Mnyanyembe wa Mboka
JF-Expert Member
- Feb 10, 2017
- 2,348
- 3,038
Hovyo kabisa hana lolote, nakumbuka na mimi nilikua mshabiki namba moja nikitetea hizo qualification zisizokuwa na mashiko, ambazo kwakweli na mimi nilikua nasikia tu kutoka kwa Kaka zangu kibaya zaidi tumetoka mkoa mmoja na vijiji vyetu vipo jirani yeye anatoka Lolangulu mimi natoka Tumbi, kwahiyo ulikua huniambii kitu kuhusu Lipumba [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Prof. Lipumba ni moja ya vichwa hatari sana kwenye uchumi Tanzania hatokuja kutokea kama yeye
Nilichokuja kugundua ni boya mmoja mchumia tumbo hana anachokijua zaidi ya blabla tu na janjajanja yaani kwa kifupi yeye na Profesa Kabudi wamefanana kila kitu mpaka akili kasoro kutoa macho tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Maprofesa wa Bongo kwakweli ni mtihani sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lipumba ni zero kwakweli ...