EPA na mambo yake

EPA na mambo yake

Heko JK kwa maendeleo ya EPA......but you are too damn slow maan........ile story ya kuwa tungezikosa pesa kama tungewakamata mapema......mimi kama Ogah i don't buy it..........

Ushauri kwa JK
...wale wote walio serikalini waliojihusisha na EPA........anza nao............na usiwaonee huruma fukuza kazi......Mtu kama Mgonja sijui unamcheleweshea nini.......

Wafukuzwe kazi tu ama na wao waface justice? Hawezi kuanza tena na hao wa serikalini kwasababu keshaanza na wengine....Hivyo kama hao wa serikalini watafukuzwa kazi...Then ungetakiwa kusema amalizie nao.
 
The Lukazas are THIEVES!!..........no any other word can describe them better than that......damn......

Sio Lukaza peke yao...Ni conspiracy...Siyo theory, ni reality...Wanaweza wakawa ni masterminds...Utekelezaji wa ujambazi huo umewashirikisha wengi wakiwemo viongozi ambao walijuwa kila kitu...Lukazas wasingeweza bila connections za nguvu.
 
wafanyakazi wanne wa BOT waliofikishwa mahakama ya Kisutu leo ni
Kaimu mkurugenzi wa idara ya madai Bi Ester Komu, Kaimu katibu wa bank bwana Bosco Kimela, Imani mwakosya na (mwanasheria) Sofia Joseph (michuzi).
 
innocent until proven guilty.....
Ndio maana bail ni haki. Na kama wana wakili mzuri anaweza aka question iyo bail amount iliyowekwa, maana inakuwa sawa na kuwanyima bail. The amount is too high, assuming they are innocent they wouldnt have that much

Mkuu hawa wote mpaka wamefika hapo tayari ni wezi ushahidi upo wazi kabisa.
Hawana hata haki ya kujitetea ni wezi kabisa hao.Kuwapa nafasi ndo kuharibu ushahidi wa kesi yao utaona kesi hii inaweza ikasomwa hata miaka 30 ijayo nyie mtaona tu.Baadae mshitakiwa anakufa kesi inafutwa.
 
Wafanyakazi wanne wa benki kuu ya tanzania (bot) leo wametinga mahakamani kujibu mashtaka yanayohusiana na wizi wa pesa za epa wa zaidi ya shilingi bilioni 207 mali ya bot.
Wafanyakazi hao waliosimama kizimbani ni pamoja na:
1. Kaimu mkurugenzi wa idara ya madai bi. Esther komu.
2. Kaimu kati bu wa benki bw. Bosco kimela
3. Imani mwakyosa
4. Sophia joseph
wote wamefika mbele ya hakimu mkazi wa mahakama ya kisutu mh. Hezron mwankenja. Habari kamili baaadaye
 
Bot officers who are involved with epa scandal lupango muda huu.

Mkuu,

Hii si fafanua tu watu tufurahi? Je hao jamaa nao tayari wako Lupango?

I hope hili jambo litakuwa fundisho kwa Watanzania wote ambao ni majambazi na wale wanaotumiwa na wanasiasa. Weka vidole vyako, wewe utaenda Lupango na wanasiasa watakuruka.
 
Mkuu hawa wote mpaka wamefika hapo tayari ni wezi ushahidi upo wazi kabisa.
Hawana hata haki ya kujitetea ni wezi kabisa hao.Kuwapa nafasi ndo kuharibu ushahidi wa kesi yao utaona kesi hii inaweza ikasomwa hata miaka 30 ijayo nyie mtaona tu.Baadae mshitakiwa anakufa kesi inafutwa.

Suala la mdhamana Fidel80 najuwa wengi wanakupinga hapa..Ila pia hao wanaokupinga inelekea wameshalegea kwa kiasi flani...Which siwezi kushangazwa kwani sasa kuna baadhi ya watuhumiwa muhimu kizimbani.

Tunaporudi kwenye mdhamana..Tunapata pia nafasi ya kuwaangalia wale wanaoisapoti..Ofcourse kwa kutumia kigezo cha kuwa ni haki ya watuhumiwa.

Hata hivyo bado hawajaipa issue serioussness ambayo ina deserve kwasababu hawajaconsider uwezekano wa ushahidi kuvurugwa endapo watuhumiwa flani flani watakuwepo nje kwa mdhamana.

Kama ni usanii...Basi lengo kubwa la wasanii hao litakuwa ni kutafuta sympathy..Ama huruma kwa wananchi...Na labda baadaye kesi kuamuliwa kwa kuwafavor...Kwani sasa kuna muhimili wa mahakama pia na tunaelewa kuwa kwa Tanzania mara nyingi mahakama hazikohoi kwa matajiri na watu wenye connection.

