EPL ndo ligi bora duniani

EPL ndo ligi bora duniani

EPL INA promo nyingi za bei chee hivyo kuwa na urahisi wa kuonwa na kuzoeleka na wengi,lakini ki ukweli Mpira wa akili mingi na maarifa upo Spain ,hawa EPL. ni wazuri wa kukimbia kimbia tuu uwanjani na nguvu nyingi ubongoni zero, man city inayochukuwa tactics za Spain itawaburuza sana England

Mwl. Kashasha vipi hapo ?
Wabongo wengi wananunua Vitz sababu za kiuchumi sio kwasababu wanaipenda Vitz sana,EPL inaangaliwa zaidi ya La Liga sababu inapendwa zaidi sio kwasababu za kiuchumi so huwezi fananisha hvyo Vitu!
 
They are deeply obsessed by the EPL due to its cheapness and promos they won't ever be realise it.
Sasa kama ligi ya uingereza ndo ina wachezaji bora wengi kwanini wanashindwa kubeba UEFA cup na badala yake kwa mwaka wa kumi sasa timu za Spain ndo zinaongoza kwa kuchukua hilo kombe?

Au ubora wa hao wachezaji unaonekana wakiwa uingereza tu kwenye ligi yao wakipambanishwa na wanaume wenzao wa ligi nyingine kubwa ulaya uwezo na ubora wao unashuka?

Kubalini tu ukweli kwamba ligi yenu ya uingereza imejaza average players na ligi yenu wala sio bora kwa maana ya ubora inavyofahamika.

Ligi yenu ina competition kubwa hilo liko wazi na competition kuwa kubwa haina maana kuwa bora ndo mana timu za Spain zinawaonea kwa sana tu pindi mkutanapo.
 
Nchi za Latin America wanaangalia soka la Spain tu kwani wanaamini ndo unapochezwa mpira kitu ambacho ni kweli.kwanza legends wao ambao ndo legends wa mpira duniani wamecheza Spain na Italy siyo England.
Pele kacheza spain na italy??
 
Kuna ligi bora na umaarufu wa timu au ligi
Kwasasa kwa viwango vya FIFA La Liga ndio inaongoza
Ila waingereza huwa nafanya promo sana kuvutia kwao ila kwa vigezo vya fifa La Liga almost ni miaka 10 sasa wako chat ya juu
Kama ni promo na wao laliga si wafanye kinawashinda nini
 
Epl ina promo nyingi na za bei cheeee......sasa huko spain kimewashinda nini kufanya haya wanayoyafanya epl
EPL INA promo nyingi za bei chee hivyo kuwa na urahisi wa kuonwa na kuzoeleka na wengi,lakini ki ukweli Mpira wa akili mingi na maarifa upo Spain ,hawa EPL. ni wazuri wa kukimbia kimbia tuu uwanjani na nguvu nyingi ubongoni zero, man city inayochukuwa tactics za Spain itawaburuza sana England

Mwl. Kashasha vipi hapo ?
 
Hao average players walioko EPL ndio hawa hawa timu za LA liga zinatoa pesa ndefu kuwasajili waende spain
Bale
Suarez
Ronaldo
Coutinho
Pique
Alonso
Arbeloa
 
La liga , bundasliga, league 1 etc
Kote huku kuna wachezaji wengi wenye vipaji na wamepata bahati ya kukuza au kununua wachezaji bora. Timu za ligi hizi technically ziko vizuri.
Na timu bora zinatoka huko hasahasa spain.

Lakini kwangu mimi league bora ni EPL.

Mwisho me nahisi hii kitu ni subjective(kusema ligi bora ni ipi) kwanza hatujui ni creteria gani zinatumika.

Lakini kitu ambacho tutakubaliana ,kwa kipindi cha muongo mmoja hadi sasa timu za Spain ni bora. Kama ambavyo kuna kipindi timu za Italy zilikuwa bora.
 
