Erdogan anaongoza kwa kuwa Rais Ndumilakuwili duniani

Erdogan anaongoza kwa kuwa Rais Ndumilakuwili duniani

Edorgan anaangalia maslahi ya Taifa lake! Yuko pande zote hata Russia inajua.
Muda wote amekuwa na uhusiano na Russia huku akiisaidia Ukraine ili kukwepa vikwazo vya uchumi kutoka kwa US na washirika wake!
So huwezi kujua wamempa onyo gani! Lakini hata Edorgan akiiunga mkono Ukraine juu ya NATO membership haiwezi kuizuia Russia kujilinda kijeshi.
 
Wakati mwengine unaweza ukaona ushenzi unaofanyiwa na mashemegi na majirani lakini kama ukiwa mwanamume wa kisawasawa basi humuachi mkeo na kuingia gharama za kutafuta mwengine ukaongeza uwezekano wa kupata ugonjwa wa moyo.Unachofanya unadowea umtie mkononi mmoja halafu umtie adabu tosha bila kupeleka kesi polisi.Unafanya hivyo hivyo mpaka habari zako zinawafikia wote na mkeo anajuwa.
 
Mimi sera za kina Erdogan, MBS, Netanyahu, Putin, Modi, nazikubali sana. Wao maslahi ya kiuchumi na Usalama wa mataifa yao ndio huongoza sera zao za njia. So matukio kama ya kina kashoggi ni nyenzo tu za kidiplomasia ili kutekeleza sera zao.

Sio kama sisi huku tumekomaa ni viitikadi na imani zisizo na maana yoyote.
 
Uturuki anacheza both sides Kwa maslahi yake...wala sio unafiki....

Hao NATO waliizuia Uturuki kuingia European Union kisa ni dini tu...
Wakati wako nao NATO...

Wamarekani wamesababisha tetemeko ili Erdogan atoke na wameshindwa
Ndiyo hatuwataki kabisa EU.Waislam halafu wanazaana kama popo.Halafu wote watahamia Ujerumani na in 50 yrs Ulaya itakuwa waislamu tupu.
 
Back
Top Bottom