Mahakimu hao kama ni masikini basi wasiitumie nafasi hii kujitajirisha...Kwani ni wazi kutakuwa na kundi la wafuasi ama ndugu wa watuhumiwa watakaokuwa wakitafuta upenyo wa kumaliza mambo in any means necessary.

Mdhamana wapewe lakini ushahidi ama kesi visiwe hatarini kupindwa kwasababu bado baadhi ya wale watuhumiwa na mashahidi muhimu bado wako serikalini na kwenye baadhi ya taasisi zake nyeti.
 
Mkuu,

Hii si fafanua tu watu tufurahi? Je hao jamaa nao tayari wako Lupango?

I hope hili jambo litakuwa fundisho kwa Watanzania wote ambao ni majambazi na wale wanaotumiwa na wanasiasa. Weka vidole vyako, wewe utaenda Lupango na wanasiasa watakuruka.

Mkuu hujawaona hawa hapa.?
More news baadae.
Wafanyakazi wanne wa benki kuu ya tanzania (bot) leo wametinga mahakamani kujibu mashtaka yanayohusiana na wizi wa pesa za epa wa zaidi ya shilingi bilioni 207 mali ya bot.
Wafanyakazi hao waliosimama kizimbani ni pamoja na:
1. Kaimu mkurugenzi wa idara ya madai bi. Esther komu.
2. Kaimu kati bu wa benki bw. Bosco kimela
3. Imani mwakyosa
4. Sophia joseph
wote wamefika mbele ya hakimu mkazi wa mahakama ya kisutu mh. Hezron mwankenja.
 
Kama wameshamsogelea Mwakosya...Then hao wengine naona wana pressure ya hali ya juu.
Naona target yao ni hao wakubwa lakini moto naona umewashwa mkiani....
 
Suala la mdhamana Fidel80 najuwa wengi wanakupinga hapa..Ila pia hao wanaokupinga inelekea wameshalegea kwa kiasi flani...Which siwezi kushangazwa kwani sasa kuna baadhi ya watuhumiwa muhimu kizimbani.

Tunaporudi kwenye mdhamana..Tunapata pia nafasi ya kuwaangalia wale wanaoisapoti..Ofcourse kwa kutumia kigezo cha kuwa ni haki ya watuhumiwa.

Hata hivyo bado hawajaipa issue serioussness ambayo ina deserve kwasababu hawajaconsider uwezekano wa ushahidi kuvurugwa endapo watuhumiwa flani flani watakuwepo nje kwa mdhamana.

Kama ni usanii...Basi lengo kubwa la wasanii hao litakuwa ni kutafuta sympathy..Ama huruma kwa wananchi...Na labda baadaye kesi kuamuliwa kwa kuwafavor...Kwani sasa kuna muhimili wa mahakama pia na tunaelewa kuwa kwa Tanzania mara nyingi mahakama hazikohoi kwa matajiri na watu wenye connection.

Mahakimu hao kama ni masikini basi wasiitumie nafasi hii kujitajirisha...Kwani ni wazi kutakuwa na kundi la wafuasi ama ndugu wa watuhumiwa watakaokuwa wakitafuta upenyo wa kumaliza mambo in any means necessary.

Mdhamana wapewe lakini ushahidi ama kesi visiwe hatarini kupindwa kwasababu bado baadhi ya wale watuhumiwa na mashahidi muhimu bado wako serikalini na kwenye baadhi ya taasisi zake nyeti.

Lakini mkuu Hakimu si ana uwezo wa kukataa dhamana?
Mbona washitakiwa wa wizi wa mamilioni Barclays wamenyimwa dhamana kwa mara ya pili iweje hawa wapewe?
Hamwoni kuwa kuna kaujanja flani katakako fanya watu tusahau hii ishu?
 
WaTanzania ina bidi tujuulize Vyombo vya dola vilikuwa wapi vitu hivi vikitokea.
TRA ingekuwa mstari wa mbele kufichua ufisadi. They should question and ask where did the money come from? Wanalipa kodi? PCCB na UWT likewise should have made investigations into affairs of people aquiring large amounts of money.
Vilevile SISI waTanzania inatubidi tuwe Vigilantes siyo kulalamika tu. Stand Up and be BOLD and ask your neighbour umetoa wapi hizo pesa na tuache kujoin the bandwagon ya Ufisadi. Tuna lea taifa la Ufisadi.
 
