Episode ya Unga: Msanii Diamond apokonywa Passport, Masanja Mkandamizaji ndani

Episode ya Unga: Msanii Diamond apokonywa Passport, Masanja Mkandamizaji ndani

Wasanii wanaochunguzwa ni watatu + WEMA SEPETU ,dada ana kufuru secretary wake anatumia macntosh wakati ceo wa kampuni nayofanya kazi anatumia hp dv7.
Ha ha ha,funny afu heartbreaking!
Dunia ina mambo ndugu yangu.
 
Ni mwendelezo wa Sakata la unga ambalo sasa ni janga kwa taifa letu. Orodha zinaendelea kutoka na kuwekwa wazi huku bunge likivutana kuhusu sakata hlo.

Tetesi za kutoka ndani zinasema msanii wa muziki Naseeb Abdul au Diamond ambaye alijitapa wazi mbele ya kamera za habari kuwa anamiliki ukwasi zaidi ya bilioni moja kwenye akaunti yake, nyumba 5 za thamani Kijitonyama na Mikocheni na anatumia simu 6 za thamani ambazo zipo hewani muda wote tayari amenyang'anywa hati yake ya kusafiria na baadhi ya simu zake katika mwendelezo wa uchunguzi juu yake unaofanywa na vyombo vya dola.

Msanii pia wa maigizo Masanja Mkandamizaji ambaye anadaiwa kumiliki mkwanja mrefu na nyumba za thamani kubwa mpaka magari naye tayari ametajwa kuhusika na sembe.

Episode inaendelea,tuungane katka vita hii.

Nasikia mkuu wa kaya anampenda mno Diamond................... kumbe!
 
Bila kumkamata Lukuvi na Kikwete wanacheza sindimba ya kimakonde..
 
Mchungaji masanja mkandamizaji? Kumbe anataka kuanzisha kanisa ili kufichia uovu wake kama mama Rwakatale.

Wamchunguze na huyu alieanzisha kanisa la utajilishaji Askofu Kilontsi Mporogomyi ambae alikuwa mbunge na tunajua kipato chake; lakini juzi katokea na kusema eti alitapeliwa shilingi bilioni moja , je huyu bwana hizo hela alizipata wapi na alitapeliwa vipi? Isije ikawa na yeye yumo kwenye MAPOUDER sasa anataka hilo kanisa iwe njia ya kupitishia!!!
 
Jitahidi kutafuta habari acha udebwedo wa kulishwa kila kitu.....nenda google ukapekue
 
Nasikia mkuu wa kaya anampenda mno Diamond................... kumbe!

Wanaofanya biashara ya madawa ya kulevya mara nyingi wanafanya urafiki na watawala ili wawalinde; siwezi kushangaa kama nikisikia kuwa jamaa wa CLOUDS wanaitwa MADON wamo kwenye hiyo biashara na ndio maana wanamuandalia Kikwete birthday parties ili wawe karibu nae ili awalinde!!!!
 
Masanja si ni mlokole/ameokoka...
sasa hapo ndiyo naanza kuamini hawa watu wanatafuta mara zote sehemu ya kujifichia , muovu yeyote baadaye kimbilio huwa kwa mungu lakini mali haziachi . sasa brake na gingi hachomoki mtu hapo na tetesi huwa kweli sema mahakama ndizo zinaamua
 
nina mashaka na hizi habari,weka chanzo mkuu

Raha jipe mwenyewe...kwa nini usitafute ukweli mwenyewe ...... 1377783609612.jpg
 
Mbona hujauliza kwamba Diamond si ni swalla 5? Usitake kuhalalisha kwa wengine na kuharamisha kwa imani nyingine!!

Duuu!!!.. Mkuu una akili fupi sana. Kwanza hizo habari za Diamond kuwa swala 5 sizijua, and sitaki uweke comment kwenye post yangu kwa kuzungumzia mambo ya dini... Sitaki na sipendi tabia za kipuuzii kama za kwako za kujadili mambo ya dini....
 
sasa hapo ndiyo naanza kuamini hawa watu wanatafuta mara zote sehemu ya kujifichia , muovu yeyote baadaye kimbilio huwa kwa mungu lakini mali haziachi . sasa brake na gingi hachomoki mtu hapo na tetesi huwa kweli sema mahakama ndizo zinaamua

Bado Gwajima...
 
Jf kwa Masanja mnatafuta balaa! Katawatoa kwenye The Comedy ya wiki hii?! Nachakachua, nachakachua, nakubwaga bwaaaaaa!!
 
Back
Top Bottom