Kwahyo kwa mtazamo wako ww Ajax akitokea kubahatisha kubeba CL basi ligi ya uholanzi ndo inakuwa ligi bora kwa msimu huu sio??
Kuna vitu vingi vya kuangalia ligi bora mkuu...siyo kupeleka timu nne robo fainali ndo iwe ligi bora...au kuchukua kombe mara moja ndo iwe ligi bora...Ligi bora ina timu bora na wachezaji bora kwa pamoja.
Huwezi kuiita ligi ya ufaransa ni bora kwasababu tu PSG ina wachezaji wazuri na ni timu bora.
Pele kacheza spain na italy??
Hapana Pele kacheza England...kati ya Man city au Liverpool.
 
Hao average players walioko EPL ndio hawa hawa timu za LA liga zinatoa pesa ndefu kuwasajili waende spain
Bale
Suarez
Ronaldo
Coutinho
Pique
Alonso
Arbeloa
Ni vizuri umekubali kuwa hawafanyi vizuri katika league isiyo bora_EPL ,ila wakija Spain kwenye league bora wanang'ara na katika eufa champions league!!, mambo yako ivyo ktk league bora ,safi sana
 
Kuna vitu vingi vya kuangalia ligi bora mkuu...siyo kupeleka timu nne robo fainali ndo iwe ligi bora...au kuchukua kombe mara moja ndo iwe ligi bora...Ligi bora ina timu bora na wachezaji bora kwa pamoja.
Huwezi kuiita ligi ya ufaransa ni bora kwasababu tu PSG ina wachezaji wazuri na ni timu bora.

Hapana Pele kacheza England...kati ya Man city au Liverpool.
Pia na Makocha "
BORA'"
 
Pep Guardiola kaibadilisha sana EPL

1.Kaifanya Top 4 kuwa na thamani zaidi.

2.Kafanya alama 80+ kuwa chache kutwaa ubingwa.

[emoji23][emoji23][emoji23]
Ungesema ligi maarufu sana, duniani, ligi yenye ushindani sana duniani.

Lakini futa kauli yako ya ligi bora duniani!
 
Man city(pep) na liverpol(klop) wameipa ligi kuu thaman fulani hiv, tofauti na miaka kadhaa nyuma..

Siwez kuiita ligi ya uingereza kuwa ndio bora ulaya sababu takwimu zinainyima ubora ligi ya uingereza mbele ya ligi nyingine katika michuano mikubwa ya ulaya.
Nadhani kuanzia msimu huu na ujao ligi ya uingereza inaweza ikawa inaonesha ubora katika michuano mikubwa ulaya..

Miaka miwili nyuma nilikuwa sisemi ligi ni bora sababu ilikuwa imekusanya timu mbovu mbovu zenye kukaribiana mfano tungesema turate timu zao ungekuta bingwa tu ana 7.5/10 timu ya pili mpaka ya 6 unakuta 7/10, nafasi ya 7 kwenda mpaka 20 wapo wa 6.5,6 mpaka 4.5 hv, ndio maana tunaiona ngumu ila ulaya haifanyi vizur katika michuano mikubwa ni vile timu ni mbovu mbovu zimekaribiana uwezo, ila pep na klop wameongeza ushindani na ubora, ukitizama vizuri utaona sasa liver na man city wameziacha timu nyingine kwa uwezo km ukizirate hizi kwa sasa zipo kwenye ubora wa 8.5 mpaka 9 huku Tottenham akiwa na kama 7.5 ama 8, kwa kiwango hiki cha totenham misimu kadhaa nyuma angekuwa anagombania ubingwa na sio nafasi ya 3.

Tukija kwenye ligi nyingi mfano spain unakuta timu km barca, real na atletico kwa wastan viwango vyao huwa vinacheza kwenye 8.5 mpaka 9 hv.. Ukija kuvirate vilabu vingine unakuta ligi ya spain huwa inakuwa na vilabu vyenye viwango vizuri na timu zao kusumbua katika michuanio mikubwa, na ndio Hizo timu 3 kubwa zimekuwa zikisumbua michuani ya ulaya..

Ligi km italia, bayern kuna gap kubwa ya viwango timu km bayern na juve wamekuwa na rate ya 8 hv mpaka 9, wakiwaacha wengine kwa mbali, so hii inapunguza ushindani wa ligi na ndio maana kwenye michuano mikuwbwa ulaya wanapeleka timu nyingi ila zenye ushindani huwa ni timu zao za juu tu.

