Heko JK kwa maendeleo ya EPA......but you are too damn slow maan........ile story ya kuwa tungezikosa pesa kama tungewakamata mapema......mimi kama Ogah i don't buy it..........
Ushauri kwa JK
...wale wote walio serikalini waliojihusisha na EPA........anza nao............na usiwaonee huruma fukuza kazi......Mtu kama Mgonja sijui unamcheleweshea nini.......
The Lukazas are THIEVES!!..........no any other word can describe them better than that......damn......
innocent until proven guilty.....
Ndio maana bail ni haki. Na kama wana wakili mzuri anaweza aka question iyo bail amount iliyowekwa, maana inakuwa sawa na kuwanyima bail. The amount is too high, assuming they are innocent they wouldnt have that much
Bot officers who are involved with epa scandal lupango muda huu.
Mkuu hawa wote mpaka wamefika hapo tayari ni wezi ushahidi upo wazi kabisa.
Hawana hata haki ya kujitetea ni wezi kabisa hao.Kuwapa nafasi ndo kuharibu ushahidi wa kesi yao utaona kesi hii inaweza ikasomwa hata miaka 30 ijayo nyie mtaona tu.Baadae mshitakiwa anakufa kesi inafutwa.
Bila kumsahau Che Nkapa.lowassa, rostam na apson watatinga lini kizimbani...(kagoda)
Mkuu,
Hii si fafanua tu watu tufurahi? Je hao jamaa nao tayari wako Lupango?
I hope hili jambo litakuwa fundisho kwa Watanzania wote ambao ni majambazi na wale wanaotumiwa na wanasiasa. Weka vidole vyako, wewe utaenda Lupango na wanasiasa watakuruka.
Suala la mdhamana Fidel80 najuwa wengi wanakupinga hapa..Ila pia hao wanaokupinga inelekea wameshalegea kwa kiasi flani...Which siwezi kushangazwa kwani sasa kuna baadhi ya watuhumiwa muhimu kizimbani.
Tunaporudi kwenye mdhamana..Tunapata pia nafasi ya kuwaangalia wale wanaoisapoti..Ofcourse kwa kutumia kigezo cha kuwa ni haki ya watuhumiwa.
Hata hivyo bado hawajaipa issue serioussness ambayo ina deserve kwasababu hawajaconsider uwezekano wa ushahidi kuvurugwa endapo watuhumiwa flani flani watakuwepo nje kwa mdhamana.
Kama ni usanii...Basi lengo kubwa la wasanii hao litakuwa ni kutafuta sympathy..Ama huruma kwa wananchi...Na labda baadaye kesi kuamuliwa kwa kuwafavor...Kwani sasa kuna muhimili wa mahakama pia na tunaelewa kuwa kwa Tanzania mara nyingi mahakama hazikohoi kwa matajiri na watu wenye connection.
Mahakimu hao kama ni masikini basi wasiitumie nafasi hii kujitajirisha...Kwani ni wazi kutakuwa na kundi la wafuasi ama ndugu wa watuhumiwa watakaokuwa wakitafuta upenyo wa kumaliza mambo in any means necessary.
Mdhamana wapewe lakini ushahidi ama kesi visiwe hatarini kupindwa kwasababu bado baadhi ya wale watuhumiwa na mashahidi muhimu bado wako serikalini na kwenye baadhi ya taasisi zake nyeti.
Lakini mkuu Hakimu si ana uwezo wa kukataa dhamana?
Mbona washitakiwa wa wizi wa mamilioni Barclays wamenyimwa dhamana kwa mara ya pili iweje hawa wapewe?
Hamwoni kuwa kuna kaujanja flani katakako fanya watu tusahau hii ishu?
Kwa kuongezea tu huyu Bi Ester Komu, ni mke wa Mhadhiri wa UCLAS Bw Komu amabye ndiye aliyefanya mehesabu ya ajbu na kuliingizia taifa hasara wakati Manji alipouza yale maghala. Huyu jamaa ndo alimfanyia hizo hesabu.
Wafanyakazi wanne wa benki kuu ya tanzania (bot) leo wametinga mahakamani kujibu mashtaka yanayohusiana na wizi wa pesa za epa wa zaidi ya shilingi bilioni 207 mali ya bot.
Wafanyakazi hao waliosimama kizimbani ni pamoja na:
1. Kaimu mkurugenzi wa idara ya madai bi. Esther komu.
2. Kaimu kati bu wa benki bw. Bosco kimela
3. Imani mwakyosa
4. Sophia joseph
wote wamefika mbele ya hakimu mkazi wa mahakama ya kisutu mh. Hezron mwankenja. Habari kamili baaadaye