Erdogan anaongoza kwa kuwa Rais Ndumilakuwili duniani

Erdogan anaongoza kwa kuwa Rais Ndumilakuwili duniani

Ndiyo hatuwataki kabisa EU.Waislam halafu wanazaana kama popo.Halafu wote watahamia Ujerumani na in 50 yrs Ulaya itakuwa waislamu tupu.
Mbona mpo nao NATO?

Au ni njia ya kuwadhibiti tu wasiingie kwenye ushawishi wa Russia na mahasimu wa West?
 
Mbona mpo nao NATO?

Au ni njia ya kuwadhibiti tu wasiingie kwenye ushawishi wa Russia na mahasimu wa West?
Nato ni kijeshi tu.Ila EU kumbuka kuna free mouvement of people and goods kati ya wananchi wa nchi member wa EU.Yaani Uturuki wakiruhusiwa EU maana yake waturuki wanaweza kwenda kuishi Ujerumani, France,Italia,Grèce nk.
 
Yaani Uturuki wakiruhusiwa EU maana yake waturuki wanaweza kwenda kuishi Ujerumani, France,Italia,Grèce nk.
Hiyo ndio hofu yenu, Ila Uturuki ina maendeleo makubwa sana kuliko baadhi ya EU members, sasa uoga wa nini ?

Tena inawasaidia kuzuia immigrants wasifike kwenu ila wao hamuwataki kabisa.
 
Hiyo ndio hofu yenu, Ila Uturuki ina maendeleo makubwa sana kuliko baadhi ya EU members, sasa uoga wa nini ?

Tena inawasaidia kuzuia immigrants wasifike kwenu ila wao hamuwataki kabisa.
Unafikiri wanazuia wahamiaji kuja EU bure?EU inawalipa mabilioni Uturuki kwa hiyo kazi ya kuhold wahamiaji. Uturuki wameendelea kuliko nchi za Eastern Europe huko kama Romania. Ila Uturuki hakuna nchi ya western Europe wanaifikia. Waturuki wapo wamejaa Ujerumani. Na Erdogan kwenye moja ya hotuba zake aliwaambia waturuki na waislamu walio Europe wasitumie uzazi wa mpango, wazae kwa kwenda mbele.
 
Anaangalia maslahi..Alimkazia MBS Tukio la kashogi hadi MBS akatoa mpunga na Erdogan akafunga mdomo....yeye kwakeni mpunga tu hataki ushoga....ni mswahili kweli kweli
Aliwakazia hadi European Union ,aliwaambia ni lazima kumlipa pesa ndefu ili kuwazuia wahamiaji haramu toka nchi za Middle east na Asia wanaopitia kwenye mipaka ya Uturuki kuingia kinyemela Europe la sivyo atafungua mipaka ya Uturuki na kuachilia mafuriko ya wahamiaji holela Europe ,😀😀😀😀😀 ,wakasema isiwe shida na EU wanamlipa pesa ndefu hadi leo ,lijamaa libishi kweli hilo
 
Unafikiri wanazuia wahamiaji kuja EU bure?EU inawalipa mabilioni Uturuki kwa hiyo kazi ya kuhold wahamiaji. Uturuki wameendelea kuliko nchi za Eastern Europe huko kama Romania. Ila Uturuki hakuna nchi ya western Europe wanaifikia. Waturuki wapo wamejaa Ujerumani. Na Erdogan kwenye moja ya hotuba zake aliwaambia waturuki na waislamu walio Europe wasitumie uzazi wa mpango, wazae kwa kwenda mbele.
Kumbe EU wanahofia tu utamaduni wao kumezwa.........ila ngumu kuwaepuka wahamiaji ndio maana hata PM Sunak japo muhindi ila analinda mali na maslahi ya UK
 
Hiyo ndio hofu yenu, Ila Uturuki ina maendeleo makubwa sana kuliko baadhi ya EU members, sasa uoga wa nini ?

Tena inawasaidia kuzuia immigrants wasifike kwenu ila wao hamuwataki kabisa.
Anawasaidia au ni biashara wamefanya na wanafanya na EU Hadi sasa , ?
Eu wanampa pesa ili atumie vikosi vyake vya usalama na nyenzo zake kuwazuia wahamiaji kuingia ulaya kwa kupitia mipaka ya Uturuki ambayo ndio njia rahisi kwa wahamiaji haramu kuingia ulaya ?
Ile ni exchange wala sio msaada more like an extortion even Maana kiuhalisia ni sawa na sisi Tanzania tudemand pesa toka kwa nchi za kusini hapo Sadc kwa kusema wasipotoa pesa basi tunaachilia mafuriko ya wahamiaji haramu toka huko Eritrea ,Somalia , Ethiopia nk kupitia mipaka yetu ,wakati ni kazi yetu kuzuia hao wahamiaji
 
Kumbuka bado ni wanajeshi nafahamu unajua kazi ya mwanajeshi.
Labda kama wamefichwa, hawakuambiwa ukweli wa kilichotokea.
Mwanajeshi miezi miwili umezunguukwa na maadui wako upo kwenye terror hujui saa ngapi atakukamata akuchinje, baadae anakukamata anakukabidhi kwa bosi wako bila kukudhuru halafu uje upate ujasiri wa kupigani na yule yule kwenye mazingira yale yale.
Hayo yanawezekana kama ingekuwa waliokolewa na wanajeshi wenzao na sio kuopolewa na adui na kupata hisani.
 
Ndo inavotakiwa kuangalia maslahi ya nchi yako kwanza
 
Urusi ana wavaa kaunda nyeusi wengi sana mitaa ya Kyiv, hawa magaidi wote watakufa kimya kimya
 
Tutaambiwa katoka taifa teule [emoji3][emoji3]..
Hata hivo waislam hawana hizo tabia za kuleta udini kwenye mambo ya kitaifa tofauti na wenzetu,,
Waislamu hawa wakina Mohamed said na faizafoxy kwenye suala la bandari? Hakuna watu wabaguzi kuwazidi waislamu
 
Back
Top Bottom