TANZIA Ephraim R. Mwansasu, Nguli wa Nyimbo za Injili Afariki Dunia


Apumzike kwa amani.

Tusisahau tahadhari kama vifaranga wa kuku wa kienyeji vile.
 
Ni jambo la kushangaza kwangu kuwa jana J2 asubuhi nimeingia YouTube na kusiliza wimbo wake, " Siku Nikilala", sikuwa najua chochote kuhusu yeye.
Ni yeye Mwansasu. Ameondoka na kurejea kwa Muumba.
 
Amen, till we meet again.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…