Ephraim Mrema na Ufisadi TANROADS


Rev. Kishoka,

Interviews za tanzania ziko tofauti na hasa hizo zinazoendeshwa na wizara.

Pia kwenye mambo ya technical, ukiachia maswali ya jumla kama uliyoyaandika, kuna kampuni wanaingia deep kwenye nyanja husika.

Huku West sasa wameacha kwenda ndani kwenye nyanja husika na badala yake wanauliza maswali genaral kwasababu wanaamini kwenye uwezo wa mtu ku cope kwenye mazingira mbalimbali, Tanzania na Afrika, tunaamini kwenye ukipanga, uwezo wa kukokotoa majibu kama yalivyo kwenye vitabu vya wasomi.

Sisemi Mrema alipewa maswali, ila nataka kutofautisha tu juu ya interviews ambazo zinaendeshwa na makampuni ya uajiri na zile za wizarani.

Aidha ukiaangalia matatizo mengi ya Tanzania utakuta kinachokosekana ni management skills na wala sio hizo technical skills. Nafasi kama ya CEO inatakiwa skills zaidi ya zile za ujenzi barabara. Ukiwa fundi ujenzi ni added value lakini muhimu zaidi ni management skills.

Huyo Mrema ni mwakilishi tu wa kundi kubwa amblo mimi huwa naliita middle class ya Tanzania ambao ni mzigo kwa maendeleo ya nchi yetu. Wanapata pesa nyingi lakini utendaji wao mbovu, wanapiga vita watanzania wenzao, wanakula rushwa, wana ukabila nk.
 

Mkuu,

sahau hayo ya Worl Bank, hizo ni pesa za Watanzania. Kuchangiwa na world bank kutusifanye tusilinde pesa zetu. Hizo pesa zimetengwa kwa ajili ya Tanzania. Badala ya kulipwa mtu mmoja, zinaweza kutumika kwenye miradi mingine kama vile barabara mbalimbali ambazo zinaweza kuongeza ajira na pia uzalishaji huko wilayani.

Hakuna pesa ya World Bank, hiyo ni pesa ya Watanzania wote. Misemo kama hiyo ndiyo kama maneno ya waziri wa fedha kwamba pesa za EPA hazikuwa za serikali.

Pesa yoyote inatakiwa kupewa uangalizi na kutumiwa vizuri hata kama umepewa na mjomba.
 


mrema alifukuzwa kazi konoike kwa kuwa alikuwa anapinga swala la wanasiasa kuuona mradi wa manyoni-dodoma road kama mahali pa kwenda picnic.kila leo mara mkuu wa mkoa nataka gari liende kwenye mwenge, mara waziri anataka konoike wampeleke mke wake kijijini.akamkatalia kigogo mmoja gari ndo akangaka konoike ikabidi wamwombe ajitoekwa kuwa kigogo yule na siyo mwingine ni magufuli alikuwa aikwamishe project
 

mrema is a quantity surveyor, a quantity surveyor is also an engineer. kila kitu nadhani wanasoma sawa, structural design, engineering mechanics, construction management, building construction,civil engineering quantities etc, the only difference ni kuwa quantity surveyor abna-specialize zaidi kwenye economics of buildings and civil works projects, wakati civil engineer ana-specialize zaidi kwenye structural design
ulaya wanasema a quantity surveyor is ana engineer, and an engineer is a quantity surveyor with an exception above

mnapojadili profession ya mrema msikosee mkafikiri kuwa labda ni penguin hapana!
 

Mwikimbi you are completely wrong, a quantity surveyor is not an engineer and vice versa. A quantity surveyor is professionally a quantity surveyor, the same for an engineer (Civil).

Mtu wa fani fulani akisoma kozi fulani ambayo siyo major kwenye fani yake hakumfanyi yeye kuwa wa fani hiyo. Kwa mfano, engineer anaposoma kozi ya Land Surveying au Engineering Surveying, hakumfanyi yeye kuwa Professional Land surveyor. Vivyo hivyo, civil engieer siyo Architect hata kama kuna somo la architectural drawing anasoma kwenye programme yake. Nataka uelewe kwamba hizi fani ni tofauti kabisa japo zinategemeana kwa karibu. Nitakubaliana na wewe kama utaniambia kwamba Mrema amesoma fani zote mbili kwa maana kwamba ana degree mbili moja ya [Quantity Surveying/Construction Economics/Building Economics etc] na nyingine ya Civil Engineering au kama alisoma double degree kama inavyowezekana kwa nchi zingine kama Australia.

Hata katika Civil Engineering kuna specialization chungu nzima kwa mfano, Structural Engineering, Soil Mechanics, Transportation, Water Resources etc.

Kwa hiyo usichanganye mambo.
 
Hii thread kila siku nilikuwa nairuka kumbe kuna ufisadi wa aina yake hapa?

Ballali mwingine huyu, mshahara zaidi ya dola 25,000 kwa mwezi lakini utendaji bado wa kusua sua.
Nimesikia leo kwenye magazeti (nadhani Sauti Huru) kuwa kuna update ya issue hii.
 
Huyu jamaa kiboko

alikuwa na bifu na ma meneja wake basi kawatimua wote na kaamua kutangaza nafasi za kazi zile zile wakati hawao waliotimuliwa kesi zao bado hazijasikilizwa

something is not right kule TANROADS lakini kama ni mchapakazi, then its fine with me
 



Mwikimbi

Wacha ujinga! Kama kitu hujui usikurupuke! Jamii forums kuna watu makini unajua maana ya great thinkers! Nakutafadhalisha uende elimu ya watu wazima. I don't want to discuss kuhusu Mrema nipoteze muda bure!! A Quantity Surveyor(Mkadiria Majengo) is not an Engineer.

