Enzi zile tulimtetemekea sana Lipumba eti ni mchumi

Umekaaa hapo unalama tamako ya wanaume wenzako utajua nini? Kwa hio Wotrld Bank walivyo kuwa wanamtuma wao ni wajinga na wewe mkamba tamako ndio mjanja
 
Ndio kisa watu wanakimbilia siasa. Wanasiasa hupata sifa kubwa kuliko uwezo wao, ni sawa na watu flani unaweza sema wao ndio mawakili/wanasheria bora zaidi kutokea Tz, kumbe ni platform tu ya siasa ndio imewa elevate na kwa kuwa kesi zao huishia frontpage za magazeti mengi kwa sababu ya undertone ya kisiasa
 
Baadhi ni kweli kwamba alikua kichwa darasani na chuo
Hizo habari za kushauri China na Amerika, mlipigwa kamba kwakua nyie ni wavivu wa kufanya research.
Kumbe alikuwa mzuri wa kukariri MADESA tu!!? Kwenye application akawa zero. Maana hatujaona hata kipeperushi kimoja kilichoandikwa na Lipumba
 
Wakati umekalia tumbo lako kupata posho za kupost urojo mitandaoni. Nenda Uganda kaangalie impact ya ishauri wake wa Uchumi kwa Museven.

Tatizo la Tanzania ni roho mbaya na laana ya CCM ambapo inahakikisha kama kuna Mtanzania anayeonekana ni kichwa huko duniani wanamrudisha nyumbani ili wambomoe na kumaliza labisa career yake.
Tibaijuka
Muhongo
Balali
Kabudi
Sarungi
Mavere Tukai (under progress...) na wengineo wengi....

Tunachojua sisi ni kuroga, kuuana, kusujudia mamlaka, kudanganya na kudanga kisiasa.


Ni vyema ungefanya tafiti kabla haujaweka huu urojo hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…