Ephraim Kibonde Jahazi Show

HONGERA SANA MR. II aka SUGU, kweli mi nimekubali we suguuuuuuuuuuu.Wakati huohuo poleni Kilaus (Clouds) hasa Kimlima (Kibonde) unajifanyaga unajua bro.....lakini hujui unavyoboa watanzania siku hizi hasa baada ya kuji associate na CHAMA CHA MADUMBUZI (CCM). Mshahara wa Sugu sasa hv kwa mwezi ni sawa na ujira wako wa U-MC kwa miaka 6. Hata kama ni shabiki wa CCM bro usionyeshe kwenye chombo cha habari, kama ndo ivyo CLOUDS iungane na TBC tujue kabisaaaa, na mkiendelea hivyo mwisho wenu soon, so far umaarufu wenu ushapungua, watu wengi wameanza kuwajua kuwa ni walewale. BRO SUBIRI VITI MAALUM KAMA NA WEWE NI MWANAMKE
 
Ingekua Unyamwezini huyu Kibonde angekua ashapewa za kifua....anakera sana Choko huyu.Congrats Mr.II...:A S angry:
 
Hilo umetizama mbali lakini walio wengi wanadhani kushabikia sisiemu basi ndio mipangilio yao itakaa sawa, ngoja tuchukue nchi jumla ndio watatia akili
 
Zamani nilikua napenda sana kumsikiliza kibonde, lakini nishamtema zamani, ana kipaji cha utangazaji (no doubt about that), lakini jamaa hajui vitu vingi, zamani nilikua namsikia akitangaza michezo, anakosea hata kunukuu tu kama ilivotoka ktk source, maana ye alikua anasoma (mara nyingi) kutoka goal.com lakini ukisoma mwenyewe na ukimsikiliza kibonde, sa sijui alikua anashindwa kuelewa baadhi ya maneno ya kiingireza yanavotumika katima michezo au nini.

mbali na unazi wa ccm jamaa is small-minded
 
Kibonde (kama jina lake linavyo-suggest) hana weledi kabisa! Hajui kabisa kuwa mbunge anatakiwa kuwa mtu wa aina gani. Mmeshuhudia (Kibonde) akimuliza mgombew wa CCM JK swali lisilo na tija kwa watanzania bila kufahamu kuwa fursa ile illikuwa muhimu sana. Lakini simlaumu sana ni mtangazaji tu...

Nimsaidie kumfahamisha kidogo kuwa wananchi wanachoangalia ni LEADERSHIP full stop. Unaweza kuwa na exposure, ukaenda shule ukawa na jina lakini usiwe leader mzuri. SUGU ameonyesha leadership ktk historia ya maisha yake. Kama mlikuwa mnafuatilia mchakato has midahalo mtakumbuka kuwa mpinzani wake wa karibu kutoka CUF kama sikosei alikuwa ana-project zaidi shule yake (Nimesoma Oxford blah blah nyingi) kwa wapiga kura kitu ambacho wapiga kura haikuwa shida yao kabisa.

Mbunge ni mtu wa kuwaongoza wananchi tu mambo mengine yote yako kwa wananchi wenyewe wao ndio wanajua wanachotaka kufanya.
 
Michuzi and Kibonde, Kampeni zimeisha, tunaomba sasa tufuate maadili ya uadhishi wa habari tuwache unafiki.

Viti maalumu (vya Ubunge) ni kwa ajili ya kina dada zetu.
 
walitaka viti maalumu jamani cv zao?
 
Sugu the ligendary, Nikikumbuka safari yake napatwa na Hisia kubwa sana, kipindi kile ndo niko form 2 Narekodi nyimbo zake
kupitia redio one. Da!!! Nilikua bado dogo sana.
 
Naombeni mnisaidie jamani, huyu Kibonde ni nani hapa Tanzania? Mbona huwa anatukana na kuropoka hovyo lakini hafanywi kitu? Wanamuogopa au?
 
Kweli dua la kuku halimpati mwehu,ndugu yetu bwana kibonde alikuwa akimponda na kumziaki joseph mbilinyi kuwa hana sifa za kuwa mbunge wa mbeya.sasa sugu kashinda kwa kishindo..aibu ya nani?

Hiyo yenye bold ina maanisha nini Mkuu? au unamaanisha mwewe
 
kwani huwajui hao? Vijana wanaekti wazee wa umri wa akina mzee mwinyi
 
Michuzi hata aibu hana?
 
:blah: :blah::blah: ha ha ha ha. Mwambie huyo kibonde.
 
Wana-JF unajua behavior za watu kama Kibonde au Issa Michuzi ni kutokana na kuwa mfumo mbaya wa kiutawala. Watu hawa wanajua kabisa kwa kujipendekeza unaweza ukaamka siku moja ukasikia uteuliwa kuwa Mpiga picha wa raisi au Mawandishi wa raisi. Hatuna taratibu za kueleweka.
 
ni bora kukaa chonjo kuliko kujishebedua wakati Jina linaashiria we ni mwanaume!!
Mmetia aibu sio siri! SUGU SUGU SUGI SIGU!!!!!!!
 
Naombeni mnisaidie jamani, huyu Kibonde ni nani hapa Tanzania? Mbona huwa anatukana na kuropoka hovyo lakini hafanywi kitu? Wanamuogopa au?
 
Kibonde anataka ukuu wa wilaya.... mbaya anajionaga mjaaaanja saanaaa... kumbe **** kama ma**la wengine wanaojikomba kwa kuuza haki na utu wa mtu, alimradi nia na mahtaji yao binafsi yahudhuriwe! Michuzi ameboa saana kipind hiki cha kampeni na uchaguzi... kisa kuuita blog ya jamii basi kabweteka kama hao sisiem na madaraka.. cha moto chenu tunakiepua now, copy that!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…