jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
Heko JK kwa maendeleo ya EPA......but you are too damn slow maan........ile story ya kuwa tungezikosa pesa kama tungewakamata mapema......mimi kama Ogah i don't buy it..........
Ushauri kwa JK
...wale wote walio serikalini waliojihusisha na EPA........anza nao............na usiwaonee huruma fukuza kazi......Mtu kama Mgonja sijui unamcheleweshea nini.......
Wafukuzwe kazi tu ama na wao waface justice? Hawezi kuanza tena na hao wa serikalini kwasababu keshaanza na wengine....Hivyo kama hao wa serikalini watafukuzwa kazi...Then ungetakiwa kusema amalizie nao.