Enzi zile tulimtetemekea sana Lipumba eti ni mchumi

Enzi zile tulimtetemekea sana Lipumba eti ni mchumi

Ni kama chadema tu mnavyotupiga kamba sasa kwamba Dunia nzima hakuna mwenyekiti wa Chama bora kuwahi kutokea kama Mbowe.

Huko mbeleni mtakuja kujiona wajinga sana.
 
Prof. Lipumba ni moja ya vichwa hatari sana kwenye uchumi Tanzania hatokuja kutokea kama yeye
hivi vitoto havijui, vyenyewe vinajua kupinga kila kitu cha CCM ndiyo ujanja na una akili kubwa, vipumbavu sana, LIPUMBA is one the best brain kama nchi tumewahi kuitoa
 
Mi nlisikia jamaa huwa anashauri uchumi katika nchi ya Marekani...

Mwamba alikuwa kichwa Africa nzima hakuna kama Lipumba katika uchumi.
 
Wewe huwezi kujifananisha na Lipumba hata kidogo, vipumbavu kama wewe mnafanya mitandao ionekane ya wahuni


Sikatai, siwezi kujifananisha naye, lakini kuna hata kitabu kimoja cha economics katunga kinachoweza kutumiwa na wanafunzi wa higher learning institutions duniani kama rejea Darasani kwenye field ya economics??---- kwa sifa zisizo za kawaida anazopewa huyo "mwamba" ni lazima awe unique.

Msaada wake kwa dunia achilia mbali nchi ni upi??
 
Wakati tunazaliwa tuliambiwa kwamba hakuna mchumi kama Lipumba na mpaka wakafikia kusema ni mchumi namba mbili tuniani.

Sasa nimesoma soma vitabu sijawahi ona hata quotation au mtu aliyemcite Lipumba na Wala sijawahi ona hata theory moja aliyodevelop au kukosoa za watu. Theories nyingi za akina Keynes, modigliian, etc lakini hapa tuliambiwa Lipumba ni balaa.

Aise wabongo Huwa tunapigwa fix sana na tunapenda sana kutetemekea titles za uptoffesor na udoctor wakati wengi ni vilaza tu. Madoctor wengi wanaofundisha vyuo vikuu Huwa wanapeana udoctor ili walindane kazini lakini kichwani hamna kitu.
Ole wako Hamis Mjengwa asme uzi wako. Jamaa anavyomfagilia Lipumba.
 
On huyu Kiazi
 

Attachments

  • 20221121_135525.jpg
    20221121_135525.jpg
    76.5 KB · Views: 2
Wakati umekalia tumbo lako kupata posho za kupost urojo mitandaoni. Nenda Uganda kaangalie impact ya ishauri wake wa Uchumi kwa Museven.

Tatizo la Tanzania ni roho mbaya na laana ya CCM ambapo inahakikisha kama kuna Mtanzania anayeonekana ni kichwa huko duniani wanamrudisha nyumbani ili wambomoe na kumaliza labisa career yake.
Tibaijuka
Muhongo
Balali
Kabudi
Sarungi
Mavere Tukai (under progress...) na wengineo wengi....

Tunachojua sisi ni kuroga, kuuana, kusujudia mamlaka, kudanganya na kudanga kisiasa.


Ni vyema ungefanya tafiti kabla haujaweka huu urojo hapa
Niyeye amekataa kuishauri serikali sababu ni mpinzani au CCM ndio imemuona useless
 
Ndio kisa watu wanakimbilia siasa. Wanasiasa hupata sifa kubwa kuliko uwezo wao, ni sawa na watu flani unaweza sema wao ndio mawakili/wanasheria bora zaidi kutokea Tz, kumbe ni platform tu ya siasa ndio imewa elevate na kwa kuwa kesi zao huishia frontpage za magazeti mengi kwa sababu ya undertone ya kisiasa
Ndugu yangu unaumia sana unapoona wakina kibatala wanapowachachafya maccm ?
 
Back
Top Bottom