Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Hapana mkuu ni elimu tu tunatoa, hata wewe unaweza kuvaa pasipo kujua watu wanaozijua hizi rangi wakikuona nazo wanakuchukulia na wewe ni mmoja wao.Nyie ndio mnaupa ushoga promosheni na haya mabandiko yenu
Yaani wanakera balaaa Aya tumejua ananufaika na kipi sasa?Hapana mkuu ni elimu tu tunatoa, hata wewe unaweza kuvaa pasipo kujua watu wanaozijua hizi rangi wakikuona nazo wanakuchukulia na wewe ni mmoja wao.
Mimi mwenyewe nilikuwa sijui nimejua baada ya kuona mchezaji wa psj kagomea kuvaa jezi yenye rangi hizi.We focus na mambo mengine tu.
Unafatilia ushoga wa nini ??
Mentality wamekuteka bado kujaribu tu.
Wengine tulikua hatujui ata hayo marangi aya umetujuza bwana.
Sasa unafanya promotion ili iweje?Mimi mwenyewe nilikuwa, nimejua baada ya kuona mchezaji wa psj kagomea kuvaa jezi yenye rangi hizi.
Ukivaa au kuvalisha pasipo kujua hilo sidhan ka ni kosa.!Mapema leo wachezaji wa Norwich city wakati wakicheza mchezo wao wa mwisho, england premier league dhidi ya totenham.
Wamevaa tishert zenye rangi zaView attachment 2234719View attachment 2234721 kishoga wakimsapoti mchezaji wa Blackpool fc inayoshiriki ligi ya daraja la tatu huko wingereza aliyejitangaza kuwa ni shoga.
Wapo wengi tu wanavaa nguo zenye rangi hizi ila hawajui kuwa wanausapoti ushoga bila wao kujua.
Usikubali kuvaa huu ushetani hii ni laana.
Mpaka umejua rangi zao maana yake na wewe ni mdau mkubwa unayefuatilia hayo mambo usituzuge hapa.Hapana mkuu ni elimu tu tunatoa, hata wewe unaweza kuvaa pasipo kujua watu wanaozijua hizi rangi wakikuona nazo wanakuchukulia na wewe ni mmoja wao.
Unajiungaje na mashoga wakati yale ni maumbile/hisia, shoga anazaliwa akiwa shoga labda unaweza kumbadiri kutoka huko kwa kumpa dawa, au aina flani ya malezi bila hivyo ataendelea kuwa shoga tu, je unaweza kumkataza mwanao asioe au asiolewe??Kimsingi watu wanaotuletea hizi habari mara za rangi sijui Mara nini inaonekana wameshatekwa kiakili na hao jamaa kiasi cha kufuatilia mambo yao yote.
Sasa mtu wa hivi iko siku atajiunga nao tu.
Wemgi wetu wananunua mitumba kwa kuwasitiri tu wala mambo ya rangi hawajui
Bora yameshuka daraja mapumbavu hayaMapema leo wachezaji wa Norwich city wakati wakicheza mchezo wao wa mwisho, england premier league dhidi ya totenham.
Wamevaa tishert zenye rangi zaView attachment 2234719View attachment 2234721 kishoga wakimsapoti mchezaji wa Blackpool fc inayoshiriki ligi ya daraja la tatu huko wingereza aliyejitangaza kuwa ni shoga.
Wapo wengi tu wanavaa nguo zenye rangi hizi ila hawajui kuwa wanausapoti ushoga bila wao kujua.
Usikubali kuvaa huu ushetani hii ni laana.
Futa huu upupuKwani huu si ni ukristo,?Au mnajidai kushangaa tena humu?