Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
pole yake huyo mama nilidhani siku moja atafaa apewe hata ubunge kama wenzake lakini si mfano mzuri kati ya wanawake,jamani watu wake wa karibu wamsaidie kimawazo huko alipo kapoteaRegina pale kwisha kazi yake.........alikuwa anatangaza vipindi vyenye heshima na alikuwa anaelekea kwenye professionalism, Sasa kaenda kutangaza mizaha mizaha tuuu!! hata haendani kabisa.
Najitolea kumpeleka shule labda tatizo ada, ndo maana hataki kwenda kusoma na kubadilika, naombeni mpelekeeeni ujumbe wangu huu kwamba nitamfadhili akasome
kweli,pole yake huyo mama nilidhani siku moja atafaa apewe hata ubunge kama wenzake lakini si mfano mzuri kati ya wanawake,jamani watu wake wa karibu wamsaidie kimawazo huko alipo kapotea
nawai homeee mieeeeee nikafungulie mkulima nipate kusiliza JAHAZ mieeeeeeeeeeeeeee!!!!!!
halafu hiyo heading sijaipenda kabisa inakuwa kama tunamtukuza hah
mmh jaman uyu nilikuwa namtetea sana lakin dah nimeanza kumwona mwehu
yaani anaongea bila kufikiria wala kujua anatamka nini na kina effect gan kwa jamii
anajifanya mjuajiiiiiiiii lakin hamna lolote la maana analosema
watanzania asilimia 80 wanaona vbaya juu ya dowans bt ye anavyoizungumzia dahh so cheap as if mtoto wa darasa 5
na skuizi ndo kabisa kagwaya yupo na yule bmkubwa regna dah yule mama nw days kakosa maket na anazid kujipunguzia heshima anachoongea akiendani na alivyo . ..,mara kumi angebakia radio one ambako alipewa vpnd vnavyomjengea status lakin si pale ambapo anachoreshwa ..m sure wa radio one wenzake watakuwa wanamcheka ahh mwone ...dah anajidhadhalisha kwa kweli ni matusi matusi u wanayoongea
kipind akina ubunifuu zaid ya low politics n low sociolost ...u guys beta wak up n b active
yan ata cha kina dna kina mashiko kuwasikiliza lakin si makatuni wakubwa awa.....KUWEN WABUNIFU...jadilin vtu vyenye mana mkiwa na data +program ndo izungumze na sisi nyinyi kuongeaaaaaaaa tu...
nilikuwa nampenda sana kibonde na kumwonea huruma walipokuwa wnamponda bt nw mhh...
ACHEN KUJIFARIJI KWA kusema watanzania wanapenda sana kusema...kaa chn jiulize unakosea wap...kwanini wasisemwe akina hando,pj usemwe wewe daily?
jahaz ilibid kiwe kipind cha kujadili critical issues ukiachana na asubui lakin dooo afazali ata usikilize xxl upate mafleva pale kati uburudike usepe bila majooooooto wala kwikwi!!!!!
jaman shemej gadna upo wap jaman rud .... regina anatuchanganya tu apa na matusi yake...au basi wape tips wajue waseme nini KABLA YA..
meneja wa kipind sjui nan ndege seba sjui nani fanya mpango mpya wa vpnd na watangazaji...la sivyo the whl clouds smel fish.
kibonde kuwa open minded usiwe closed kaka
kujitia kujua kila kitu kunakupoteza
soma jamii yako
soma mada husika
ili ujue uongee nini na nanan sangap nasi kila kitu lazima UKIZUNGUMZE RADION cz watu u speak kina effect kubwa sana kwa jamii as long weng wetu elimu finyuuuuuuuu so unachokisema hatukichambui tunameza km kilivyo
LOVE U KIBONDE(kiagape zaid)
Joseph Kusaga..... JAHAZI is a rubish program at clouds radio....it is airtime wastage and still you use lots of money to broadcast this program.... i bet...you better prepare documentaries that will teach young tanzanians on how to employ themselves as entrepreneurs... you will get a lot of program sponsors...like UNIDO, UDEC...TPSF, SIDO, PRIDE and so many to mention and thus get money
please discard this program with this guy who has never been innovative and instead he portray miserable in your business
Mie sichangii kabisa