Huu ni mtizamo wangu kwa misimu kadhaa nyuma..
Ila kwa sasa ligi ya uingereza imeimarika na hata katika michuano ya ulaya wanaleta ushindani sasa.
Tafsiri huu uzi kwa English, ka upost kwenye tweeter, lazima wata taka kukujua mzee.
 
Ni vizuri umekubali kuwa hawafanyi vizuri katika league isiyo bora_EPL ,ila wakija Spain kwenye league bora wanang'ara na katika eufa champions league!!, mambo yako ivyo ktk league bora ,safi sana
Hawafanyi vizuri?????????? Kuna ambae mchezaji alikua hachezi vzur EPL akapelekwa Barcelona au madrid
 
Man city(pep) na liverpol(klop) wameipa ligi kuu thaman fulani hiv, tofauti na miaka kadhaa nyuma..

Siwez kuiita ligi ya uingereza kuwa ndio bora ulaya sababu takwimu zinainyima ubora ligi ya uingereza mbele ya ligi nyingine katika michuano mikubwa ya ulaya.
Nadhani kuanzia msimu huu na ujao ligi ya uingereza inaweza ikawa inaonesha ubora katika michuano mikubwa ulaya..

Miaka miwili nyuma nilikuwa sisemi ligi ni bora sababu ilikuwa imekusanya timu mbovu mbovu zenye kukaribiana mfano tungesema turate timu zao ungekuta bingwa tu ana 7.5/10 timu ya pili mpaka ya 6 unakuta 7/10, nafasi ya 7 kwenda mpaka 20 wapo wa 6.5,6 mpaka 4.5 hv, ndio maana tunaiona ngumu ila ulaya haifanyi vizur katika michuano mikubwa ni vile timu ni mbovu mbovu zimekaribiana uwezo, ila pep na klop wameongeza ushindani na ubora, ukitizama vizuri utaona sasa liver na man city wameziacha timu nyingine kwa uwezo km ukizirate hizi kwa sasa zipo kwenye ubora wa 8.5 mpaka 9 huku Tottenham akiwa na kama 7.5 ama 8, kwa kiwango hiki cha totenham misimu kadhaa nyuma angekuwa anagombania ubingwa na sio nafasi ya 3.

Tukija kwenye ligi nyingi mfano spain unakuta timu km barca, real na atletico kwa wastan viwango vyao huwa vinacheza kwenye 8.5 mpaka 9 hv.. Ukija kuvirate vilabu vingine unakuta ligi ya spain huwa inakuwa na vilabu vyenye viwango vizuri na timu zao kusumbua katika michuanio mikubwa, na ndio Hizo timu 3 kubwa zimekuwa zikisumbua michuani ya ulaya..

Ligi km italia, bayern kuna gap kubwa ya viwango timu km bayern na juve wamekuwa na rate ya 8 hv mpaka 9, wakiwaacha wengine kwa mbali, so hii inapunguza ushindani wa ligi na ndio maana kwenye michuano mikuwbwa ulaya wanapeleka timu nyingi ila zenye ushindani huwa ni timu zao za juu tu.

Huu ni mtizamo wangu kwa misimu kadhaa nyuma..
Ila kwa sasa ligi ya uingereza imeimarika na hata katika michuano ya ulaya wanaleta ushindani sasa.
Hizi rates ulizotumia hapa ni kwa mujibu wa standards zipo?
 
La liga , bundasliga, league 1 etc
Kote huku kuna wachezaji wengi wenye vipaji na wamepata bahati ya kukuza au kununua wachezaji bora. Timu za ligi hizi technically ziko vizuri.
Na timu bora zinatoka huko hasahasa spain.
Lakini kwangu mimi league bora ni EPL.
Mwisho me nahisi hii kitu ni subjective(kusema ligi bora ni ipi) kwanza hatujui ni creteria gani zinatumika.
Lakini kitu ambacho tutakubaliana ,kwa kipindi cha muongo mmoja hadi sasa timu za Spain ni bora. Kama ambavyo kuna kipindi timu za Italy zilikuwa bora.
timu tatu sio timu za hispania zote
 
Back
Top Bottom