mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
Kufariki kwa mwanadamu si lazima hadi aumwe...
Wapo watu wanaofariki kwa amani kabisa bila mateso wala ugonjwa...
Jibrish.Masalia ya hamnazo meko..upo??
Tuendelee kunywa supu, nyama tutazikuta chini.
Kwahiyo unataka kusema Kigwangala amekubuhu[emoji23][emoji23][emoji23]Hao ni wale ambao wamekubuhu! na wameshiriki vilivyo kutafuna keki! wanaopata mishtuko ni wale ambao wanabana halafu wenzao wanakula then jumba linaangukia kwake!!!
[emoji46][emoji46][emoji46][emoji46][emoji46][emoji46]Kwanza naona fresh tu. Ndugu yetu tulikua tunamdai zaidi ya miaka 10 wamejificha tu wanakula macconection ya biashara na tenda hawatulipi na marehem hawatulipi ya kazi gani na daily vistatus vya shangwe. Ndo maana mwendazake wa chattle alivyoondoka status zilikua nyingi wasap walijua kimeshaumana. Tulipane hela zetu tafadhali. Mulikua munaenjoy maisha sana ila hela hamtulipi. Ikibidi tutozane kwa riba sasa.
Walaji wa dog utawajua tu.Swela.
"Engineer alikuwa Mgonjwa Muda Mrefu tuu" Hii kauli inahitaji ufafanuzi zaidiErasto Mfugale: samahani sana na pole kwa msiba huu mzito kwa familia na taifa kwa ujumla.
Ila huo wasiwasi kuwa hamkujua kilichotokea ofisini ni wa nini! Mbona Engineer alikuwa ni mgojwa wa muda mrefu tuu, pia hata umri wake ulikuwa umeshaenda sana...
Mchimba mashimo hudumbukia mwenyeweMsako unaendelea ..who's nxt?
Kama ndo hivyo basi sote tutakufa hadi ifike corona part 10!!?BE WARNED
Stay at Home
From: A DOCTORS' GROUP KMA....
Kama ndo hivyo basi sote tutakufa hadi ifike corona part 10!!?
Kwenye pesa huwa mnasahau kama nanyi mtaondoka asee!Kwanza naona fresh tu. Ndugu yetu tulikua tunamdai zaidi ya miaka 10 wamejificha tu wanakula macconection ya biashara na tenda hawatulipi na marehem hawatulipi ya kazi gani na daily vistatus vya shangwe. Ndo maana mwendazake wa chattle alivyoondoka status zilikua nyingi wasap walijua kimeshaumana. Tulipane hela zetu tafadhali. Mulikua munaenjoy maisha sana ila hela hamtulipi. Ikibidi tutozane kwa riba sasa.
Kama kufa utakufa tu,watu huko ulaya wamevaa barakoa,wamejitenga,vaccine juu lakini wamekufa..kuna uovu fulani unaendelea katika huu ulimwenguUsikubali kufa kizembe kama yule dhalimu mwendazake. Life is so beautiful and enjoyable. Chukua tahadhari zote za kujikinga. Siku ya kwanza kuvaa barakoa niliona shida sana nikajisemea maisha gani haya!!!! Hii kitu kupumua nayo shida tupu na nilivaa moja tu. Siku hizi napiga mbili mbili kwa masaa hata manne.
Kama kufa utakufa tu,watu huko ulaya wamevaa barakoa,wamejitenga,vaccine juu lakini wamekufa..kuna uovu fulani unaendelea katika huu ulimwengu
The family has accepted the fact that their beloved is gone, they just want to know exactly how, and i think this should be a good thing kwa sababu siku hizi watu huko serikalini wanauana sana.Huyu jamaa anataka kuaminisha umma kwamba amemalizwa ama? Mfieew.
Ndo kuna wale hufariki kwa heart attack utasikia katupiwa jini.
Just because alikua inner cycle ya jiwe ndo asife? Sote ndo njia yetu.
May the family accept this.
Siku yakiwafika wataelewa tu, ndugu yako ameenda kazini alafu anafia kazini yupo na wafanya kazi wenzake kabisa na wao wanakiri, mkiwahoji hawatoi majibu ya maana. Na hapo Marehemu anakuwa na majeraha au anakua na dalili za SumuJamiiforums imejaa watoto siku hizi..
Hivi eti mwanaume mzima anakufa baba,mama,dada yako katika mazingira ya utata,halafu unakubali tu eti kifo ni mipango ya mungu,inawezekana vipi??..Siku yakiwafika wataelewa tu, ndugu yako ameenda kazini alafu anafia kazini yupo na wafanya kazi wenzake kabisa na wao wanakiri, mkiwahoji hawatoi majibu ya maana. Na hapo Marehemu anakuwa na majeraha au anakua na dalili za Sumu
Mifano ni mingi mno, Magufuli aliwahi kusema na yeye yalimkuta, mangula nae hivo hivo
Sikuelewi unaongea nini. Kwahiyo wewe unadhani dhuluma ni sawa siyo? Hebu pumzika.Kwenye pesa huwa mnasahau kama nanyi mtaondoka asee!
Hua najaribu kujiuliza nyinyi ni watu wa namna gani, nakosa jibu.
Inashangaza sana, inauma sana hiyo kitu ni hawajui tu, bora mtu afe mnamuona au mletewe taarifa za kueleweka. Bila hivo maumivu ya msiba huwa ni mara mbili hapoHivi eti mwanaume mzima anakufa baba,mama,dada yako katika mazingira ya utata,halafu unakubali tu eti kifo ni mipango ya mungu,inawezekana vipi??..
Kuna watu humu bado wavulana
Najua usenge wenu, tulia.Sikuelewi unaongea nini. Kwahiyo wewe unadhani dhuluma ni sawa siyo? Hebu pumzika.
Mkuu, tunaelewa sana. Snaa snaa. Lakini ni wangapi walikufa vifo vya utata enzi za mwendazake na mkakaa kimya? Na simaanishi kwamba huyu ndo ana haki ya kupoteza uhai wake hapana. Siamini ktk visasi vya damu. Nachokumbushia tu mtu anapokukirimu unapokua na uchumi mbovu fadhilika. Ni nini hiki?The family has accepted the fact that their beloved is gone, they just want to know exactly how, and i think this should be a good thing kwa sababu siku hizi watu huko serikalini wanauana sana
Wengi nimeona mna hukumu sana hii kitu lakini nawaambia kitu kimoja tu, mimi binafsi ndugu zangu wawili wamefariki kwa kuuliwa huko serikalini, mmoja kwa sumu na mwingine alipigwa, yani unaletewa ndugu yako ameshafariki na ana majeraha kibao usoni na ukihoji hupewi majibu na amefia kazini