Alipenda tu kufanya siasa na MACCM ndio mwanzo wa TatizoWakati tunazaliwa tuliambiwa kwamba hakuna mchumi kama Lipumba na mpaka wakafikia kusema ni mchumi namba mbili tuniani....
Ulanzi siyo pombe salama. Ipigwe marufuku.Wakati tunazaliwa tuliambiwa kwamba hakuna mchumi kama Lipumba na mpaka wakafikia kusema ni mchumi namba mbili tuniani....
Lipumba hana lolote la tofauti. Kwa level yake kugombania chama na Maalim Seif ndiyo nilijua hawa wasomi wa kibongo ni vichomi na njaa tuAlipenda tu kufanya siasa na MACCM ndio mwanzo wa Tatizo
Hata mimi nilisikia hili..😀😀😀Prof. Lipumba ni moja ya vichwa hatari sana kwenye uchumi Tanzania hatokuja kutokea kama yeye
Lipumba hana lolote la tofauti. Kwa level yake kugombania chama na Maalim Seif ndiyo nilijua hawa wasomi wa kibongo ni vichomi na njaa tu
Ni TISS wa CCM.
Nilikuja sikia eti alinusuru uchumi wa china😂😂😂vigenge vya kahawa hatar sana
Nilimuona ni mpuuzi alivyokubali kutumiwa na CCM kukibomoa chama alichoshiriki kukijenga.Wakati tunazaliwa tuliambiwa kwamba hakuna mchumi kama Lipumba na mpaka wakafikia kusema ni mchumi namba mbili tuniani. Sasa nimesoma...
Uchaguzi wa 2015 ulizalisha wanasiasa mateka wengi sana.Nilimuona ni mpuuzi alivyokubali kutumiwa na CCM kukibomoa chama alichoshiriki kukijenga.