Lakini mkuu Hakimu si ana uwezo wa kukataa dhamana?
Mbona washitakiwa wa wizi wa mamilioni Barclays wamenyimwa dhamana kwa mara ya pili iweje hawa wapewe?
Hamwoni kuwa kuna kaujanja flani katakako fanya watu tusahau hii ishu?

Hawa watuhumiwa naona wananchi wamejaribishiwa tu..Wakinyimwa mdhamana basi hata kina RA ambao nao bado wako powerfull watatafuta namna ya ku overcome hilo.
Nakubaliana kuwa mdhamana ni haki ya mtuhumiwa lakini kwenye kesi ya uhujumu uchumi issue huwa tofauti sana.
Wanataka mali zisizohamishika na pesa..Nani kasema vitu hivyo ni shida kwa watuhumiwa hao?
Ushahidi na haki kutendeka ndio main concern ya wale wanaodai kuwa mdhamana usitolewe...Nadhani mahakimu watapima hilo...Ila kama hawa wakinyimwa mdhamana basi kina RA na Lowasaa hawaendi kizimbani kiurahisi.
Jasusi naye kasema che Nkapa...Ngoma nzito mkuu...Ila kuna wave ambayo si nzuri kwa mafisadi na sidhani kama tutapoteza amani kama haki ikizingatiwa.
 
Oyaaa wakuu. Lukaza tayari yupo nje kwa dhamana!

Watu wajanja, wameacha kurudisha ili ziwasaidie kwenye kesi.

Nakumbuka JK alisema kuwa jamaa wanajikaza tu ila wamemalizwa kiaina. Sasa naanza kuona Mchezo unaochezwa hapa. Kama Johson alirudisha hela mpaka akashindwa kurudisha amepata wapi hizo za kujidhamini???????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mwenye akili afikirie mara mbili.
 
Kwa kuongezea tu huyu Bi Ester Komu, ni mke wa Mhadhiri wa UCLAS Bw Komu amabye ndiye aliyefanya mehesabu ya ajbu na kuliingizia taifa hasara wakati Manji alipouza yale maghala. Huyu jamaa ndo alimfanyia hizo hesabu.
 
Matatizo tuliyonayo watanzania kwa kiasi kikubwa yamesababishwa na tabaka flani lenye connections...Hili linafahamika na ndio maana nashangazwa na wale wanaodai ccm wapewe..Wapewe nini kama wasipofanya mabadiliko?
Kama hawafanyi mabadiliko basi hata hiyo theluthi moja hawastahili kabisa...Kufanya hivyo kwa kigezo cha kubalance ni sawa tu na kuwa na samaki walio oza na kuexpect no shombo.

Tabaka kuliondowa ni shida na hata kama ccm isipochaguliwa ni sawa tu..Kwanini kusiwe na vyama pinzani kama TLP na CHADEMA?

ccm wakifanikiwa kubakisha viti vya ubunge ni sawa tu..Balance hata hivyo italetwa na wale wenye nia nzuri....Ningependelea TLP VS CHADEMA kama hawajiungi.

Pia kama kuna viongozi na wanachama wenye nia nzuri bila kujali vyama vyao ni vyama gani...Then tunaweza kusonga mbele.
 
(toka kwa michuzi)..

Wafanyakazi wanne wa benki kuu ya tanzania (bot) leo wametinga mahakamani kujibu mashtaka yanayohusiana na wizi wa pesa za epa wa zaidi ya shilingi bilioni 207 mali ya bot.

Wafanyakazi hao waliosimama kizimbani ni pamoja na:
1. Kaimu mkurugenzi wa idara ya madai bi. Esther komu.
2. Kaimu kati bu wa benki bw. Bosco kimela
3. Imani mwakyosa
4. Sophia joseph

wote wamefika mbele ya hakimu mkazi wa mahakama ya kisutu mh. Hezron mwankenja. Habari kamili baaadaye
 
Wafanyakazi wanne wa benki kuu ya tanzania (bot) leo wametinga mahakamani kujibu mashtaka yanayohusiana na wizi wa pesa za epa wa zaidi ya shilingi bilioni 207 mali ya bot.

Wafanyakazi hao waliosimama kizimbani ni pamoja na:
1. Kaimu mkurugenzi wa idara ya madai bi. Esther komu.
2. Kaimu kati bu wa benki bw. Bosco kimela
3. Imani mwakyosa
4. Sophia joseph

wote wamefika mbele ya hakimu mkazi wa mahakama ya kisutu mh. Hezron mwankenja. Habari kamili baaadaye

mwanakijiji toka lini umeanza kudesa onto ....i mean pla....
 
Back
Top Bottom