Enzi zile tulimtetemekea sana Lipumba eti ni mchumi

Enzi zile tulimtetemekea sana Lipumba eti ni mchumi

Chikenpox

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2022
Posts
784
Reaction score
1,246
Wakati tunazaliwa tuliambiwa kwamba hakuna mchumi kama Lipumba na mpaka wakafikia kusema ni mchumi namba mbili tuniani.

Sasa nimesoma soma vitabu sijawahi ona hata quotation au mtu aliyemcite Lipumba na Wala sijawahi ona hata theory moja aliyodevelop au kukosoa za watu. Theories nyingi za akina Keynes, modigliian, etc lakini hapa tuliambiwa Lipumba ni balaa.

Aise wabongo Huwa tunapigwa fix sana na tunapenda sana kutetemekea titles za uptoffesor na udoctor wakati wengi ni vilaza tu. Madoctor wengi wanaofundisha vyuo vikuu Huwa wanapeana udoctor ili walindane kazini lakini kichwani hamna kitu.
 
Back
Top Bottom