EPA na mambo yake

EPA na mambo yake

Halisi Bravo
kwa kila kitu. Jambo moja la msingi sasa ni kujua pesa zilizokusanywa zilipo maana hizo dhamana wanazoambiwa waweke zinaweza toka kwenye makusanyo hayo hayo waliyotoa-

So Mwanyika et al, ni wakati sasa wa kuweka repoti ya hadharani waliona nini, nani alipata mgao kiasi gani, amerudisha na kiasi gani, kiasi gani hakijarudishwa.

Rais alisema by last jumamosi habari itakuwa wazi but hadi leo Ijumaa hakuna lolote.... kulikoni Mwanyika na team yakoo:..:::????[/QUOTE]

Pole ndugu yangu kichakoro,

"Just Kidding" hana tabia ya kutimiza yale anayoahidi, at least we have learned that from him for almost his 3 years now.
 
Katika hatua nyingine, watuhumiwa 10 ambao walifikishwa mahakamani hapo juzi, jana walifikishwa mahakamani hapo kwa ajili ya kukamilisha taratibu za dhamana.

Hata hivyo, mtuhumiwa Johnson Lukaza hakufikishwa mahakamani jana na badala yake wakili wake, Alex Mgongolwa na ndugu zake walifika mahakamani hapo kwa ajili ya kukamilisha taratibu za dhamana.

Baada ya ndugu hao kukamilisha tarartibu hizo, upande wa mashitaka uliandika hati ya kumtoa rumande mtuhumiwa huyo, ili aletwe leo kwa ajili kudhaminiwa.

Jamani mimi nawasi wasi tayari hawa jamaa wamesha tengenezewa mazingira ya kurudi uswahilini maana wapambe wao wanahaha kukamilisha dhamana zao.Wakitoka kuna kitakacho endelea hapo?
 
Kwa hiyo Johnson Lukaza leo atatolewa rumande na kurudi uswahili.
Tutapata tabu sana uswazi na malingo yake huyu dogo.
Bora wangefunga swala la dhamana waendelee kuoza na kukalia ndoo huko gerezani.
 
As long as legal procedures are being followed, kila mtuhumiwa anastahili dhamana (right?). Kwa mantiki hiyo basi hawa wote bado ni watuhumiwa and kila mmoja wao dhamana yake iko wazi.....

In general nimesoma kwenye print media, na nilichosoma ni kwamba mostly sharti moja kubwa la kupewa dhamana ni kuweka "rehani" NUSU ya pesa anayotuhumiwa kuikwiba, na ukifanya mahesabu ya haraka JL ataweka atatoa approx.. over 3b! na Jeet & Co approx over 10b (I can be corrected), Now if at all these PEOPLE can raise so much for "dhamana" it means they have "SO MUCH" in their "HOUSES". Je kuna utaratibu wa ku-cross check SOURCE ya pesa ya dhamana?

If not, then, the movie will be concluded pale watakapopewa DHAMANA!!!!!

Or, serikali itakuwa imewa-expose (hawa watakaopewa dhamana) into a highest level of in-SECURITY!!!! and this could in extreme end POSE a very high risk to the BEING (or LIFE). I'm not sure no one want to see that!
 
Jonson Lukaza ndugu zake wana pesa swala la kutolewa sio tabu.

Wewe unasema waachwe gerezani waendelee kukalia ndoo kwa sababu zipi.

Je walivunja benki kuu kwenda kuiba?????????
Je hizo nyaraka feki walizotumia kujipatia fedha benki walipokea vipi wkt ni feki, ina maana serikari yetu sio makini kiasi watu wanaweza kupeleka nyaraka feki na kujipatia mapesa kibao.

Sawa walifanya makosa wakalipa kwa nyaraka feki .
Je ni kundi lote hilo la watu zaidi ya kumi na sita walipeleka nyaraka feki na wakalipwa.

Mimi nadhani kosa ni moja au mawili yanaweza kutokea lakini kwa watu wote hawa NOOOOOOOOOOOO!!!!
Hawa watu hawakuiba hizo fedha na wala hawakupata kwa nnjia ya udanganyifu walipewa na watu fulani fulani.... waanze kushitakiwa hao kwanza.
Waanze na aliyekuwa waziri wa fedha na wafuasi wake wote ndio wafuate hao waliopewa.

