Erdogan asema Uturuki inaweza kuzuia ombi la Uswidi la uanachama wa NATO

Wazungu hawana kujuana kuna maslahi , kasome waswedish waliwafanyia nini Wadenmark na wa Norway wakati wa vita vya 2 vya dunia , sio siri hiyo
Wamejifunza kutokana na vita za nyuma huko ulaya!!!Mimi nakaa na wazungu najua umoja wao na najua wanavyopenda kuilinda race yao!!!!Usitegemee wazungu wa ulaya wakawapa favour waturuki kuliko wazungu wenzao!!!Kaishi na wazungu popote pale ndio utaelewa hiki nachokisema
 
Mbona umenijia mimi hukumwona yule aliyeandika ?? mimi si nimejibu tu ??
Mimi naona wote mnajibizana wakati hamjawahi kukaa uturuki au swedeni na issue ya uturuki ni wale wakurdi wa chama cha PKKK waliokimbilia swedeni!!!Na swedeni haiwezi kuwarudisha uturuki maana watauawa!!!!!!Mimi naona mnabishana na jamaa kaingiza udini tena
 
Turkey Iko easy mkuu, Edorgan anajua hilo na hapo kwake hapaamini sana. Marufuku Turkey kujiunga EU
Upo sahii uturuki inaweza kujiunga NATO ila EU inakua ngumu kwa sababu ya udini!!!!EU msingi yake ipo katika ukristo kisiasa na kitamaduni japo hawaliweki wazi jambo hilo kaka
 
Sasa kwenye maelezo yangu kuna sehemu nimesema Uturuki wanavaa kobanzi.

Dini zimewatoa akili mpaka mmekuwa wapumbavu hamuwezi kuongea kitu bila kuuhusisha uislam.
 
Sasa mbona wanauwana huko Ukraine?

Au Urusi na Ukraine sio wazungu?
 
Sasa kwenye maelezo yangu kuna sehemu nimesema Uturuki wanavaa kobanzi.

Dini zimewatoa akili mpaka mmekuwa wapumbavu hamuwezi kuongea kitu bila kuuhusisha uislam.
Sio wewe kaka kuna mdau alikua anaeleweshwa kwa kuwaita waturruki wavaa kobazi!!!!!Wewe kaka upo sahii kabisa
 
Upo sahii uturuki inaweza kujiunga NATO ila EU inakua ngumu kwa sababu ya udini!!!!EU msingi yake ipo katika ukristo kisiasa na kitamaduni japo hawaliweki wazi jambo hilo kaka
Kwa sasa Ulaya hakuna ukristo wa aina yeyote labda ulaya ya kwenye vijiwe vya kahawa.

Siasa za kimagharibi kwa sasa zimejikita zaidi kueneza sera za kipagani na kuahakikisha dini zina kosa nguvu au ikiwezekana kufa kabisa na ndio maana mambo mengi yaliyo haramishwa na dini wao ndo wanao wanayo yaidhinisha na kutumia nguvu kubwa kuyalinda mfano mmoja wapo unaona ni jinsi gani wanavyo tumia nguvu kuutangaza ushoga ili kionekane ni kitu cha kawaida.

Umoja wa Ulaya una sababu nyingine kabisa kuikataa Uturuki nje ya dini kwa sababu nchi Kama Albania na Kosovo asilimia kubwa ya raia wake ni waislam lakini zimesha piga hatua kubwa sana kuelekea kujiunga na umoja wa Ulaya na uanachama wao unaweza kuidhinishwa miaka 2ijayo.
 
Kaka umekaa ulaya nchi gani twende taratibu???????Na nchi uliyokaa umekaa na wazungu au wahamiaji????Tuulize sisi ambao mpaka tmeoa kwenye familia za kizungu na tumechanganya undugu na wazungu!!!!Au wewe unaisemea ulaya ya Bosnia???????
 
Sasa Albania na kosovo si waturuki wale kwa asilimia kubwa kaka??????Au hujui historia ya ottoman empire na Balkans states for more than 500yrs!!!!Karibia asilimia 40 ya wakazi wa Albania,kosovo,bosinia &herzogvina wana asili ya uturuki na ni waislamu au hujui kaka????
 
Nani alikuambia Mimi sijakaa huko ?
Ndugu si kila kitu kinaandikwa magazetini, Hao wakurdi unaosema wengi wamejiingiza kwenye vyama vya siasa vya Sweden na wengine wana vyeo. Pia chama cha mrengo wa kushoto wamesema wao wanataka ipigwe kura ya maoni , watu wachague kujiunga au la. Hawa wabaguzi waliochoma Qurani ni watu wasio na mwelekeo hawako clear ndio ukaona wamowamo tu . Na wengine ndio Hao wanaochoma Quran.

Tatizo kubwa la Sweden ni kuwa bado wananunua mafuta na gesi pamoja na baadhi ya madini kutoka Urusi. Kuwacha mara moja na huku kuna watu wanafaidika ni kuwatoa tonge kinywani. Hili ni tatizo kubwa sana.
Sasa hapo kuna urahisi wa kuingia Nato?
 
Mimi nimekaa na wazungu miaka 35 na nimesoma nchi Za Ulaya na kufanya kazi nao naelewa kiasi Pia nchi Za mashariki nimekaa miaka mingi tu.
Mimi sizungumzii favor wapewe waturuki , nazungumzia maslahi. Hata Hao wakurdi Unafikiri Hao wabaguzi wanawapenda ?
 
Kaka ebu kakae nchi yoyote ya ulaya ndio utajua!!!!!!Nchi za balkani area(Bosinia,Herzgovina,Serbia,Coratia,Albania,Kosovo,Macedonia) zina asilimia kubwa ya wazungu waadhehebu ya orthodox na katoliki na waislamu wapo ila wengi ni mabaki ya Ottoman empire era!!Ni tofauti kabisa na Uturuki ambayo asilimia 99%ni waislamu!!!
 
Of course ni tofauti , na kila siku wanabadilika, mbona hata Hao nimekaa nao na kufanya kazi nao ?
 
Upo sahii hao wabaguzi hawapendi wakurudi ila sidhani kama suala la kuwarudisha uturuki ni sahii pia!!!Au wewe unaona ni sahii warudishwe Ankara wakafungwe kama Abdalah Ocalan??????
 
Kuwa Sweden itajiunga karibuni
Yeah akiingia raisi mwingine uturuki ataondoa pingamizi sababu tatizo sio swedeni bali tatizo ni wakimbizi wa kikurdi na wanachama wa chama cha PKKK waliokimbilia ukimbizini swedeni Kaka
 
Upo sahii hao wabaguzi hawapendi wakurudi ila sidhani kama suala la kuwarudisha uturuki ni sahii pia!!!Au wewe unaona ni sahii warudishwe Ankara wakafungwe kama Abdalah Ocalan??????
Mimi nafikiri inabidi Sweden wakubaliane na uturuki iundwe Tume huru iwachunguze Hao jamaa ikiwa wana makosa walifanya wapelekwe mahakamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…