Hao wanasoma building economics kule chuo kilichokuwa cha ardhi zamani. Kozi yao ni ya miaka mitatu . Hata Bodi inayowasajili ni ya Wasanifu na wakadiria majengo.(ARCHITECTS and Quantity Surveyors)

Soma magazeti kila siku yanaandika . Wacha kupiga umbea hapa do something else!
 

DEAD wrong, hizi ni proffessions tofauti kabisa.Sahihisha usemi wako mkuu A QS will NEVER be and Engineer usipakazie proffesiion za watu.
Kwa taarifa yako hii proffession ya QS inapatikana Uingereza tu! na sio nchi nyingine zilizoendelea.Katika nchi nyingine kazi ya QS inafanywa na wahandisi na huwa wanashangaa kwa nini mhandisi aliyebuni mradi asiweze kukadiria gharama zake!
 
ceo wa Tanroads lazima awe engineer?????

maana yake inaonekana malalamiko jamaa siyo engineer
 
huyu bwana usalama wa taifa......
 
mtu unapozungumzia uchaga wa mrema na ukabila tanroad lazima utoe ufafanuzi.Wewe ndo mkabila wa kutupa.Maana unapozungumzia ukabila lazima uanziae kwako,kwani kama sio mrema kuwa CEO tanraod ulitaka babako ndo awe CEO!!!!Acha ujinga wako kama hujaenda shule shauri yako Mr. clean
 
Hongera Bwana Mrema kwa kuwa mzalendo kuongoza wakala hiyo.

Nauliza jamani huyo Mghana aliyemuachia mwaka 2006 alikuwa analipwaje? Ni kiwango hicho hicho au tofauti? Nyie mlitaka kwa vile ni Mtanzania alipwe kidogo?

Mi nadhani huu ni wivu tu. Hauna mantiki maana kama una wivu kwa mtanzania mwenzako kukamata nafasi na kulipwa vizuri, inakatisha moyo kwa wengine(Eti ni ufisadi mshahara mkubwa).

Nilichojifunza Mgeni hata alipwe kiasi kikubwa bongo hiyo SAHIHI lakini Mtanzania akipewa nafasi kama hiyo ni TATIZO. Jamani tubadilike kifikra kuwa wapo wataalamu wengi Tanzania ambao wanaweza kuongoza sehemu nyingi ambazo hatuhitaji kuleta wageni.

Kuajiri kwa mkataba ni mfumo wa kisasa. Unamuekea mtu malengo kwa muda fulani(2yrs, 3yrs etc) asipoyafikia basi unamtafuta mtu mwingine. Unataka watu wapewe permanent contracts ili wajisahau! si wataishia kwenye seminar mbalimbali, hawakai ofisini. Nadhani mmeelewe.

Kuna kitu nimejifunza kuhusu sifa za kuongoza TANROADS eti lazima uwe Civil Engineer. Nadhani huyu mtu mawazo yake ni kuwa Hospiatali lazima iongozwe na Daktari, Waziri wa kilimo lazima awe mtaalamu wa kilimo. Hii ni fikra potofu ndugu yangu.

Nawapongeza Watanzania wote walioanza kuchukua hizi nafasi kama za CEO wa TANROADS.
 
Mimi bado nampongeza mchangiaji aliyegusa swala la kutenganisha elimu na uchapaji wa kazi.Watanzania bado tumedumaa na kutafuta vyeti vya elimu wakati hatuwezi kuzifanyia kazi.Watu tuna PHD ,Master na vingine vikubwa lakini hatuwezi kudeliver chohote tumebakia sifa za maonyesho.Marekani ma CEO na Madirector wa makampuni ni high school diploma na ndio wanaongoza na kuingizia makampuni yao faida nyingi.
Lakini kwetuTanzania wasomi ndio wanaelekea kuwa vibaka wakati wamesoma na wanajua maadili za kazi.Mimi nafikiri kwenye kutaka kitu kifanyike na kitokee tunatakiwa tuwe na guts sio lelemama .Hata kuwa mjasirimali kama huna guts huwezi kwenda mbali.
kwa hiyo kama ndugu yangu Mrema anafanya kazi vizuri kwa kuweza kuongoza wengine vizuri na kufikisha malengo ya Tanroad basi apewe sifa hata kama aliingia kimizengwe .Lakini kama hana chochote basi afikishwe kwa pilato.
 
Iam vey sick to discuss TANROAD .Hivi nani anapanga malipo ya Ma CEO wa makampuni ya nayohusu serikali ?Kwasababu inaonekana hawa jamaa wanalipwa zaidi kuliko wanavyozalisha halafu tofauti ni kubwa sana kwa wanaofuatia katika utendaji.Kwa mtaji huo mwanainchi wa kawaida ataendelea kukosa unafuu wa maisha.Kuna haja ya kufanya uchunguzi wa system yote.
 
..hivi Tanroads walitumia vigezo gani kusitisha mkataba huu.

..pia msuluhishi wa huu mgogoro alitumia vigezo gani kufikia uamuzi huu?

..je serikali itachukua hatua gani kwa waliosababisha hasara hii? kuna atakayefukuzwa kazi? kuna atakayeshtakiwa mahakamani?



 
Last edited by a moderator:
Si mradi huo tu,mingine iliyoletea Taifa hasara inakuja:Tarakea /Rombo,Mbeya/Chunya,Dodoma /Manyoni serikali inelekea italipa mabilioni kutokana na hatua zisizo endelevu za TANROADS.
 
Tunaingia mikataba kisiasa na tunaivunja kisiasa. Haya ndiyo matokeo yake!

Amandla......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…