EPL ndo ligi bora duniani

EPL INA promo nyingi za bei chee hivyo kuwa na urahisi wa kuonwa na kuzoeleka na wengi,lakini ki ukweli Mpira wa akili mingi na maarifa upo Spain ,hawa EPL. ni wazuri wa kukimbia kimbia tuu uwanjani na nguvu nyingi ubongoni zero, man city inayochukuwa tactics za Spain itawaburuza sana England

Mwl. Kashasha vipi hapo ?
Wabongo wengi wananunua Vitz sababu za kiuchumi sio kwasababu wanaipenda Vitz sana,EPL inaangaliwa zaidi ya La Liga sababu inapendwa zaidi sio kwasababu za kiuchumi so huwezi fananisha hvyo Vitu!
 
They are deeply obsessed by the EPL due to its cheapness and promos they won't ever be realise it.
 
Nchi za Latin America wanaangalia soka la Spain tu kwani wanaamini ndo unapochezwa mpira kitu ambacho ni kweli.kwanza legends wao ambao ndo legends wa mpira duniani wamecheza Spain na Italy siyo England.
Pele kacheza spain na italy??
 
Kuna ligi bora na umaarufu wa timu au ligi
Kwasasa kwa viwango vya FIFA La Liga ndio inaongoza
Ila waingereza huwa nafanya promo sana kuvutia kwao ila kwa vigezo vya fifa La Liga almost ni miaka 10 sasa wako chat ya juu
Kama ni promo na wao laliga si wafanye kinawashinda nini
 
Epl ina promo nyingi na za bei cheeee......sasa huko spain kimewashinda nini kufanya haya wanayoyafanya epl
 
Hao average players walioko EPL ndio hawa hawa timu za LA liga zinatoa pesa ndefu kuwasajili waende spain
Bale
Suarez
Ronaldo
Coutinho
Pique
Alonso
Arbeloa
 
La liga , bundasliga, league 1 etc
Kote huku kuna wachezaji wengi wenye vipaji na wamepata bahati ya kukuza au kununua wachezaji bora. Timu za ligi hizi technically ziko vizuri.
Na timu bora zinatoka huko hasahasa spain.

Lakini kwangu mimi league bora ni EPL.

Mwisho me nahisi hii kitu ni subjective(kusema ligi bora ni ipi) kwanza hatujui ni creteria gani zinatumika.

Lakini kitu ambacho tutakubaliana ,kwa kipindi cha muongo mmoja hadi sasa timu za Spain ni bora. Kama ambavyo kuna kipindi timu za Italy zilikuwa bora.
 
Kwahyo kwa mtazamo wako ww Ajax akitokea kubahatisha kubeba CL basi ligi ya uholanzi ndo inakuwa ligi bora kwa msimu huu sio??
Kuna vitu vingi vya kuangalia ligi bora mkuu...siyo kupeleka timu nne robo fainali ndo iwe ligi bora...au kuchukua kombe mara moja ndo iwe ligi bora...Ligi bora ina timu bora na wachezaji bora kwa pamoja.
Huwezi kuiita ligi ya ufaransa ni bora kwasababu tu PSG ina wachezaji wazuri na ni timu bora.
Pele kacheza spain na italy??
Hapana Pele kacheza England...kati ya Man city au Liverpool.
 
Hao average players walioko EPL ndio hawa hawa timu za LA liga zinatoa pesa ndefu kuwasajili waende spain
Bale
Suarez
Ronaldo
Coutinho
Pique
Alonso
Arbeloa
Ni vizuri umekubali kuwa hawafanyi vizuri katika league isiyo bora_EPL ,ila wakija Spain kwenye league bora wanang'ara na katika eufa champions league!!, mambo yako ivyo ktk league bora ,safi sana
 
Pia na Makocha "
BORA'"
 
Pep Guardiola kaibadilisha sana EPL

1.Kaifanya Top 4 kuwa na thamani zaidi.

2.Kafanya alama 80+ kuwa chache kutwaa ubingwa.


[emoji23][emoji23][emoji23]
Ungesema ligi maarufu sana, duniani, ligi yenye ushindani sana duniani.


Lakini futa kauli yako ya ligi bora duniani!
 
Pep Guardiola kaibadilisha sana EPL

1.Kaifanya Top 4 kuwa na thamani zaidi.

2.Kafanya alama 80+ kuwa chache kutwaa ubingwa.


[emoji23][emoji23][emoji23]
Ungesema ligi maarufu sana, duniani, ligi yenye ushindani sana duniani.


Lakini futa kauli yako ya ligi bora duniani!
 
Tafsiri huu uzi kwa English, ka upost kwenye tweeter, lazima wata taka kukujua mzee.
 
Ni vizuri umekubali kuwa hawafanyi vizuri katika league isiyo bora_EPL ,ila wakija Spain kwenye league bora wanang'ara na katika eufa champions league!!, mambo yako ivyo ktk league bora ,safi sana
Hawafanyi vizuri?????????? Kuna ambae mchezaji alikua hachezi vzur EPL akapelekwa Barcelona au madrid
 
Hizi rates ulizotumia hapa ni kwa mujibu wa standards zipo?
 
timu tatu sio timu za hispania zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…