Ephraim Kibonde Jahazi Show

Ephraim Kibonde Jahazi Show

Kuna kipindi niliskia kuwa jamaa anasumbuliwa na kale kaugonjwa, labda ndo kamepanda hadi kichwani labda, mmh nimejisemea tu jamani katika harakati za kupunguza machungu dhidi ya huyu kiumbe, ila ni kweli kulikuwa na ka-uvumi kajinsia hiyo
 
Regina pale kwisha kazi yake.........alikuwa anatangaza vipindi vyenye heshima na alikuwa anaelekea kwenye professionalism, Sasa kaenda kutangaza mizaha mizaha tuuu!! hata haendani kabisa.
pole yake huyo mama nilidhani siku moja atafaa apewe hata ubunge kama wenzake lakini si mfano mzuri kati ya wanawake,jamani watu wake wa karibu wamsaidie kimawazo huko alipo kapotea
 
Najitolea kumpeleka shule labda tatizo ada, ndo maana hataki kwenda kusoma na kubadilika, naombeni mpelekeeeni ujumbe wangu huu kwamba nitamfadhili akasome

ahh uyu kak akijitune kdg tu atakuwa bora
ni utoto tu na mafagio yanamsumbua
akili anazo sana...ASI KAISH UPANGA...DNT ASK ME ukiish upanga ndo unakuwa kipanga...ahh ahh!!!!kaaaaaaz:suspicious:
 
pole yake huyo mama nilidhani siku moja atafaa apewe hata ubunge kama wenzake lakini si mfano mzuri kati ya wanawake,jamani watu wake wa karibu wamsaidie kimawazo huko alipo kapotea
kweli,
muda mwngne anasifia wanawake wenzake ..et ahhh janamke iloooooo limejazia kila pande..mh swaga za kilesbian..sjasema ukiwa mke ni mwko au aifai kusifia mwanamke mwenzako bt THE WAY unavyotoa izo sifa ndo mmh mhh minapatwa na tashwshw jaman..
 
nawai homeee mieeeeee nikafungulie mkulima nipate kusiliza JAHAZ mieeeeeeeeeeeeeee!!!!!!
 
halafu hiyo heading sijaipenda kabisa inakuwa kama tunamtukuza hah
 
kibonde is ajack of all trade, but they say who wants to know all ends up knowing nothing at all!..... pamoja na hayo la msingi ni kwamba huyu jamaa anatakiwa atafutiwe pozi apewe kichapo, tena kundi la kumchapa liwe la wale mamido class aliowasema JK maana hao ndo wanaopokea matusi sana ya huyu kilaza!.... i wish wazee wa kikosi cha mizinga wangeendelea na ile michezo yao ya kuteka na kumpa adhabu zao zile, ningewapa maisha kwa huyu jamaa! kudadadeki zake!
 
halafu hiyo heading sijaipenda kabisa inakuwa kama tunamtukuza hah

Mpwa, nilitumia sanaa kidogo maana kusema ukweli kama ningesema hayo niliyokua nayo moyoni juu ya huyu kilaza basi mpaka sasa ningekua nimeshapigwa BAN ya nguvu, lakini unaonaje si kaujumbe kamefika??? asante
 
Labda kwa kuwasaidia kwa wale wasi mfahamu huyu jamaa, ukiacha kazi yake hiyo, huyu ndo yule kilaza aliekuwa kwenye tangazo la ZAIN lenye majungu kibao akidai "kwa nini wewe ulipe zaidi, wakati so and soo...sijui na ujinga gani tena huko..." hivi kwanza nilikua nataka kufahamu kwa nini lile tangazo halikufungiwa maana ukilifuatilia linaonyesha kabisa rangi ya kibanda cha ZANTEL halafu jamaa nadni anamuita yule Mama, lakini yeye anagoma na kulekea kwenye kibanda chenye rangi ya Zain....haikuwa sahihi kwa wanaojua sheria za ushindani wa kibiashara...tufanye yameisha
 
mmh jaman uyu nilikuwa namtetea sana lakin dah nimeanza kumwona mwehu
yaani anaongea bila kufikiria wala kujua anatamka nini na kina effect gan kwa jamii
anajifanya mjuajiiiiiiiii lakin hamna lolote la maana analosema
watanzania asilimia 80 wanaona vbaya juu ya dowans bt ye anavyoizungumzia dahh so cheap as if mtoto wa darasa 5
na skuizi ndo kabisa kagwaya yupo na yule bmkubwa regna dah yule mama nw days kakosa maket na anazid kujipunguzia heshima anachoongea akiendani na alivyo . ..,mara kumi angebakia radio one ambako alipewa vpnd vnavyomjengea status lakin si pale ambapo anachoreshwa ..m sure wa radio one wenzake watakuwa wanamcheka ahh mwone ...dah anajidhadhalisha kwa kweli ni matusi matusi u wanayoongea

kipind akina ubunifuu zaid ya low politics n low sociolost ...u guys beta wak up n b active
yan ata cha kina dna kina mashiko kuwasikiliza lakin si makatuni wakubwa awa.....KUWEN WABUNIFU...jadilin vtu vyenye mana mkiwa na data +program ndo izungumze na sisi nyinyi kuongeaaaaaaaa tu...
nilikuwa nampenda sana kibonde na kumwonea huruma walipokuwa wnamponda bt nw mhh...

