Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,941
- 7,808
Kumbe mpenzi upo!Utawala wa Saudi Arabia ni mazayuni, hawana zaidi.
. Watawadanganya wajinga jama wewe tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe mpenzi upo!Utawala wa Saudi Arabia ni mazayuni, hawana zaidi.
. Watawadanganya wajinga jama wewe tu.
Mbona unachozungumza hakiendani na maelezo yangu!?Ujinga ujinga move za akina Arnold schwarzeneger zimeharibu ubongo wako. Nikuuulize kitu? Ivi unajua ukitoka kwenye move katika hali halisi ya vita ukipigwa risasi unakufa. Tofauti na kwenye move kama ukiwa Stelling hata ukipigwa risasi haufi unalijua ilo.
Kama unalijua punguza movies
Iran imesema itachelewesha mashambulizi kwa kubadilishana na usitishaji mapigano Gaza.IRANI WALIAMUAJE MAANA GHAFLA NAO WAMEKUWA KIMYA. NA WALISHAPANDISHA BENDERA NYEKUNDU.
MBONA INA TAFUTA EXCUSES TENA?Iran imesema itachelewesha mashambulizi kwa kubadilishana na usitishaji mapigano Gaza.
Iran haiko na afya ya vita kwa sasa.MBONA INA TAFUTA EXCUSES TENA?
WEWE UNA AKILI. HAWA JAMAA WENGINE HAWAJIELEWI. UWEZO MDOGO WA KUFIKIRI.Iran haiko na afya ya vita kwa sasa.
Hata ningekuwa mimi nisingeruhusu Iran kuingia vitani.
hao wazung walikuja kutawala mashariki ya kati hata kabla uislam haujazaliwaItalia,France na sehemu kubwa ya Europe yenyewe ni mali za waislamu.
Vita inahitaji uchumi,Iran pia haina adui mmoja.WEWE UNA AKILI. HAWA JAMAA WENGINE HAWAJIELEWI. UWEZO MDOGO WA KUFIKIRI.