Hata mimi kama nipo kijiweni nimepigika maisha magumu anakuja kigogo mmoja serikarini na kunipa deal la majihela yote hayo wala nisingekataa. JELA MATOKEA.
 
Du! Hii ndio Tanzania, nchi maskini kati ya nchi maskini Duniani, mtu anaambia atoe dhamana ya 10b anaenda tu kutoa.
Nafikiri ile dhana ya WATU WOTE NI SAWA NA AFRICA NI MOJA IONDOLEWE. Kuna watu wanaishi peponi ati. Mimi hata buku 2 ya internet inanishinda sometimes. Haya bwana sisi tutapiga kelele weee hadi tukalale wenye nchi wanapeta.
 
Jonson Lukaza ndugu zake wana pesa swala la kutolewa sio tabu.

Wewe unasema waachwe gerezani waendelee kukalia ndoo kwa sababu zipi.

Je walivunja benki kuu kwenda kuiba?????????
Je hizo nyaraka feki walizotumia kujipatia fedha benki walipokea vipi wkt ni feki, ina maana serikari yetu sio makini kiasi watu wanaweza kupeleka nyaraka feki na kujipatia mapesa kibao.

Sawa walifanya makosa wakalipa kwa nyaraka feki .
Je ni kundi lote hilo la watu zaidi ya kumi na sita walipeleka nyaraka feki na wakalipwa.

Mimi nadhani kosa ni moja au mawili yanaweza kutokea lakini kwa watu wote hawa NOOOOOOOOOOOO!!!!
Hawa watu hawakuiba hizo fedha na wala hawakupata kwa nnjia ya udanganyifu walipewa na watu fulani fulani.... waanze kushitakiwa hao kwanza.
Waanze na aliyekuwa waziri wa fedha na wafuasi wake wote ndio wafuate hao waliopewa.

Hata mimi kama nipo kijiweni nimepigika maisha magumu anakuja kigogo mmoja serikarini na kunipa deal la majihela yote hayo wala nisingekataa. JELA MATOKEA.

Mchuma janga hula na wakwao!
Huenda kweli atatoka lakini atakuwa kakalia ndoo/mtondoo hadi hiyo tarehe iliyopangwa ambapo labda hao ndugu zake wenye pesa watakidhi masharti ya dhamana.
The bottomline ni kuwa crime does not pay.
Hawakuvunja benki i kweli lakini kula njama si ni kosa? na ni moja ya mashtaka waliyoshatkiwa nayo.Fundisho ni kuwa njia za mkato ni tamu na zinavutia lakini mwishowe kuna kulia pia.
 
Wamekwiba kwa njia ya kalamu ni kosa hawana tofauti na mwizi anaye kuchomolea mfukoni ni style tofauti lakini neno linabakia pale pale kuwa ni mwizi.
Mwizi anataka njia za mkato kufanikisha malengo yake.Utajili wa haraka haraka.
 
Jonson Lukaza ndugu zake wana pesa swala la kutolewa sio tabu.

Wewe unasema waachwe gerezani waendelee kukalia ndoo kwa sababu zipi.

Je walivunja benki kuu kwenda kuiba?????????
Je hizo nyaraka feki walizotumia kujipatia fedha benki walipokea vipi wkt ni feki, ina maana serikari yetu sio makini kiasi watu wanaweza kupeleka nyaraka feki na kujipatia mapesa kibao.

Sawa walifanya makosa wakalipa kwa nyaraka feki .
Je ni kundi lote hilo la watu zaidi ya kumi na sita walipeleka nyaraka feki na wakalipwa.

Mimi nadhani kosa ni moja au mawili yanaweza kutokea lakini kwa watu wote hawa NOOOOOOOOOOOO!!!!
Hawa watu hawakuiba hizo fedha na wala hawakupata kwa nnjia ya udanganyifu walipewa na watu fulani fulani.... waanze kushitakiwa hao kwanza.
Waanze na aliyekuwa waziri wa fedha na wafuasi wake wote ndio wafuate hao waliopewa.