ACHEN KUJIFARIJI KWA kusema watanzania wanapenda sana kusema...kaa chn jiulize unakosea wap...kwanini wasisemwe akina hando,pj usemwe wewe daily?
jahaz ilibid kiwe kipind cha kujadili critical issues ukiachana na asubui lakin dooo afazali ata usikilize xxl upate mafleva pale kati uburudike usepe bila majooooooto wala kwikwi!!!!!

jaman shemej gadna upo wap jaman rud .... regina anatuchanganya tu apa na matusi yake...au basi wape tips wajue waseme nini KABLA YA..
meneja wa kipind sjui nan ndege seba sjui nani fanya mpango mpya wa vpnd na watangazaji...la sivyo the whl clouds smel fish.

kibonde kuwa open minded usiwe closed kaka
kujitia kujua kila kitu kunakupoteza
soma jamii yako
soma mada husika
ili ujue uongee nini na nanan sangap nasi kila kitu lazima UKIZUNGUMZE RADION cz watu u speak kina effect kubwa sana kwa jamii as long weng wetu elimu finyuuuuuuuu so unachokisema hatukichambui tunameza km kilivyo

LOVE U KIBONDE(kiagape zaid)

Hahaa nimekusoma vizuriii, lakini haina haja ya kumpenda ki agape mpuuzi kama huyu maana mshikaji inasemekana anasambaza ngoma kwa watoto wa Shule( source: albam ya ant virus- vinega wa bongo)
 
Joseph Kusaga..... JAHAZI is a rubish program at clouds radio....it is airtime wastage and still you use lots of money to broadcast this program.... i bet...you better prepare documentaries that will teach young tanzanians on how to employ themselves as entrepreneurs... you will get a lot of program sponsors...like UNIDO, UDEC...TPSF, SIDO, PRIDE and so many to mention and thus get money

please discard this program with this guy who has never been innovative and instead he portray miserable in your business
 
Joseph Kusaga..... JAHAZI is a rubish program at clouds radio....it is airtime wastage and still you use lots of money to broadcast this program.... i bet...you better prepare documentaries that will teach young tanzanians on how to employ themselves as entrepreneurs... you will get a lot of program sponsors...like UNIDO, UDEC...TPSF, SIDO, PRIDE and so many to mention and thus get money

please discard this program with this guy who has never been innovative and instead he portray miserable in your business


Yuo deserve credit
 
kibonde anadhihirisha ule esemi wa masikini akipata ****** hulia mbwata........🙂
 
Mkuu Elli inakuwaje unaweka Title ya namna hiyo. Napata hasira zaidi juu yako kuliko juu ya Kibonde mwenyewe. Futa Title hiyo haraka, unamwomba nani ukuonee huruma?
 
Swala la kusema kuwa huyu jamaa keshajadiliwa sana humu jamvini hivyo tusipoteze muda ni sawa na kuukalia kimya uozo wa Serikali kwa kusema kuwa tumeshawasema sana. Huyu jamaa amezidi, nimemsikiliza sana jana tena akishabikiwa na Regina Mwalekwa. Kibonde anaishia kulaumu wanasiasa wa upinzani kuwa wao ndio walisababisha dhahama lote la Dowans..!!! Eti wao ndio waliisukuma serikali kuvunja mkataba so wasiikataze serikali kuwalipa Dowans...!! Is he ok upstairs....!! Wa kulaumiwa anatambulika hata kichaa wa posta atakueleza; ni serikali period...!! Huo uozo wa Richmond na Dowans haukuletwa na wanasiasa wa upinzani wala wanaharakati..!! Serikali ndiyo iliajiri wanasheria wa kusimamia kesi ambao mpaka leo sielewi walifanya kazi gani hasa nikifuatilia maneno ya wanasheria wazoefu...!! Yeye na Mafisadi wasimlaumu Nzi kwa kuleta ghasia chooni kwa uchafu wao wenyewe...!!

Wanasiasa wako pale kutuwakilisha wananchi kwa kuwa vyombo vyenu vya habari vimejaa siasa tupu; ukiomba coverage ndio hivyo tena tunajua yaliyowakuta wataalamu wa TBC1..!! Na wengine wanagoma kabisa kwa kuogopa kupigwa fitina na mafisadi au wako pale kutimiza matakwa ya wachache...!! Acha tuwatumie hao hao wanasiasa ambao wana speakers za kutosha..!! Kusema kuwa wanasiasa wanatumia swala la Dowans kama daraja la wao kukua kisiasa ni kutotumia akili...!! Anasemaje kuhusu wataalamu; Maprofessor walioongelea swala la Dowans; hao wanataka nini wakati kimaisha wameshafika kielimu na kimaisha..!!..??
 
Back
Top Bottom