Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pfunk huyu huyu aliyefulia na kuishi kwa mama yake ugali shkamoo au amezaliwa mwingine? kama ni huyu huyu wa mabange tutasubiri sana kuiona hiyo studio na redio. Labda kama ni mwingine amabaye majina yamefanana
sikiliza we pimbi majani hawezi kufulia kama unavyodhani kula kwao masaki na kulala kwake bamaga siyo tabu kwani mama yake ndie aliempangia hivyo kumbuka kwao yeye ndiye mtoto wa mwisho na mama yake kila akimwambia anataka kuondoka anamkatalia LINGINE MWENZETU ANA UTAMADUNI WA KIZUNGU KWAHIO KUSEMA KWAMBA AMEFULIA WAKATI KILA SIKU ANABADILISHA MAGARI KWA NDUGU ZAKE UHOLANZI ANAENDA KILA AKITAKA SASA SIJUI UNATAKA AFANYAJE SORRY KARIBU NA WAALIKE NA WENZAKO KATIKA UZINDUZI RASMI WA BONGO RECORDS BAADA YA UKARABATI MKUBWA ULIOFANYWA NA CEO PAUL aka majani aka kinywele kimoja aka halfani aka MDACHI.
cc figganiga,mistrong
Mkuu usisikilize maneno ya wapambe wa rugemalila na kundi lao la fleva unit linalo ongonzwa na mwanFAtuma. Nenda pale bamaga nyuma ya kituo cha mafuta ukacheck jengo la p-funk, studio yake, gari na watu walio panga foleni kurecord ndo urudi useme.
mia
LINGINE MWENZETU ANA UTAMADUNI WA KIZUNGU KWAHIO KUSEMA KWAMBA AMEFULIA WAKATI KILA SIKU ANABADILISHA MAGARI KWA NDUGU ZAKE UHOLANZI ANAENDA KILA AKITAKA
Kama mi i pimbi wewe ni Kima cha M......A...VI, kumbe bado unaeongelea mali ambazo si za kwake za kuchuma ni za ukoo au wazazi eeehh? nawe kachume zako badala ya kuhesabu mali za pfunk. Net yenyewe ya kuingilia JF umesubiri hadi uingie ofisini uibe muda wa ofisi na internet. Byee for now nshajua wewe ni kima cha.... so sitapigizana kelele na wewe
Ona huyu mburula naye! eti mwenzetu ana utamaduni wa kizungu...huo utamaduni wa kizungu ndo ukoje? jinga kabisa wewe.
mkuu pole sana kwa kutokuepo kwako karibu tena jamvini kwanza,utamaduni wa kizungu uijui wewe au unataka nikurudishe darasani mkuu p-funk ni mwiba kwenu nyie clouds na mwaka huu mtakoma.
Siujui mimi huo utamaduni wa kizungu na kusema ukweli kwangu haijalishi sana.
Hivi huyo mmanga atakuwaje mwiba kwa Clouds? Clouds ilikuwepo tokea hata hajabalehe na kuota hiyo minyoya yake ya mgongoni. Leo hii ndo aje kuwa mwiba? That's just a figment of your imagination coz it ain't so whatsoever.
mkuu clouds imeanza around 2001s ila majani kaanza kurekodi 1995 unaona hiyo interval.
Clouds entertainment ipo tokea late 80s. Mawingu studio pale Mwenge waliporekodia Oya Msela (moja ya nyimbo za kwanza kabisa za bongo fleva) ilikuwepo tokea 92 au 93.
Na Clouds radio imeanza 1998
Rudi upya.
hiyo ilikua clouds entertainment na si clouds media group ambayo according to kusaga ni (cool lovable outrageous dyanamic sounds) clouds
Ndio hao hao na wamiliki wake ndiyo hao hao. Acha kutenganisha vinywele.
mkuu pole sana kwa kutokuepo kwako karibu tena jamvini kwanza,utamaduni wa kizungu uijui wewe au unataka nikurudishe darasani mkuu p-funk ni mwiba kwenu nyie clouds na mwaka huu mtakoma.
tulia wewe mi sitaki ajira za kibongo na si lazima niajiriwe ila siwezi kunyamaza kuona ukweli unapindishwa na mliberali kama wewe pfunk alikuepo kabla ya clouds though kiumri ni mdogo kwa kusaga ila akili yake na kipaji chake ni vitu ambavyo huwezi kuvipata kwa mtu mwingine waulize wakongwe akina dj jd,bakari sadick,josh,saleh ally nk watakuambia paul ni nani.
cc figganiga,miss strong na wote wanaojitambua.
mkuu nyani ngabu mi ujue katika watu ambao hawapendi kujisifia paul majani kwani anasema kua watu waliompa uzoefu wa kutosha ni rap master (mj records),dj bonny luv (mawingu records) na kwa kipindi hichi alikua anasoma pale IST. sasa na sisi kwanini tusikubali mchango wake?
Clouds entertainment ipo tokea late 80s. Mawingu studio pale Mwenge waliporekodia Oya Msela (moja ya nyimbo za kwanza kabisa za bongo fleva) ilikuwepo tokea 92 au 93.
Na Clouds radio imeanza 1998
Rudi upya.
hiyo ilikua clouds entertainment na si clouds media group ambayo according to kusaga ni (cool lovable outrageous dyanamic sounds) clouds