EPA na mambo yake

EPA na mambo yake

What a waste of time. Kweli kabisa, burrying bad news on a so called 'good' day.
Hivi watu bado wanashikilia bango hii ishu? This thing was burried before it even started. People are 3 steps ahead.
 
What a waste of time. Kweli kabisa, burrying bad news on a so called 'good' day.
Hivi watu bado wanashikilia bango hii ishu? This thing was burried before it even started. People are 3 steps ahead.

lets wait. it is too early to comment
 
Jamani kesi ni kesi.
Mimi kwangu hatua hii naipa pongezi kubwa sana.Kwani aliyeamini kuwa hao wevi leo wangekuwa hapo walipo ni nani???Mimi ninachokiona ni kuwa baada ya muungwana kuona wtu wanazidi kumchokoza hasa kutaka na kuhakikisha kuwa anakuwa one term prezidaa ameona noma na iwe noma.Bado huo ni mwanzo tuu.sasa hivi anzeni kufuatilia afya za waheshimiwa hapa muone watakavyohudhulia hospitali kutibiwa magonjwa ya moyo.Wewe lukaza wewe!!!!!!wewewe!!!!anyway karibu UK sasa useme uliyoyasema tena.Bwahahahahahahahahaha
 
What a waste of time. Kweli kabisa, burrying bad news on a so called 'good' day.
Hivi watu bado wanashikilia bango hii ishu? This thing was burried before it even started. People are 3 steps ahead.

Mkuu

waswahili wanamsemo kuwa kuna vitu vitatu mtu huwezi kuviita vidogo mpaka vitakapokua vimeisha. navyo ni ugonjwa, kesi mahakamani na kuandaa shuhuli.

Hii kesi kwa sasa ni kama kijipele tu, lakini kwa vile ndio inaanza isije kuishia kuwa ni kansa baadae kwa watuhumiwa.
 
Waswahili wana misemo mingi......ila misemo haileti maendeleo.
 
This one of those classic interesting stories. Just like the forced resignation of "Mamvi" and the other two ministers over the Richmond scandal. I know most of us are pessimistic whether the "big fishes" will be caught and justice will be done. Believe me or not, this is a step ahead. We can see a glimpse of hope. Whether this is due to international pressure or internal turmoil, time will tell. One thing I know, the government is succumbing to these pressures. Lets all continue to do what we do best, standing against all kinds of evil.
 
Currently Active Users Viewing This Thread: 185 (46 members and 139 guests)

WAGENI WAMESHIKA CHATI Yetu macho
 
Well, hiyo ni lugha ya mawakili kama kazi yao inavyowataka. Wakili hawezi kusema wateja wake wanahatia publicly, maana hakutakuwa na maana tena hapo. Na kwasababu kesi yenyewe ni ya kifisadi, i'm not surprised by such statements. Only time will tell.
 
It's been in the Star TV evening news! I think more details will surface tomorrow.
 
Kuwakamata haina shida....
Kuviita vyombo vya habari na kutoa statement kuwa wamewakamata haina shida...
Kuonekana kwenye viunga vya mahakama wakiwa na nyuso za huzuni haina shida pia.....
kusema wamenyimwa dhamana nako hakuna shida.......
Kunza kesi na kusomewa mashataka hakuna shida........
Kikwete kupongezwa na watu wasiofikiri mbali nalo halina shida.....
Jumuiya za kimataifa kumsifia Kikwete kuwa anafanya kazi vizuri hakuna shida pia,,,,,,,
Luwa watahukumiwa kwenda jela, ilo nalo halina shida....

kuwa wataenda jele gani, watakaa vipi , hili nalo lina shida na maswali yake!

Tatizo ni pale wanaposhindwa kujibu maswali yetu.

1. Kuwa kulikuwa na wahusika wangapi katika wizi huu?
2. Wahusika hao ni akina nani?
3.Kwa nini majina yao yalifichwa?
4.Kuwa CCM na serikali yake kwanini wamechukua muda mrefu kulishugulikia swala hili:
5.Kuwa wezi hao wana nguvu kuliko serikali kama alivyokwisha wahi kusema Pinda?
6.kuwa watu wanaoichangia CCM , CCM inawajua au mtu yeyote yule hata kama anauza ngozi za watu? wanachukua tu pesa?

siamini bado swala zima hili, mpaka hap nitakapomwona jeetu patel, kwe

waberoya
 
what's with you people and this Obama picture?! how is it relevant here?
 
Looh! kumbe nimekosa uhondo, mimi nimejikalia kwa Obama kumbe Jeetu Patel kawekwa ndani?

Hapa lisinema linaanza, wacha wengine tununue popcorns.

Kama Patel kakamatwa, kuna jambo kubwa linakuja.
 
Well, hiyo ni lugha ya mawakili kama kazi yao inavyowataka. Wakili hawezi kusema wateja wake wanahatia publicly, maana hakutakuwa na maana tena hapo. Na kwasababu kesi yenyewe ni ya kifisadi, i'm not surprised by such statements. Only time will tell.

Zero,

Kwa press ya Tanzania hiyo nayo ni news, wakili kusema mteja wake hana hatia.

Hakuna profession dhaifu Tanzania kama ya wanahabari, ikifuatiwa na law enforcement.
 
mie bado sijaamini kama jetu patel yuko lupango, mpaka hapo TID atakapo nitumia msg toka segerea kuwa kaonana nae selo, je nani wakili wake?? mh. nimrode mkono?? au alex mgongolwa! kwenye hiyo selo wangemuongezea pro. mahalu ingependeza sana, ni matumaini yangu kuwa malegesi na rostam aziz watajoin lupango kesho! mungu akupe nguvu rais mpya obama!
 
YES! hii habari kubwa sana...Kwa wanaomfahamu Jeetu nadhani mtakubaliana nami kwamba sasa Kikwete kaamua kufanya mambo!..
Kwanza fedha kisha kusanya, halafu imefuatia mahakama na kesho nasikia kundi jingine linavutwa ndani!.. Jamani sii haya ndio tulikuwa tunayaomba JF toka kitambo!
Wangechukuliwa mahakamani mwanzo tusingepata hata ndululu...Sii haba jamani sii haba hata kidogo.
Mnyongeni lakini haki yake mpeni.
 
Nina imani na mahakama zetu. Lakini Polisi waliopeleleza kesi na ofisi ya DPP..sina imani navyo hata kidogo..!!
 
hivi haiwezekani jf iwe na wakili wa kuwatetea hawa mafisadi lakini kwa maslahi yetu kuwa aweze ku spin kesi ili wafungwe kitakatifu, yaani wakili wa kuwauwa akina patel! wataalam wa sheria tusaidieni hapo, ile inaitwa kuuwa wakati unatibu mwenyewe!
 
Back
Top Bottom