Hata mimi kama nipo kijiweni nimepigika maisha magumu anakuja kigogo mmoja serikarini na kunipa deal la majihela yote hayo wala nisingekataa. JELA MATOKEA.

Napenda sana siasa na sera za china, unajua ambacho kingefanyika watuhumiwa wa EPA wangepelekwa uwanja wa taifa na jina moja badala ya lingine lingeitwa Jeetu Patel,anatoka mbele askari anafanya kazi yake Pyaaaaaaaaa,risasi ya kichwa ...Lukaza Pyaaaaaa risasi ya kichwa!!! Manji ,Rostam wote risasi hadharani mchezo kwisha badala ya hawa jamaa kuendelea kutumia pesa yetu tena mara mahakamani mara nini....
 
Jamani mimi nawasi wasi tayari hawa jamaa wamesha tengenezewa mazingira ya kurudi uswahilini maana wapambe wao wanahaha kukamilisha dhamana zao.Wakitoka kuna kitakacho endelea hapo?

Dhamana ni haki ya kila Raia. Kama sheria zikitumika bila woga, haki itatendeka tu na watakaothibitika kuwa ni wakosaji watafungwa. Uchungu tulionao usitufanye tukikuke misingi ya Haki za Raia. Dhamana ni Haki na acha wapate kama wakitimiza masharti
 
Binafsi naamini suala la EPA linawahusisha wafanyabiashara, viongozi waandamizi serikalini (wa sasa na waliopita), pamoja na watu wa idara ya usalama wa taifa.

Nisipoona hiyo pembe tatu ikishughulikiwa, utakuwa bado ni usanii flani wa kiwango kilichoboreshwa.
 
Dhamana ni haki ya kila Raia. Kama sheria zikitumika bila woga, haki itatendeka tu na watakaothibitika kuwa ni wakosaji watafungwa. Uchungu tulionao usitufanye tukikuke misingi ya Haki za Raia. Dhamana ni Haki na acha wapate kama wakitimiza masharti

Thanks Zitto i think you articulate it perfect. I feel sorry kwa Lukaza, miezi kadhaa alipata kuja US na muheshimiwa, na alikuwa mmoja wa status quo. That shows how much cut throat politcs CCM's plays. The CCM machine doesn't care who you are, as long as your outsiders.

I am so concern kuhusu huyu Jeetu Patel, huyu jamaa nimeshasikia consipiracy nyingi sana kuhusu yeye. I hope huyo kwenye picha ni yeye.

My question remain ni kwamba, Jee wale walio lipa hizo pesa za wizi ni kina nani? Jee wako above the Law?
Kama wale ambao wanaitwa waliorudisha pesa mwanzo wameachiwa huru, Jee kwa nini hawa wasasa wasipewe DHAMANA? That sound stupid

Sheria ni sheria, na kama ikipindwa then hakuna haki tena. Kama wengine wameachiwa kwa reason ya kwamba walirudisha hizo pesa, then why hawa wakamatwe?

I hope they will spill the beans mahakamani ili tujue how this saga chain to the president.
 
Dhamana ni haki ya kila Raia. Kama sheria zikitumika bila woga, haki itatendeka tu na watakaothibitika kuwa ni wakosaji watafungwa. Uchungu tulionao usitufanye tukikuke misingi ya Haki za Raia. Dhamana ni Haki na acha wapate kama wakitimiza masharti

Mhe. Zitto,

Hivi ni nani amerudisha million 40 za kampuni ya kilimo ya Kagoda,kama ukikumbuka mara ya kwanza tuliambiwa zilitumika wka kazi maalum?au??sasa zimerudi vipi?

Kama ukiweza waambie wakupe list ya watu waliorudisha pesa na je zilipwa katika Account gani ili tuweze kufuatilia.

Au kama zililipwa cash tujue
 
Tumeambiwa kuwa KAGODA imerudisha 37 bn mpaka sasa. Hajapelekwa mtu wa kagoda mahakaman mpaka sasa. Nimeambiwa kuwa Manji ndio karudisha pesa za KAGODA. Tunafuatilia zaidi.

