Sio kwa kiasi chake ni kuungana nae Moja kwa moja na ukitaka uishi kwa upweke kuwa na urafiki na wanawake na ukitaka udharalaurike kuwa rafiki na wanawakeSisi tunaoishi uswahilini tunaungana na wewe kwa kiasi chake mkuu.
Demu unamsalimia tu tayari anataka kijora.
We jamaa nimekuwa nakifuatilia Sana nyuzi zako unamadini Sana na Kuna watu unawapiga kwenye mshono ndio maana wanakupinga .hongera na usichoke kutusanuaKadiri unavyokua na idadi kubwa ya wanawake kwenye circle yako iwe kimapenzi au kirafiki ndivyo unavyojiandalia maisha ya kuishia kwenye umasikini. For every 10 women you attract into your life only one genuine woman might respect and value you, other nine just want a piece of your success
Usijidanganye kwamba ni marafiki tu, siku zote mwanamke anachokiona kwa mwanaume ni masilahi tu, namba yako ipo kwenye simu yake kimkakati, soon or later utapigwa mzinga tu, sawa kama hauna au hautaki kumpa utamtosa tu lakini mazoea ya kuombaomba yanapojirudia rudia inakua kero.
Maisha yako kiuchumi yatakua na unafuu na yataimarika zaidi ukijiepusha na wanawake. A man who has too much attention from women is at constant risk of being distracted, manipulated and taken down. Don't fooling yourself that you're handsome or attractive man, the truth is all those women sees you as a resource not as human being.
Kwa kipindi chote ambacho bado u kijana unaepambana kujikwamua na umasikini basi mwanamke awe kitu cha mwisho kabisa kukifikiria. Don't do any financial stupidity to impress a woman.
Wanawake ni parasite, hakuna namna utakua karibu nao bila mfuko wako kutoboka, wanakuja kwa ajiri ya kuchukua tu sio kuchangia.
Halafu sasa mwanamke uyo anayetaka kukubesha huo mzigo hakudai, hajakufanyia kazi yoyote, hajawahi kukupa ushauri chanya wala ramani ya mchongo wa kupiga pesa, out of nothing anajiona tu ana haki ya kunufaika na mfuko wako, this is totaly bullshit.
Kuna hitaji la wanawake wa Tanzania kufanyiwa consultation, it makes no sense mtu anajipa haki ya kupata gawio kutoka kwenye hela ambayo hajashiriki kuitafuta.
Mwanamke hana output yoyote kwenye maisha yako kaa nae mbali kwa sababu hakuna utakachonufaika kutoka kwake zaidi ya kukupotezea muda na hela tu.
A woman is liability in your life, more women in your life more liabilities.
Wanawake hawana real value yoyote kwa mwanaume, basi tu tatizo ndo upwiruHiv ukiwa na Kampaninkubwa ya Ke sijui hata mnakua mnaongea au kupanga mipango gani yan!????
Sawa, tengeneza circle kubwa ya wanawakePamoja na ubinafsi tulio nao sisi binadamu wote, yaani mimi nitapata nini kwako na wala si wewe utapata nini kwangu, pia kuna kauli ya kwamba usimuonee huruma mwanamke, na nyingi zinazo mtahadhausha mwanaume dhidi ya mwanamke, mimi binafsi naweza kukataa hoja yako , si moja kwa moja ila juwa maisha ya binadamu yanafungwa katika furaha, na furaha inapatikana kwa vingi na moja wapo ya furaha ni kutoa ama kumpa yoyote akuombaye.
Labda cha kuwaambia wanaume kwamba nusu ya matatizo yote ya mwanaume yanapatikana pale anapo jihusisha na mwanamke, ila ukitoa ubinafsi na kujipendelea hatuwezi kuenda na falsafa zako mleta mada dhidi ya mwanamke ingawa zina hoja inayo paswa kuungwa mkono .
Ni vyema ukafungua izo thread na kujadili kilichoandikwa kuliko kuja na maswali ya kitoto.Wanawake walikufanyaje?View attachment 3095572
Sio lazima umpe lakini ni kero kuwa na kampani ya ombaombaKwani akiomba lazima umpe? yaani hata meseji ya "Najisikia vibaya leo" jibu lake ni jitahidi ukapime isijekuwa malaria hiyo unaweka kituo.
Kwahiyo kuna watu walikuwa wanawaza jamaa ni demu?Wajuba washashtuka soma alama za nyakati kimbia ID au badirisha ID Dume kujiita mshangazi ni udharirishaji wa Wanaume
Mkuu mimi na wewe tunaheshimiana sana nilitaka nikutukane kwa leo tuHuyu Mshangazi ndio ile mishangazi iliyochokaaaaaa imeungua na cream kwa kutumia mikorogo ya 500 ya manzese, ngozi rangi 2 kama tetracycline au amoxyline, yale yana pika chapat uswahili
CorrectKwa kipindi chote ambacho bado u kijana unaepambana kujikwamua na umasikini basi mwanamke awe kitu cha mwisho kabisa kukifikiria. Don't do any financial stupidity to impress a woman.
Na hiyo mipododo ina chemba maalum ambapo ukifichwa humo ukiulizwa kwenu wapi kama ni Makambako utajibu kibororoniHii ni kweli Mungu anisaidie niondokane nayo
kwa nguvu zangu siwezi jaman shida mipododo na mimi ndo maradhi yangu
Tena usipompa analalamika sanaKuna hitaji la wanawake wa Tanzania kufanyiwa consultation, it makes no sense mtu anajipa haki ya kupata gawio kutoka kwenye hela ambayo hajashiriki kuitafuta.
HahahaaaSisi tunaoishi uswahilini tunaungana na wewe kwa kiasi chake mkuu.
Demu unamsalimia tu tayari anataka kijora.
π π πKAVULANA ka JF KANANICHOKOZA
π π πHuyu Mshangazi ndio ile mishangazi iliyochokaaaaaa imeungua na cream kwa kutumia mikorogo ya 500 ya manzese, ngozi rangi 2 kama tetracycline au amoxyline, yale yana pika chapat uswahili
ππππRaha ya JFs hiiMafua yamejibana Leo jiwezi comment chochote kwa hapa uwezi uchomoi ndugu mwandishi
View attachment 3095533