nyimbo za kwanza kabisa za bongo fleva) ilikuwepo tokea 92 au 93.

Na Clouds radio imeanza 1998

Rudi upya.

Last edited by a moderator:
Clouds entertainment ipo tokea late 80s. Mawingu studio pale Mwenge waliporekodia Oya Msela (moja ya nyimbo za kwanza kabisa za bongo fleva) ilikuwepo tokea 92 au 93.

Na Clouds radio imeanza 1998

Rudi upya.

hiyo ilikua clouds entertainment na si clouds media group ambayo according to kusaga ni (cool lovable outrageous dyanamic sounds) clouds
 
Last edited by a moderator:
hiyo ilikua clouds entertainment na si clouds media group ambayo according to kusaga ni (cool lovable outrageous dyanamic sounds) clouds

Ndio hao hao na wamiliki wake ndiyo hao hao. Acha kutenganisha vinywele.
 
Ndio hao hao na wamiliki wake ndiyo hao hao. Acha kutenganisha vinywele.

mkuu nyani ngabu mi ujue katika watu ambao hawapendi kujisifia paul majani kwani anasema kua watu waliompa uzoefu wa kutosha ni rap master (mj records),dj bonny luv (mawingu records) na kwa kipindi hichi alikua anasoma pale IST. sasa na sisi kwanini tusikubali mchango wake?
 
mkuu pole sana kwa kutokuepo kwako karibu tena jamvini kwanza,utamaduni wa kizungu uijui wewe au unataka nikurudishe darasani mkuu p-funk ni mwiba kwenu nyie clouds na mwaka huu mtakoma.

hahahaaa...!!!. jamaa karudi tena?!. ngoja niangalie hii vita lazima mtu apigwe ban.
cc. stata mzuka, Mndengereko, miss strong, Mrembo by Nature. bila shaka Nyani Ngabu ana share clouds media na atakua yupo nyuma ya tanzania fleva unit ambayo katibu wake ni kalla pina. mia
 
Last edited by a moderator:

Kumbe ulikuwa hujanielewa, siku nyingine usiparamie kila kitu bila kukielewa. Nenda usome upya comment yangu: Mimi sijakataa kwamba pfunk ana kipaji natambua sana kwamba ana kipaji.......nilichosema ni kwamba kwa sasa kafulia kwa makosa anayoyajua yeye (alikuwa peke yake kipindi chaa nyuma akalewa sifa sasa utitiri wa studio umemwagwa haiwezi kuwa kama kipindi cha nyuma)........hata wenye vipaji kuna siku wanafulia hawawezi simama muda wote. Sababu ziko nyingi mfano kwa P studio zimekuwa nyingi tofauti na zamani, wasanii wake ndio hao wengi wamekuwa watu wa bangi, pombe na drugs na hivyo kupywaya kwenye fani na mengine meeengi.
Kama unavyo mtetea basi kama anarudi mshauri ajipange hasa kwani ushindani ni mwingi si kama alivyoanza peke yake. Pia bangi na kazi si mpango
 
Ati umesema Mawingu nini?
 
Clouds entertainment ipo tokea late 80s. Mawingu studio pale Mwenge waliporekodia Oya Msela (moja ya nyimbo za kwanza kabisa za bongo fleva) ilikuwepo tokea 92 au 93.

Na Clouds radio imeanza 1998

Rudi upya.

Hata data hana alafu anajifanya anawajua watu.......ukitetea kitu lazima uwe na dataa. Clouds for life beib
 
Last edited by a moderator:
hiyo ilikua clouds entertainment na si clouds media group ambayo according to kusaga ni (cool lovable outrageous dyanamic sounds) clouds

anashindwa kujua kwamba kipindi hicho hawa jamaa walikua watoa burdan kwenye kumbi za starehe hadi walipo pata mdhamini. Hata hivyo kuwa kwenye game muda mwingi sio sababu ya kutokua mnyonyaji wa wasanii. Clouds media ndio wanyonyaji na wafitinishaji wa kwanza wa wasanii wa Bongo na huu ndo ukweli ambao Nyani Ngabu hataki kuusikia. mia
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…