Mpaka sasa hatua ya kuwapeleka mahakani waliopelekwa ni ya kuupongezwa sana. Lakini tusibweteke, bado kazi ni kubwa sana. Lazima kuhakikisha kuwa suala kama hili halitokei tena nchini kwetu. Ukweli wa EPA na Uchaguzi mkuu wa 2005 ni lazima ujulikane ili isitokee chama kingine chochote cha siasa kujaribu kutumia fedha za Umma kwa minajili ya kufadhili uchaguzi.

Kuna mengi ya kujifunza kutokana na sakata hili la EPA. Tunaenda vizuri sana. Press imefanya kazi nzuri sana. Wanasiasa tumefanya kazi nzuri sana. DPP kaanza vizuri. Rais, japo amechelewa mno, amefanya vizuri. Kauli ya kutomwingilia DPP ni kauli ya kiuongozi na itamfanya DPP awe huru zaidi katika kazi yake. Rais amefanya vizuri.

Hapa ndipo nafasi ya upinzani inapoonekana. Nafasi ya vyombo vya habari inapoonekana. Kuna haja kubwa sana kuhakikisha kuwa uchaguzi mkuu ujao vyama vya upinzani vinakuwa na angalau theluthi ya wabunge. Hapa nina maana hata CCM ikishindwa uchaguzi ujao, iwe na angalau theluthi ya wabunge ili CHADEMA nayo isibweteke
 
Dhamana ni haki ya kila Raia. Kama sheria zikitumika bila woga, haki itatendeka tu na watakaothibitika kuwa ni wakosaji watafungwa. Uchungu tulionao usitufanye tukikuke misingi ya Haki za Raia. Dhamana ni Haki na acha wapate kama wakitimiza masharti

Mheshimiwa Zito hapo umetoa dira kwetu sote humu, kinachotokea pale Kisutu ni pratice of Rule of law-Tanzania hivyo ni vema tukaamini kuwa pale haki itatendeka kadri DPP alivyojipanga 1. Charge sheet against those Watuhumiwa,2. State attorneys watakavyoweza ku address fact na vithibitisho dhidi utetezi wa watuhumiwa.

Mahakama inalo jukumu moja tu pale, kutafsiri na kuhakikisha sheria inakata kila upande na hatimaye haki kutendeka kwa kila upande.

Mheshimiwa napenda kuungana na baadhi ya wana sheria nchini waliosomeka ktk gazeti la Mtanzania kuwa hii issue kama mlivyoiibua kisiasa na sasa imejengewa image ya kisiasa pale Kisutu, namna Kisutu inavyopelekeshwa sidhani kama lengo sahihi litafikiwa, nalo lile la kuruhusu kila muhimili wa dola kufanya kazi kwa uhuru na haki, game iliyopo Kisutu ni kuichafua mahakama na si kuipa haki stahili mahakama kama wengi wanavyodhania.

Wale mahakimu tayari wameshaanza kuandamwa na kashfa tangu juzi eti washakula mlungula!!!! Wanaowatuhumu wanasema chanzo chao inadaiwa ni UWT, tunasikia hizi tetesi tangu juzi zinavuma, wasimamizi hawa sasa hawajiamini ktk kutekeleza wajibu wao, hawaaminiani miongoni mwao na zaidi wanaona serikali inataka kuwaingiza ktk matatizo ya makusudi dhidi ya wananchi,ukiangalia yale masharti wanayoyatoa pale yanaashiria hofu na mashaka ktk ku pratice mamlaka waliyonayo kikatiba kama mahakimu,hii inaifanya Kisutu na Judiciary as whole kubeba sura au laana ya kuinyima jamii yetu kile kinacholiliwa na wengi. Je ktk hali hii kuna uwezekano wa kweli na haki kupatikana bila kujali nani mshindi?

