upendodaima
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 4,078
- 4,504
Ha ha ha,funny afu heartbreaking!Wasanii wanaochunguzwa ni watatu + WEMA SEPETU ,dada ana kufuru secretary wake anatumia macntosh wakati ceo wa kampuni nayofanya kazi anatumia hp dv7.
Ni mwendelezo wa Sakata la unga ambalo sasa ni janga kwa taifa letu. Orodha zinaendelea kutoka na kuwekwa wazi huku bunge likivutana kuhusu sakata hlo.
Tetesi za kutoka ndani zinasema msanii wa muziki Naseeb Abdul au Diamond ambaye alijitapa wazi mbele ya kamera za habari kuwa anamiliki ukwasi zaidi ya bilioni moja kwenye akaunti yake, nyumba 5 za thamani Kijitonyama na Mikocheni na anatumia simu 6 za thamani ambazo zipo hewani muda wote tayari amenyang'anywa hati yake ya kusafiria na baadhi ya simu zake katika mwendelezo wa uchunguzi juu yake unaofanywa na vyombo vya dola.
Msanii pia wa maigizo Masanja Mkandamizaji ambaye anadaiwa kumiliki mkwanja mrefu na nyumba za thamani kubwa mpaka magari naye tayari ametajwa kuhusika na sembe.
Episode inaendelea,tuungane katka vita hii.
Mama Rwakatare ni mchungaji wa kondoo mwenye heshima kubwa nchini!Masanja si ni mlokole/ameokoka...
Mchungaji masanja mkandamizaji? Kumbe anataka kuanzisha kanisa ili kufichia uovu wake kama mama Rwakatale.
Nasikia mkuu wa kaya anampenda mno Diamond................... kumbe!
Masanja si ni mlokole/ameokoka...
sasa hapo ndiyo naanza kuamini hawa watu wanatafuta mara zote sehemu ya kujifichia , muovu yeyote baadaye kimbilio huwa kwa mungu lakini mali haziachi . sasa brake na gingi hachomoki mtu hapo na tetesi huwa kweli sema mahakama ndizo zinaamuaMasanja si ni mlokole/ameokoka...
Mbona hujauliza kwamba Diamond si ni swalla 5? Usitake kuhalalisha kwa wengine na kuharamisha kwa imani nyingine!!
sasa hapo ndiyo naanza kuamini hawa watu wanatafuta mara zote sehemu ya kujifichia , muovu yeyote baadaye kimbilio huwa kwa mungu lakini mali haziachi . sasa brake na gingi hachomoki mtu hapo na tetesi huwa kweli sema mahakama ndizo zinaamua
Masanja si ni mlokole/ameokoka...
wamjue mwenye punda! Mwisho wa siku kigugumizi!Mh sasa wale kule bungeni wanawasubilisha kwa nn wakati hawa ni punda tu
Masanja si ni mlokole/ameokoka...
Mchungaji masanja mkandamizaji? Kumbe anataka kuanzisha kanisa ili kufichia uovu wake kama mama Rwakatale.
Mbona hujauliza kwamba Diamond si ni swalla 5? Usitake kuhalalisha kwa wengine na kuharamisha kwa imani nyingine!!