Erdogan ahimiza umoja wa waislamu duniani kupambana na Israel.

The statement from the Turkish president has no any consequence.
 
Kwa mara nyengine tena raisi wa Uturuki ,Tayyib Erdogan amekuja na pendekezo la kupambana na Israel ili kuwatetea wapalestina na kujikinga na hatari za kujitanua kwa Israel kwenye maeneo ya waislamu.
Pendekezo hilo amelitoa hapo juzi kwenye hafla ya shule moja ya kiislamu nje kidogo ya jiji la Ankara.
Ili kuonesha kwamba nchi yake iko mbele kwenye juhudi hizo,raisi huyo amesema hivi karibuni alimkaribisha raisi Elsisi wa Misri kwa madhumuni ya kuleta umoja baina ya nchi za kiislamu.Karibuni hivi atamkaribisha raisi Bashar Al Assad wa Syria ili kurudisha ushirikiano kati ya mataifa yao ambao ulidorora kimakosa miaka kadhaa iliyopita.
Mara baada ya tamko hilo waziri wa mambo ya nje wa Israel amekemea mpango huo na kusema watafanya uchunguzi juu ya raia wa Uturuki mwenye uraia pia wa kimarekani kuuliwa na askari wa Israel eneo la ukingo wa magharibi.
Syria ni moja ya mataifa yanayoizunguka Israel ambayo imekuwa ikidai maeneo yake yanayoshikiliwa na Israel.Vile vile nchi hiyo imekuwa ikipigwa na Israel kama inavyotaka kama sehemu ya kufanyia majaribio silaha zake na kwa ajili ya kuidhoofisha nchi hiyo kijeshi.
Kwa upande wa Uturuki ni moja ya mataifa yenye teknolojia kubwa za kijeshi duniani ambalo hapo zamani Uislamu uliwahi kuwa na makao yake makuu eneo hilo enzi za utawala wa Ottoman uliodumu karne kadhaa.

Turkey's Erdogan calls for Islamic alliance against Israel

View: https://x.com/EliAfriatISR/status/1833044447719788979
 
Anatangaza aina gamize Israel halafu anaitangazia dunia! Kwa hiyo akipigwa ambaye siyo mwislamu kwake ni kawaida? Ilitakiwa aseme wapenda haki wote tuungane ili Palestinians ipate haki yake. Anaongea hayo kisiasa ili apendwe na wananchi
Kwa kauli yake huko Sudan wauane tu kwa kuwa ni islam kwa islam siyo. Hivyo Edo
 
Mawazo ya kisslamu huwa yanashangaza sana. Dini yao imeleta upofu ktk kufikiri kwao.
 
FB_IMG_17255628301126573.jpg
 
Kwa mara nyengine tena raisi wa Uturuki ,Tayyib Erdogan amekuja na pendekezo la kupambana na Israel ili kuwatetea wapalestina na kujikinga na hatari za kujitanua kwa Israel kwenye maeneo ya waislamu.
Pendekezo hilo amelitoa hapo juzi kwenye hafla ya shule moja ya kiislamu nje kidogo ya jiji la Ankara.
Ili kuonesha kwamba nchi yake iko mbele kwenye juhudi hizo,raisi huyo amesema hivi karibuni alimkaribisha raisi Elsisi wa Misri kwa madhumuni ya kuleta umoja baina ya nchi za kiislamu.Karibuni hivi atamkaribisha raisi Bashar Al Assad wa Syria ili kurudisha ushirikiano kati ya mataifa yao ambao ulidorora kimakosa miaka kadhaa iliyopita.
Mara baada ya tamko hilo waziri wa mambo ya nje wa Israel amekemea mpango huo na kusema watafanya uchunguzi juu ya raia wa Uturuki mwenye uraia pia wa kimarekani kuuliwa na askari wa Israel eneo la ukingo wa magharibi.
Syria ni moja ya mataifa yanayoizunguka Israel ambayo imekuwa ikidai maeneo yake yanayoshikiliwa na Israel.Vile vile nchi hiyo imekuwa ikipigwa na Israel kama inavyotaka kama sehemu ya kufanyia majaribio silaha zake na kwa ajili ya kuidhoofisha nchi hiyo kijeshi.
Kwa upande wa Uturuki ni moja ya mataifa yenye teknolojia kubwa za kijeshi duniani ambalo hapo zamani Uislamu uliwahi kuwa na makao yake makuu eneo hilo enzi za utawala wa Ottoman uliodumu karne kadhaa.

Turkey's Erdogan calls for Islamic alliance against Israel

Hiki kibabu kinafiki kimeua sana wakurdi sasahivi kinatafuta haki ya wapalestina
 
Ona hii picture iliyokutwa ktk mahandaki ya Mahamas huko Gaza ambapo watoto wao wamepiga picture na background ya majengo pacha yaliyopigwa na magaidi wa kiislam huko Marekani 9/11

View: https://x.com/yoavgallant/status/1833914229117657201

Achana na propaganda za kitoto za Israel.
Yaani uuwe watoto maelfu ambao ni asilimia 80 ya 41000 halafu uoneshe picha ya watu wanaopiga picha za tukio la kihistoria lenye utata.
Picha moja na matukio ya maangamizi havifanani kabisa.
 
Sikushangai kwa sababu yule anayewapa maelekezo kwenye kitabu chenu, biblia inamtambua kama shetan
Screenshot_20240601-195510_Chrome.jpg
 
Sikushangai kwa sababu yule anayewapa maelekezo kwenye kitabu chenu, biblia inamtambua kama shetan
View attachment 3094541
Allah subhanahu wa taaka huwa hafanani na kiumbe chake chochote kile.
Hicho kinyago hata chenyewe hakijielewi nani aliyekichonga,
 
Back
Top Bottom