Mheshimiwa fanya utafiti wako kama kijana mwenzangu mjenga nchi, juu ya hilo lakini ni vema ukaendelea na hili la kuhubiri hapa Jf na ktk majukwaa yako kisiasa , kuwa haki ya yeyote yule ni pale mahakama itakapoamua aidha kukubalina na washitaki au washitakiwa.

Mheshimiwa na wana Jf, safari ni ndefu ktk vita dhidi ya rushwa na ubadhirifu (Mmomonyoko wa maadili ya Taifa letu), Mheshimiwa Rais yuko ktk right track ktk kuishape nchi, miaka takriban mitatu tayari ameonyesha dhamira yake. Haihitaji kushangiliwa maana yeye anawajibika according to his job description, sisi nasi tusimame ktk zamu zetu ktk kulipeleka taifa hili mbele.

Mjenga nchi ni Mwananchi / Mbomoa nchi ni Mwananchi- Tuache utamaduni wa kulalamika hovyo kanakwamba sisi ni wapangaji ktk nchi hii,tuwajibike waungwana.

Twende Pamoja, Inawezekana.
Mungu Ibariki Tanzania.
 
Hapa ndipo nafasi ya upinzani inapoonekana. Nafasi ya vyombo vya habari inapoonekana. Kuna haja kubwa sana kuhakikisha kuwa uchaguzi mkuu ujao vyama vya upinzani vinakuwa na angalau theluthi ya wabunge. Hapa nina maana hata CCM ikishindwa uchaguzi ujao, iwe na angalau theluthi ya wabunge ili CHADEMA nayo isibweteke

Mheshimiwa tunashukuru sana kusikia mnafuatilia kwa karibu, maana sisi tusio na access tunasikia kuwa hizo pesa hazijarudishwa ni kiini macho tu, kama ni kweli zimerudishwa that is well and good. Lakini sielewi kwa nini unatarget ya opposition kuwa na theluthi ya viti bungeni, kwa nini msiwe na majority. Mazingira ya sasa yanaonekana wazi kuwa majority wanachemsha na wananchi tuko tayari kwa change, au unataka kutuambia hao jamaa ambao naamini ni vidagaa wakifikishwa mahakamani, majority wenyewe hawata kuwa accountable? Kama nyie wenyewe hamjiamini we will have no choice but to go for CCM majority.
 
Bot officers who are involved with epa scandal lupango muda huu.
 
Mheshimiwa tunashukuru sana kusikia mnafuatilia kwa karibu, maana sisi tusio na access tunasikia kuwa hizo pesa hazijarudishwa ni kiini macho tu, kama ni kweli zimerudishwa that is well and good. Lakini sielewi kwa nini unatarget ya opposition kuwa na theluthi ya viti bungeni, kwa nini msiwe na majority. Mazingira ya sasa yanaonekana wazi kuwa majority wanachemsha na wananchi tuko tayari kwa change, au unataka kutuambia hao jamaa ambao naamini ni vidagaa wakifikishwa mahakamani, majority wenyewe hawata kuwa accountable? Kama nyie wenyewe hamjiamini we will have no choice but to go for CCM majority.

Soma vizuri post yangu. Nimesema vyama vya upinzani kuwa na angalau theluthi. Nikasema, hata kama CCM ndio inakuwa upinzani, iwe na japo theluthi. Sikuwa na maana upinzani ni uliopo sasa, CCM waweza kuwa upinzani after 2010. Ndio maana yangu. Isitokee chama kimoja cha siasa kikawa na majority kubwa kama ya CCM ya sasa. Tukatae hilo
 
Hapa 'machale' yanaanza kunicheza maana nani alithibitisha kwamba walikwenda Segrea? Kwanini hawajapanda yale mabasi ya Magereza na mahabusu wengine ili wawe mashahidi? Waandishi walioko Dar wafuatilie kwa mahabusu wengine kama waliwaona huko, vinginevyo tujue walifika mahali wakapelekwa Kempisk wakalala usingizi mnonooo!!!!!! na iwe ndio mwisho wa part I ya sinema hiyo ya EPA-Kisutu

Hao jamaa walisha tayarishiwa Kempiski kule Segerea na Ukonga. Siyo wafungwa wakawaida.
 
Back
Top Bottom