Epuka kuwa na circle kubwa ya wanawake

Tena usipompa analalamika sana
Ndio maana wasipotongozwa wanaenda kwa mtaalamu
Sijui kama unaielewa hiyo mindset lakini?
Yaani wanaamini kuwa kitendo cha yeye kuwa karibu na wewe unatakiwa uone kama ni bonge moja la bahati so unatakiwa uihangaikie iendelee kubaki karibu yako ndio maana yanajipa umuhimu na uhalali kwenye mifuko ya mtu..
 
KAMA SIO BIKRA USIOE
 
Hii iko kwa wanake wengi sana. Karibu wote.
 
UZi bora kabisa.

"You will lose a lot of money chasing women,but you will never lose women chasing money"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…